Sicario poison
JF-Expert Member
- Jan 1, 2021
- 2,327
- 4,574
Katika harakati zangu za kujitafutia ugali wa kila siku nikakutana na pisi moja kali sana yaani matata mno..
Figure fulani ya kibantu iliyojaliwa kila kitu
Yule dada akiniambia anatafuta kiwanja,sehemu nzuri
Kama kawaida nikamwambia viwanja vipo, karibu na barabara zina access ya maji, umeme na pia vimepimwa.
Dada kasema nimpeleke fasta..
Kiukweli sikuwa na kiwanja bali nilimcheki dalali mwenzang fasta akaniambia kiwanja kipo..
Akanielekeza nikamwelewa, nikamwambia dada twende fasta tukapanda bajaji mpaka site
Tumefika tukamkuta mmiliki basi tukapiga survey na kiwanja ni kikubwa balaa dada wa watu akapagawa..
Kaniuliza shilingi ngapi nikamwambia 25m(hapo mmiliki anahitaji 20m tu)
Dada(yule mrembo) akasema Basi kesho atakuja na mume wake, kanipa 20k pale nikapita hivi..
Kesho yake yule dada akanitafuta na kuniambia tukutane site kule kwenye ploti,basi mimi nikamcheki yule dalali mwenzangu na kumwambia asicheze mbali pamoja na mmiliki mwenyewe
Saa nane mchana yule dada akatia timu na mume wake kwenye eneo,tukawa jumla ya watu tano
Yule jamaa akashuka kwenye gari yake(harrier)akiwa na GPRS akawa anaandika andika vitu then akapata codes akascan akapata kiwanja kwenye ramani..Mimi na jamaangu hatukuelewa hata kinachoendelea
Kwa masikio yangu nikamsikia jamaa anamwambia mkewake "kiwanja kizuri sana hichi, utajenga apartments na fremu za biashara"
Dada akawa anacheka cheka kwa furaha
Tukaridhiana bei ikashuka mpaka 23m,jamaa akamuuliza mmiliki utaratibu wa kulipia ikabidi iwe kwa benki
Jamaa akasema akitoka hapa atafanya huo muamala then dada kesho atakuja na documents pamoja na mashahidi ili waandikishane,hiyo ikapita bila kupingwa
Jamaa akarudi kwenye gari akatoka na kibunda cha laki tatu akatuambia hii ni kwa ajili ya usumbufu wa ninyi madalali kunyweni maji tuonane hapa kesho saa nne.... Siku ikaisha hivyo
Kesho yake sa nne nikashangaa sikutafutwa mpaka alasiri, nikaamua kumcheki mmiliki kumuuliza Kama ameshapitishiwa muamala akasema bado pia dada hajatokea
Nikamtafuta jamaa mara zote hapokei simu, tuma sms lakini wapi hajibu pia nikamtishia kuwa Kuna mtu mwingine anataka kununua ila wapi jamaa ha respond mpaka siku ya tatu nikakata tamaa
Ikabidi niingie chimbo kujua ukweli...
To cut the long story short ilikuwa hivi....
Jamaa alimtokea yule dada baada ya kukutana sehemu flani(wala hakuwa mkewake )
Akamuomba mbususu,yule dada akakataa kwa kumwambia mshikaji kwamba kwa standard yake hawezi kutoa uchi ovyo ovyo
Jamaa akakomaa, demu nae akagoma
Jamaa hakukata tamaa mwisho wa siku yule bibie akatoa Bei Elekezi kwamba jamaa amnunulie kiwanja ndo apate kulamba asali
Mchizi akamwambia hilo jambo dogo wewe tafuta halafu utanijulisha
Kutafuta kiwanja ndio hapo Mimi nilipoonana nae
Inasemekana ile siku jamaa alivyotulipa laki tatu pale kwenye kiwanja...demu akaona huyu jamaa kweli yuko serious
Tulipoachana pale jamaa akatupa ndoano kwa mara ya mwisho,moja kwa moja wakanyoosha mpaka lodge...
Jamaa kaitifua hiyo mbususu (kuifumua Kama anavyosemaga Kapeace )mpaka usiku wa maneno
Baada ya hapo jamaa akamwitia Uber yule dada kwa miadi ya kukutana kesho saa nne
Inasemekana hiyo siku ndio ya mwisho kwa yule dada kumwona na kuwasaliana na yule jamaa.
Nb:huyo pichani ni mfano wa mhusika