Based ON True story

Based ON True story

Nikikuuliza kwanini tusimshawishi huyo Mzee akaenda bungeni akapiga wabunge wote, Kisha aende ikulu, nk. Utasema uchawi hautumiki hivyo.

Nyie ndiyo mnahadithia watu kwamba mtu Fulani kapata pesa kwa njia za kichawi, lakini papo hapo utahadithia uchawi siyo kwa ajili ya kunufaika kiuchumi.

Uchawi ungekua unatumika km ambavyo wee unataka, hapa Duniani pasingekalika? Mtu hawezi kutoka take avamie mtu asiyehusika kisa tu ana uwezo was kumuumiza? Na uchawi anao? Ukitaka kujua hilo wee mchokoze afu uone.
 
Haya uchawi unatumikaje?? Na umejuaje unatumikaje??

Mnatuambia mtu anaweza akaenda kuiba sehemu bila kushtukiwa kwa uchawi, tukisema kwanini asitumie chumaulete akaibe benki? Unaambiwa uchawi hautumiki hivyo.

Uchawi hakuna, hofu zenu tu na kulishana matango pori. Ungekuwa unafanya kazi kweli kusingekalika
 
Nimekumbuka Polisi walikuja kijijini kwetu, tena walikua wamekuja kufanya msako was wawindaji holela, coz kijijini kwetu kupo karibu na msitu mnene, ila sio hifadhi.
Basi walivyofika wakafikia kwa mtendaji was kijiji, wakapokelewa, walivyomaliza mazungumzo yao, wakaambiwa kuna vijana fulani hao ndio hodari was kuwinda wanyama pori bila kibali wala ruhusa,

Sasa walivyofika kwa kijana m1 hawaku mkuta muhusika, ila walimkuta mzazi wake, yaan baba ake, katika kuhoji baba anagoma kutoa ushirikiano, si wakaanza kumpiga yule baba, acha wambaluzee, wanashangaa anageuka cobra, asiwaumize nini, polisi wawili walifia hospital ya mkoa, kwa kuchelewa matibabu, toka palee, heshima na adabu.
Waajiriwa was serikali wakija kijijini kwetu wanaishi kwa tahadhari..kwetu uchawi unanunuliwa tena kwa grade, ni bei yako tu.
Hii chai ya Nazi ni tamu sana 😋
 
cocastic wewe hujafanikiwa kununua ili tuone namna unavobadilika
 
Kuna kipindi miaka ya nyuma nilipataga deal la kuua mbwa koko wasio na wenyewe wanaozurura mtaani kwa kutumia bunduki

Siku ya kwanza ilienda vizuri niliua mbwa 47 kwenye vitongoji viwili siku iliyofuata yule afsa mifugo akaniambia leo ni jumapili tutatembelea mabucha nikakwambia sawa by saa 12 asubh tukaanza kupita bucha moja baada ya jingine

Tulipita mabucha kama matatu ukweli nililenga mbwa zaid ya 15 waliokuwa wanazurura kwa kuokota mifupa na finyango za nyama zilizodondoka chini.

Bucha la nne hapa ndipo nilipoona tukio la ajabu tumefika tu na byke jamaa akapaki mbali kidogo tukasogea pale buchani kwa miguu taratibu ....niliangaza macho eneo la pale buchani nikaona mbwa kama watatu bs nikatarget wa kwanzia nikapiga kuja kupiga wapili loooh akanguka chini na milio mkali gafla akabadilika na kuwa bibi kizee huku akilia kwa uchungu na akafia palepale huku mdomo wake na mikono ikiwa imechafuka mafuta na midamu kibao haikuwa hallucinations na nilikua sjanywa pombe hii ilinishangaza sana inawezekana vipi mbwa kubadilka na kuwa binadamu?

Ilikua ni tukio la kustajabisha sana pale buchani baadhi ya raia wakaanza kuongea chini chini huyu ni bibi flani tunamjua na ni mchawi mkubwa tukawauliza leo alikuwa hapa buchani wakajibu hapana dah afsa alipiga simu police na kuripot tukio.

Ikabidi nistop lile deal aise.
Kitaalam tuiitaje hii mzee Physical change au chemical change kwa hili tukio la mbwa kubadilika kua bibi.
 
Back
Top Bottom