Papushikashi
JF-Expert Member
- Feb 28, 2016
- 11,559
- 14,329
Dah! Namkumbuka Filikunjombe. R. I. PBashe yupo vizuri. Bahati mbaya sana CCM haipendi watu wa aina hii. Very soon watambrand kwamba ni ''mpinzani wa ndani''
Dah! Namkumbuka Filikunjombe. R. I. PBashe yupo vizuri. Bahati mbaya sana CCM haipendi watu wa aina hii. Very soon watambrand kwamba ni ''mpinzani wa ndani''
Kweli taifa la vilaza.. Eti huyo ndie raia no 1SADAM HESSEN alikuwa Rais wa LIBYA..... Sasa kweli huyu ndio raia namba moja[emoji13] [emoji13]
Taifa la vizalaKweli taifa la ******.. Eti huyo ndie raia no 1
😀Atanyang'anywa tena uraia next election.
Wewe ni mpu mbavu raisi sio mwanasiasa?.huyu Bashe naye anatafuta sifa kwani wabunge wanaruhusiwa kupeleka mswada binafsi bungeni kama anaona rais anatakiwa kukatwa kodi apeleke mswada huo bungeni.kwa nchi za wenzetu zilizoendelea sifa kuu ya mwanasiasa ni kulipa kodi lakini wanasiasa watanzania wanataka wasamehewe kodi
Mkuu ilo neno ukiliandika linakuja hivyoUmeogopa kusema ******, sema tu huo ndio ukweli Bashe akiongea angalau unasikia kama anasimamia haki lkn wengine!....
Tumeshapiga kelele. Kwa mfano mtu anayeshupaza shingo kutaka wengine walipe kodi halafu yeye si mlipa kodi anapata wapi moral authority?Anawa-inspire akina nani kama sio wakwepa kodi?
Halafu atasingizia katiba au sheria wakati yupo comfortable hata kama amelazimishwa kutolipa kisheria.Huyo ni fisadi wa Hiyari
wewe ni kilaza hata siasa huijui nyamaza kama una la kuchangia nyie ndio mliopigwa penati kwa kufeli somo la siasa siku hizi wanaita uraiaWewe ni mpu mbavu raisi sio mwanasiasa?.
Mkuu mbona wasukumwa na upepo wanajulikana........hawezi kukuambia kosa maana hakuna kosa ila anasukumwa na hisia, kisa Rais katajwa.Hapo kosa lake ni lipi mkuu?
Yaani kutaka raisi nae akatwe kodi ndio mamluki?
Ni kweli,maana rais wetu huyu mwema hapaswi kulipa kodi..na wala ukweli asiambiwe!!Huyu bashe bado ni mfuasi wa Lowasa mpaka sasa hivi..Magufuli akipewa uenyekiti aanze nae huyu mamluki kumshughulikia
Huyu bashe bado ni mfuasi wa Lowasa mpaka sasa hivi..Magufuli akipewa uenyekiti aanze nae huyu mamluki kumshughulikia
Huyu bashe bado ni mfuasi wa Lowasa mpaka sasa hivi..Magufuli akipewa uenyekiti aanze nae huyu mamluki kumshughulikia
Mimi sipendi kabisa undumila kuwili wake, nani ambaye hajui is still stauch supporter wa Lowassa - anauma na kupuliza hana ubavu wa kunyionyesha dhahili.
Rais Magufuli amejipunguzia mshahara wake kwa karibu million tisa katika harakati ya kubana matumizi - je, huyo Bashe na wabunge wengine ambao wako very vocal kumlahumu Dk.Magu wamechukua hatua gani ku resprocate mfano mzuri wa JPJM - hawana!!! Wanekazania wasikatwe mafao yao ya mwisho - selfcentered from head 2 toe!