wakukurupuka1
JF-Expert Member
- Feb 17, 2023
- 525
- 1,211
Basi hilo linalofanya safari zake kati ya Dodoma kwenda Bukoba limepata ajali leo hii. Hakuna madhara yoyote kwa abiria.
Chanzo cha ajali ni mwendokasi na overtake ya dereva wa basi hilo.
Taarifa zaidi watatoa wenye mamlaka.
Chanzo cha ajali ni mwendokasi na overtake ya dereva wa basi hilo.
Taarifa zaidi watatoa wenye mamlaka.