Basi la New Force lapata ajali leo asubuhi

wakukurupuka1

JF-Expert Member
Joined
Feb 17, 2023
Posts
525
Reaction score
1,211
Baada ya juzi kupata ajali mbaya na kuua watanzania wengi japo Serikal imeficha ukwl na kusema ni abiria watano

Leo tena kampuni ya newforce imepAta ajali maeneo ya Kibaha

Hii itakua ajali ya 6 ndani ya siku 21

Chanzo kikuu cha ajali hizo ni kile kile mwendokasi na kufanya overtaking za ovyo

Sasa ni wakati wa Serikal kuipiga Rungu kampuni hii ya mwekezaji kama ilivyofnya kwa kampuni za wazawa

9829f56e-8f76-455a-8cc1-19034917e1fe.jpg
 
Baada ya juzi kupata ajali mbaya na kuua watanzania wengi japo Serikal imeficha ukwl na kusema ni abiria watano

Leo tena kampuni ya newforce imepAta ajali maeneo ya kibaha

Hii itakua ajali ya 6 ndani ya siku 21

Chanzo kikuyu cha ajali hizo ni kile kile mwendokasi na kufanya overtaking za ovyo

Sasa ni wakati wa Serikal kuipiga Rungu kampuni hii ya mwekezaji kama ilivyofnya kwa kampuni za wazawa

View attachment 2666040
inaonekana abiria wamepona
 
Chanzo kikuu ni rushwa wakuu wa usalama barabarani wako kwenye payroll ya mchina hivyo madereva hawajali

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hiki ndicho hutokea mamlaka husika ya usimamizi inapokuwa legelege.
 
Baada ya juzi kupata ajali mbaya na kuua watanzania wengi japo Serikal imeficha ukwl na kusema ni abiria watano

Leo tena kampuni ya newforce imepAta ajali maeneo ya kibaha

Hii itakua ajali ya 6 ndani ya siku 21

Chanzo kikuyu cha ajali hizo ni kile kile mwendokasi na kufanya overtaking za ovyo

Sasa ni wakati wa Serikal kuipiga Rungu kampuni hii ya mwekezaji kama ilivyofnya kwa kampuni za wazawa

View attachment 2666040
Ukiona ajali 6 ndani ya siku 21 kwa kampuni moja basi ujue sio bure na hivyo muda wa kampuni kuwepo umekwisha katika ulimwengu wa roho.
 
Endeleeni kupanda Mabasi ya hiyi
Baada ya juzi kupata ajali mbaya na kuua watanzania wengi japo Serikal imeficha ukwl na kusema ni abiria watano

Leo tena kampuni ya newforce imepAta ajali maeneo ya kibaha

Hii itakua ajali ya 6 ndani ya siku 21

Chanzo kikuyu cha ajali hizo ni kile kile mwendokasi na kufanya overtaking za ovyo

Sasa ni wakati wa Serikal kuipiga Rungu kampuni hii ya mwekezaji kama ilivyofnya kwa kampuni za wazawa

View attachment 2666040
Endeleeni kupanda Mabasi ya hiyo kampuni mtakapokatwa vichwa ndio mtaelewa..

Newforce,Sauli majanga
 
Unaposema serikali imeficha vifo unamaanisha Nini mkuu?

Huu ni mtazamo wa bystanders (mashuhuda) wanapokuwa katika eneo la tukio na kukuta majeruhi wengi wamelala kimya,na wengine kutokwa na damu.

Mashuhuda huishia kuwafunika khanga kwa kuhesabu Kama wamekufa. Lakini eengi wao wakifanyiwa uchunguzi na CPR(Cardio pulmonary resuscitation) wanaamka na wabapona wakipatiwa matibabu.

Hapo ndipo huja mtazamo wa mashuhuda " unaambiwa watu kibao walikuwa wamelala chini wamekufa,damu zimetapakaa kilamahali. Alafu serikali inasema wamekufa watu wanne tu".

Hizi kesi za kuficha vifo kwenye ajali ni nyingi lakini report ya daktari ndiyo serikali husikiliza.
 
Baada ya juzi kupata ajali mbaya na kuua watanzania wengi japo Serikal imeficha ukwl na kusema ni abiria watano

Leo tena kampuni ya newforce imepAta ajali maeneo ya kibaha

Hii itakua ajali ya 6 ndani ya siku 21

Chanzo kikuyu cha ajali hizo ni kile kile mwendokasi na kufanya overtaking za ovyo

Sasa ni wakati wa Serikal kuipiga Rungu kampuni hii ya mwekezaji kama ilivyofnya kwa kampuni za wazawa

View attachment 2666040
Mungu atuponye, na atuepushe na madereva wazembe.

Kati ya kampuni ya mabasi ambayo mabasi yake yannahusika katika ajali nyingi hapa nchini - hasa barabara ya Dar - kuelekea mbeya, hii kampuni inaoongoza.
Ni wakati sasa wa vyombo husika kuifungia hii kampuni, kama wakibadilisha jina, wasikubaliwe.
 
Kilasiku nasisitiza madereva wenzangu wa private cars wasifanye Safari zao muda wa asubuhi yaani kuanzia saa 12 kwasababu muda huu ni hatari sana Kwa mabus ya mkoani.
Kibaha-morogoro ni eneo hatari sana tuwe makini

Wafanye Saa ngp wakat mabus kuanzia saa 9 Ndio yanatoka dsm hapo Bado kuna yale ya kigoma na bukoba ayajafika
 
Back
Top Bottom