chinchilla coat
JF-Expert Member
- May 16, 2016
- 5,107
- 10,968
Mbunge wa Nzega Hussein Bashe amesema kama serikali inataka kuwagombanisha na wananchi kwa kuwataka kukatwa kodi kwenye kiinua mgongo,
ameongezea kwamba kuna sheria inayosema watumishi wa kisiasa kusamehewa kodi ila kama wanataka kuwakata kodi ya kiinua mgongo basi wakate pia kwa viongozi wengine kama rais, wakuu wa mikoa, mawaziri na majaji