Al gator
JF-Expert Member
- Apr 2, 2012
- 1,027
- 566
Empty headed Loser. Bado upo kwenye kampeni? Kipi kibaya hapo Bashe Kakiongea?Huyu bashe bado ni mfuasi wa Lowasa mpaka sasa hivi..Magufuli akipewa uenyekiti aanze nae huyu mamluki kumshughulikia
Empty headed Loser. Bado upo kwenye kampeni? Kipi kibaya hapo Bashe Kakiongea?Huyu bashe bado ni mfuasi wa Lowasa mpaka sasa hivi..Magufuli akipewa uenyekiti aanze nae huyu mamluki kumshughulikia
Rudia umsikilize tena, kama hujamuelewa muombe mtu aliye karibu yako akusaidie kukuelewesha. Jamaa yupo crystal clear kabisa, kaelezea kinaga ubaga, tena pole pole kiasi hata mtoto anayejifunza kuongea anamuelewa.Nyie na Bashe wenu wote vichwa maji ndio maana mnaropoka! Bashe anasema kuwa sheria ndio inatoa wigo wa Rais kuto kukatwa kodi halafu papo hapo anasema Rais naye akatwe kodi..hivi huyu Bashe akili ataipata lini? Hivi kuwa mfuasi wa Lowasa kuna mfanya mtu awe kama nyumbu?
Hivi Bashe nani kamkataza kupeleka hoja ya marekebisho ya sheria ili Rais awe ana katwa kodi? Ninani alitunga sheria hiyo kama si wao wenyewe? Ni nani wa kuirekebisha kama si wao wenyewe? Hivi Bashe maumivu ya Lowasa yatamuisha lini?
Huyu bashe atawasumbua, hapa anakubali kwamba wakatwe kodi lakini wigo uwe mpana zaidi na usio onevu kwa kuwakata na wanasiasa wengineo akiwemo rais. Mawazo yake yanashabihiana na UKAWA!
Ni kipi alichoongea ambacho hakina ukweli? Unajua mambo mengine soma tu upite sio lazima uchangie mkuu!Huyu bashe bado ni mfuasi wa Lowasa mpaka sasa hivi..Magufuli akipewa uenyekiti aanze nae huyu mamluki kumshughulikia
labda alikuwa hana hilo wazo, atakubali akisikia pengineHivi Magu kweli ni mzalendo?Kwanini asi-take initiative mpaka asubiri shinikizo?!
Regardless uwepo wa EL au la, je mawazo yake ni sahihi au sio sahihi. Tujadili kwa hoja ili tusifike mahali tukakataa mawazo mazuri na kuukumbatia ujinga sababu ya urafiki wa watu!Hapo kwenye bold....huko ndo yupo Lowassa.
Hilo ndilo la muhimu anataka watu walipe kodi huku yeye akikwepa
Huyu bashe bado ni mfuasi wa Lowasa mpaka sasa hivi..Magufuli akipewa uenyekiti aanze nae huyu mamluki kumshughulikia
Kila nikisoma huu mjadala inanikumbusha ni jinsi gani viongozi wa nchi hii walivyo walafi na wanaangalia maslahi yao binafsi! Hivi wao wanafikiri hiyo mishahara yao inatoka wapi? Si ni kodi za wengine? Hivi kama Mwalimu na Muuguzi wanalipa kodi kwa nini hawa viongozi wasilipe kodi?
Tragic and sad indeed!
Mnafiki yule anajifanya msema ukweliJamaa muongo sana kama utakumbuka aliahidi akitoka mapumziko Chato ataweka hadharani salary slip yake kuonyesha mshahara wake ni milioni 9.5 na siyo 36 million kwa mwezi lakini hadi hii leo siku zinayoyoma bila ya yeye kusema chochote.
Rais Magufuli ni mpenda and mtenda haki, wazee ambao wamefanya kazi serikalini na mashirika ya umma wanapostaafu baada ya kufanya kazi kwa kipindi cha miaka kati ya 30 na 40 hukatwa kodi kwenye malipo yao ya gratuity, ni kwa nini wabunge na hasa wabunge wa CCM hawajawahi kutetea/hawajawatetea hawa wafanyakazi masikini? wengine wemekatwa kodi inayozidi milioni 15 out of their gratuity!!!!!! please wabunge tuliani or else wazee wote waliowahi kukatwa kodi hizi warudishiwe ndiyo na nyiye muanze dialogue upya else kodi itakatwa tu, hapa kazi tu!!! Kudos Rais Magufuli, Kudos Dr Mpango.
Naona umeamua kutokumuelewa Bashe. Endelea.Nyie na Bashe wenu wote vichwa maji ndio maana mnaropoka! Bashe anasema kuwa sheria ndio inatoa wigo wa Rais kuto kukatwa kodi halafu papo hapo anasema Rais naye akatwe kodi..hivi huyu Bashe akili ataipata lini? Hivi kuwa mfuasi wa Lowasa kuna mfanya mtu awe kama nyumbu?
Hivi Bashe nani kamkataza kupeleka hoja ya marekebisho ya sheria ili Rais awe ana katwa kodi? Ninani alitunga sheria hiyo kama si wao wenyewe? Ni nani wa kuirekebisha kama si wao wenyewe? Hivi Bashe maumivu ya Lowasa yatamuisha lini?
Na raisi pia alipe kodi!!!!!!!!!!!Rais Magufuli ni mpenda and mtenda haki, wazee ambao wamefanya kazi serikalini na mashirika ya umma wanapostaafu baada ya kufanya kazi kwa kipindi cha miaka kati ya 30 na 40 hukatwa kodi kwenye malipo yao ya gratuity, ni kwa nini wabunge na hasa wabunge wa CCM hawajawahi kutetea/hawajawatetea hawa wafanyakazi masikini? wengine wemekatwa kodi inayozidi milioni 15 out of their gratuity!!!!!! please wabunge tuliani or else wazee wote waliowahi kukatwa kodi hizi warudishiwe ndiyo na nyiye muanze dialogue upya else kodi itakatwa tu, hapa kazi tu!!! Kudos Rais Magufuli, Kudos Dr Mpango.
Kwa nini mnapenda kumpandisha Lowasa chati wenye issues zisizo mhusu.Mimi sipendi kabisa undumila kuwili wake, nani ambaye hajui is still stauch supporter wa Lowassa - anauma na kupuliza hana ubavu wa kunyionyesha dhahili.
Rais Magufuli amejipunguzia mshahara wake kwa karibu million tisa katika harakati ya kubana matumizi - je, huyo Bashe na wabunge wengine ambao wako very vocal kumlahumu Dk.Magu wamechukua hatua gani ku resprocate mfano mzuri wa JPJM - hawana!!! Wanekazania wasikatwe mafao yao ya mwisho - selfcentered from head 2 toe!
Simunge mkata tu kama mlijua kuwa ni pandikizi!!!!!!!Tunamfahamu tangu siku nyingi ni pandikizi la "ikulu nyeupe na nywele nyeupe"