kalulukalunde
JF-Expert Member
- May 27, 2016
- 1,056
- 1,086
Mbunge wa Nzega Hussein Bashe amesema kama serikali inataka kuwagombanisha na wananchi kwa kuwataka kukatwa kodi kwenye kiinua mgongo,
ameongezea kwamba kuna sheria inayosema watumishi wa kisiasa kusamehewa kodi ila kama wanataka kuwakata kodi ya kiinua mgongo basi wakate pia kwa viongozi wengine kama rais, wakuu wa mikoa, mawaziri na majaji
Bashe ni hodari wa kutetea tumbo lake lakini anashindwa kuwatetea waandishi wake pamoja na waandishi wa kujitegemea wa new habari corporation akiwa kama mtendaji mkuu ,wafanyakazi wake wanakaa mpaka miezi 3 bila mshahara wa malipo yoyote.