Bastola ya Aden Rage na CCM

Bastola ya Aden Rage na CCM

NDIO BASTOLA YA UKWELIUKWELII
SA SIJUI ASKARI WAKO WAPI
KWANINI WASINGEMWEKA NDANI HUYU
MWANASPORT?Bstola alienda kukamata mwizi
ama ndo hawa wakishindwa wanawatwanga watu
risasi then wanasingizia vurugu?????i

ccm inanuka
 
attachment.php

Hivi kweli angepanda jukwaani MBUNGE wa UPINZANI na silaa kiunoni waziwazi POLISI wangemwachia? Nahisi zingepikwa PROPAGANDA za kuonyesha WAPINZANI ni watu wa vurugu ndiyo maana wanapanda na silaha jukwaani. Kama kweli tunahubiri AMANI kwa miaka 50, tishiana SILAHA za nini sasAa majukwaani? Kweli POLISI na USALAMA wa TAIFA ni mbwa wa CCM.
 
picha,picha pichaaaaaa
kasake gazeti bwana wengine wanatumia simu
na wengine hawana ujuzi,na wengine uwezekano wa picha hakuna
amini tuu
 
magamba .hata kupanda jukwaani na bastola ni nini
kama si matusi kwamba ccm ndo yene haki ni nini?

Hawa ndiyo watanzania wanaojiita great thinkers kweli? matusi ya nini sasa ? ebu tujenge taifa kwa kutoa michango yenye matinki , wewe bora utoke hautufai humu
 
Ahhh siku ya kufa nyani miti yote inatereza. Chadema Mungu kawatupia Taulo hilo, mlitumie ipasavyo katika siasa za ushindani hapo Igunga. Kama ambavyo CCM walivyotumia issue ya DC Fatuma Kimario na Hijabu fake yake, na ninyi jegeni hoja juu ya huyu Msomali na hii pistol yake.
 
wakati nakua ilikuwa hata panga ,fyekeo,visu hata ukibeba
unakifunika na hangalau gazeti
mdingi mwenyewe alikuwa na gobore
lakini linavikwa ile nguo yake mara zote
nashangaa siku hizi eti bastola hadharani
kweli ccm inadharau wananji



Gazeti la MWANANCHI!
But sheria inasemaje juu ya kutembea na silaha hadharani namna hii?
 
Mungu amejibu, WANAOLETA VURUGU NA KUPANGA MATUKIO NI CCM. Juu shati kijani ndani yake mmeona.Kweli MAGABA YANAFICHA MENGI.
 
Kabla ya kumshambulia Rage tungepaswa kwanza kufahamu sheria za umuliki wa silaha hapa Tanzania. Kwa mfano:
  1. Je mtu anaruhusiwa kutembea na silaha anayoimiliki kihalali?
  2. Je ni makosa kuonesha silaha unayoimiliki kihalali hadharani?
Tukishazijua sheria za umiliki wa silaha tutakuwa na uwezo mzuri sana wa kuchangia hii mada. Naomba wataalm wa sheria watujuze zaidi.

As for me, sizijui hizo sheria ndio maana siwezi kusema kama Rage ana makosa au hapana.
 
Sheria zinasema watu wote ni sawa,
ila (unwritten) kuna walioko sawa zaidi kuliko wengine!!
 
Yaani kweli alishindwa japo kuifunika na lile shati la kijani alilovaa? Mbona ni refu tuu!
 
Hiyo ni ishara ya kuchokwa jambo linalowafanya wakose amani na kuhisi hawapo salama kabisaa CCM wanajijua kuwa ni genge la majangili
 
sheria iseme isiseme kuonyesha silaha hadharani tena kwenye mkutano wa kampeni ni UGAIDI, na huyu amekuwa akisaidia al shabab moja kwa moja toka Tanzania.Ni mwenyekiti wangu Simba ila nina wasiwasi sana na nyendo zake. Afuatiliwe huyu si mwema kwa Taifa. Anajificha nyuma ya michezo na siasa kutimiza azma zake.
 
Political power grows out of the barrel of gun. Mao Zedong
 
Nafikiri ni lazima ijulikana Rage alipewa Bostola hiyo kwa ajili ya madhumuni gani?

Ninavyo fikiri ni kwa ajili ya self defence. Na hapo alikuwa anajilinda dhidi ya maadui wake. hana kosa kisheria.
 
Back
Top Bottom