thesym
JF-Expert Member
- Aug 15, 2012
- 3,866
- 4,854
Vipi kuhusu ajari ya city boy 2016 na 2018, new force 2016 iliyouwa watu 12 na mwaka 2018 iliyouwa watu 5, usimamizi hukuwa legelege. Na ripoti ya polisi 2019 ilisema watu zaidi ya 12,000 walifariki Kwa ajali Kati ya 2015-2019Hiki ndicho hutokea mamlaka husika ya usimamizi inapokuwa legelege.