Basi la New Force lapata ajali leo asubuhi

Madereva wanawahi zile posho za watu kubeti yaani Kuna watz wamekaa mikoani wanabet nani atafungua geti Leo hii ni biashara ya kamari dereva anaefungua geti anapewa laki moja.Serikali ipige marufuku betting zote za mabus mfano pale uyole,kule kahama nk vijana wanakaa na ndoo kabisa za maji gari inayofungua geti inapokelewa kwa kumwagiwa maji yanafanyika,iwakamate wote wao ndio Chanzo Cha hizi ajali.
New force, Sauli, katarama,kiazi kikuu, Ally's,nk yaangaliwe kwa macho sita ndio yapo kwenye orodha ya hizi betting club za mabus Hawa vijana saa kumi na moja jioni wakionekana stand kamata wote wakafanye kazi zingine na Sio kutegemea betting za mabus huku watz wakiteketea kwa ajali sababu ya ushabiki wa kijinga.
 
Hii hedaru leo hii

Screenshot_20230623_093115_WhatsAppBusiness.jpg
Screenshot_20230623_093132_WhatsAppBusiness.jpg
 
Wamtafute sangoma MAARUFU arekebishe MAMBO kabla watu hawajaamua Kama ilivyotokea kwa hayati Mohamed Trans
 
Madereva wanawahi zile posho za watu kubeti yaani Kuna watz wamekaa mikoani wanabet nani atafungua geti Leo hii ni biashara ya kamari dereva anaefungua geti anapewa laki moja.Serikali ipige marufuku betting zote za mabus mfano pale uyole,kule kahama nk vijana wanakaa na ndoo kabisa za maji gari inayofungua geti inapokelewa kwa kumwagiwa maji yanafanyika,iwakamate wote wao ndio Chanzo Cha hizi ajali.
New force, Sauli, katarama,kiazi kikuu, Ally's,nk yaangaliwe kwa macho sita ndio yapo kwenye orodha ya hizi betting club za mabus Hawa vijana saa kumi na moja jioni wakionekana stand kamata wote wakafanye kazi zingine na Sio kutegemea betting za mabus huku watz wakiteketea kwa ajali sababu ya ushabiki wa kijinga.
Duuh hii ni hatari
 
Madereva hawajali roho za watu. Abiria hatuwezi kutoa maelekezo kwa dereva. Unapanda basi kama unaenda machinjion.

Abiria wengi wanabaki kimya wakiwa kwenye basi hata kama dereva ana fanya makosa na uzembe wa wazi. Binafsi sijanua tatizo liko wapi. Wanamhofu sana dereva.
 
Huwa sielewi. Ukimwambia dereva punguza mwendo endesha kwa weledi hakuna anayeunga mkono hoja na dereva akianza kubisha ndo kabisa hutopata sapoti.
 
Newforce again. Haya mabus kuna muda yanafululiza ajali. Sio kipindi hiki tu hata mkirudi nyuma mtagundua. Haya mabus yapigwe ban sijui kwanini serikali haishtuki
Nimeenda kusoma comments kwa page zao mitandaoni.... huwezi amini wasafiri ndio wanaohamasisha na kusifia mwendo.
KUna comment wanataka gari za saa9 alfajiri lunch wakale mbeya na kugeuza kurudi Dar 😄😄
 
Nimeenda kusoma comments kwa page zao mitandaoni.... huwezi amini wasafiri ndio wanaohamasisha na kusifia mwendo.
KUna comment wanataka gari za saa9 alfajiri lunch wakale mbeya na kugeuza kurudi Dar [emoji1][emoji1]
Watu wa mitandaoni utawaweza unakuta mtu anayeandika hivyo hajawahi hata kusafiri
 
Na wanajua ratiba zote za gari??
Wapo humo wanawajua hadi madereva wa gari hizo na kuwasifia 😄😄
Kuna mmoja anaitwa Tito hadi wafuasi anao humo
 
Back
Top Bottom