My Honest Book
JF-Expert Member
- Jul 7, 2015
- 1,363
- 2,171
Point yako sijaielewa Mkuu,kumaanisha ni figisu za kampuni za nyumbani kwa wageni?! Na kwa namna gani wanafanya izo figisu wakat sababu za ajali zinafahamika?!Kampuni za wazawa zimeamua kuwalia collabo hawa wageni. Ila nao siwahurumii maana wamezidi, wanataka kuwekeza kwenye kila kitu? Sisi tule wapi sasa na kwao hatuwezi kwenda kuwekeza?