Escrowseal1
JF-Expert Member
- Dec 17, 2014
- 4,798
- 4,857
Hivi kwanza hizi exemption zinatoka wapiiii ? Kumbe hawa viongozi wanatunyinya hivi ? Nami nasema wote walipe kodi to be fair yaani Watu ni wanufaika namba moja wa matunda Ya kodi kama vile mishahara minono. Nyumba zetu , Magari ya umma na changu mzima Ya upendeleo halafu wanapigana vikumbo kukwepa kodi. Mh Mpango tuko kimya ila tuna note hafu tutasubiriana panapotufaa. Let's be fair wote tulipe kodi tujenge nchi yetu .Hilo ndilo la muhimu anataka watu walipe kodi huku yeye akikwepa