Bashe: Kama mnataka kutukata kodi mkateni na Rais

Bashe: Kama mnataka kutukata kodi mkateni na Rais

Wabunge ni walevi ndio maana rais hahangaiki na bajeti wanazozipitisha wakiwa wamelewa...Namuomba Magufuli asihangaike na bajeti wanazopitisha hawa walevi afanye anavyoona ina faa kwa Taifa
kwahiyo hii nchi magufuli pekee ndo mwenye uwelewa mpana kushinda wote,hatakiwi kushauliwa,kuelekezwa..!!nadhani kunasehemu ya ubongo wako ime paralaizi sababu jambo dogo linakuchukua masaa kulitafakari na kuliewa
 
SADAM HESSEN alikuwa Rais wa LIBYA..... Sasa kweli huyu ndio raia namba moja[emoji13] [emoji13]
 
Atanyang'anywa tena uraia next election.
 
Rais kwanini anaendelea kukwepa kulipa kodi? Kama Malkia wa Uingereza anatozwa kodi nchini kwake huyu Baba J.eska naye kwanini asitozwe kodi kwenye mshahara wake na kiinua mgongo chake? Kwanini anaogopwa kuambiwa kwamba naye aanze kuchangia pato la Taifa kama Baba Jeska?
 
Husen Bashe ni mmoja wapo mbunge wa CCM anayejitambui sana ameongea ukweli wabunge walipe kodi hata raisi, makamu wa raisi, waziri mkuu, mawaziri, spika, naibu wakuu wa mikoa na wengineo wanatakiwa kulipia kodi mafao yao kama ilivyo kwetu sisi wafanyakazi tunavyokatwa pesa zote.
 
Wabunge ni walevi ndio maana rais hahangaiki na bajeti wanazozipitisha wakiwa wamelewa...Namuomba Magufuli asihangaike na bajeti wanazopitisha hawa walevi afanye anavyoona ina faa kwa Taifa
Hujui unachokijadili na ulichojibu. Kumbuka hii nchi inaongozwa kwa sheria na siyo mihemko na matamshi. Isitoshe aliapa kuilinda, kuitunza na kuiishi katiba ya jamhuri ya muungano wa tanzania. Huo ushauri uwe unampa mwenza wako unapomwachia pesa za mboga zisizotosha ili apange atakavyoona yeye.
 
Huyu bashe atawasumbua, hapa anakubali kwamba wakatwe kodi lakini wigo uwe mpana zaidi na usio onevu kwa kuwakata na wanasiasa wengineo akiwemo rais. Mawazo yake yanashabihiana na UKAWA!
Huo ndio ukweli huwezi kukata kodi kwa kiinua mgongo cha wabunge ukamuacha spika na wengine aliowataja bashe..
 
Rais kwanini anaendelea kukwepa kulipa kodi? Kama Malkia wa Uingereza anatozwa kodi nchini kwake huyu Baba ***** naye kwanini asitozwe kodi kwenye mshahara wake na kiinua mgongo chake? Kwanini anaogopwa kuambiwa kwamba naye aanze kuchangia pato la Taifa kama Baba *****?
Raisi mwenyewe anasisita watu tulipe kodi yeye hatimizi wajibu huo huu ujinga unafanya tanzania tuu?
 
  • Thanks
Reactions: BAK
huyu Bashe naye anatafuta sifa kwani wabunge wanaruhusiwa kupeleka mswada binafsi bungeni kama anaona rais anatakiwa kukatwa kodi apeleke mswada huo bungeni.kwa nchi za wenzetu zilizoendelea sifa kuu ya mwanasiasa ni kulipa kodi lakini wanasiasa watanzania wanataka wasamehewe kodi
 
!
!
Aisee huyu Bashe kawa mwiba kweli, Daaah! Haya sasa sinema inaendelea. Kuna sheria nyingine za ajabu kweli
Rais Magufuli ni mpenda and mtenda haki, wazee ambao wamefanya kazi serikalini na mashirika ya umma wanapostaafu baada ya kufanya kazi kwa kipindi cha miaka kati ya 30 na 40 hukatwa kodi kwenye malipo yao ya gratuity, ni kwa nini wabunge na hasa wabunge wa CCM hawajawahi kutetea/hawajawatetea hawa wafanyakazi masikini? wengine wemekatwa kodi inayozidi milioni 15 out of their gratuity!!!!!! please wabunge tuliani or else wazee wote waliowahi kukatwa kodi hizi warudishiwe ndiyo na nyiye muanze dialogue upya else kodi itakatwa tu, hapa kazi tu!!! Kudos Rais Magufuli, Kudos Dr Mpango.
 
Jamaa muongo sana kama utakumbuka aliahidi akitoka mapumziko Chato ataweka hadharani salary slip yake kuonyesha mshahara wake ni milioni 9.5 na siyo 36 million kwa mwezi lakini hadi hii leo siku zinayoyoma bila ya yeye kusema chochote.

Raisi mwenyewe anasisita watu tulipe kodi yeye hatimizi wajibu huo huu ujinga unafanya tanzania tuu?
 
Wabunge wamepoteza dila hata bajeti yenyewe hawaijadili wamebaki kujadili kodi tu tena inayowahusu wao tu
 
Magufuli%2BCartoon.jpg
 


Mbunge wa Nzega Hussein Bashe amesema kama serikali inataka kuwagombanisha na wananchi kwa kuwataka kukatwa kodi kwenye kiinua mgongo,
ameongezea kwamba kuna sheria inayosema watumishi wa kisiasa kusamehewa kodi ila kama wanataka kuwakata kodi ya kiinua mgongo basi wakate pia kwa viongozi wengine kama rais, wakuu wa mikoa, mawaziri na majaji

Dec-28-15-JPM-What-Road-Map.jpg
 
Wabunge ni walevi ndio maana rais hahangaiki na bajeti wanazozipitisha wakiwa wamelewa...Namuomba Magufuli asihangaike na bajeti wanazopitisha hawa walevi afanye anavyoona ina faa kwa Taifa
Wewe toka uanze kushabikia ushoga, sihangaiki na wewe
 
Huyu bashe bado ni mfuasi wa Lowasa mpaka sasa hivi..Magufuli akipewa uenyekiti aanze nae huyu mamluki kumshughulikia

Kwa hiyo kafanya Kosa kutoa maoni yake? Huyo magu atamfanya nini wakati kachaguliwa na wanannchi. Lowasa kaingiaje hapo mkuuu.
 
Back
Top Bottom