BASHITE HAWAJUI VIZURI WAKRISTU, ATAJUTA SANA.

BASHITE HAWAJUI VIZURI WAKRISTU, ATAJUTA SANA.

Makonda sio mjinga ila nyie mnaomuona mjinga ndio wajinga,
Akili za makonda ndio zinatakiwa ili uweze kula maisha na vyeo ccm na kupendwa na wakubwa
Ukiwa na akili kama za Nchimbi unapotezwa ukiwa na akili za makonda kwa ccm hiyo ni phd

Mnataka makonda asiongelee jezi na kokoto la wakili 🤣, aongelee katiba mpya na utawala bora?????
Nilitaka kukujibu vibaya kabla sijasoma mpaka mwisho ila uko sahihi, watu wengi CCM hawaijui Profesionalism ya jambo kwao ni 0% akili kama za makonda ndio zenyewe sasa
 
Nimekuelewa.
Japo sikubaliani na wewe katika kusifia upuuzi huo.

Huo upumbavu ndio unaopingwa na kupigiwa kelele na watu wote wanalitakia mema hili taifa pamoja na kizazi kijacho.

Ukiona akili yako inamsifia Makonda na kutamani aina yake ya hila na uongozi wa kijanja janja na wizi ili tu afanikiwe yeye huku anaowaongoza wakitaabika, basi wewe pia hovyo.
Sijasifia, na pia sijatamani aina ya watu kama makonda,
Nimeongelea uhalisia uliopo.
 
Nilitaka kukujibu vibaya kabla sijasoma mpaka mwisho ila uko sahihi, watu wengi CCM hawaijui Profesionalism ya jambo kwao ni 0% akili kama za makonda ndio zenyewe sasa
Chacha kasemaje juzi?
Mtu yeyote mwenye akili za kawaida tu asingeweza kusema aliyosema chacha hadharani ila hao ndio watu wanaopewa vyeo ccm
 
Ipo siku CHADEMA mtamsifia na kutoa matangazo ya kumtafuta kama Polepole au Nchimbi.
Ni haki ya kila mtanzania kuishi na hapaswi mtu yeyote kupotezwa kila nafsi inastahili kulindwa ,hata mtesi wa CDM akipotea Bado watamuulizia ,hata mwaipopo pamoja na mabaya yake na vikos vyake vya ugaidi alivyounda kuua na kutesa watanzania vya "chui weus" akipotea ni lazma auliziwe Kwa nguvu zote
 
Tulia PhD amseme form 4 failure,unataka division 4 form afundishe nn watu wenye PhD ?
Askofu Bagonza namzidi sana kielimu. Kwenye Kanisa la Lutheran nimeishawasimamia maaskofu wa hilo Kanisa zaidi ya wanne kwenye thesis na desertions zao.
Nawajua walivyo BOGUS!
 
Back
Top Bottom