Unawapangia kazi basata?Haiwezekani nyimbo za kumzodoa rais zapigwe ki horera hiyo!
Tutaanza kuforwadiana kwenye magroup wanatutafutie kesi bure!
... Mi naisikia muda huu kwenye pub moja hapa, ila mambo yaliyosemwa ni ukweli mtupuBasata au mtaka mtumbuliwe ninyi? Kuna hii nyimbo inayosambaa kwenye mitandao ya kijamii iliyoimbwa na msanii Ney wa mitego inasikika ikiwakejeli viongozi mbalimbali. Maneno yaliyotumika ni Makali sana, najua imetoka weekend mtasema hamkuwa kazini basi Jumatatu mchukue hatua na kinyume na hapo hatua zitachukuliwa dhidi yenu
Hapa namsubiri Roma Mkatoliki nae ashushe mzigo tuupakue!!Haiwezekani nyimbo za kumzodoa rais zapigwe ki horera hiyo!
Tutaanza kuforwadiana kwenye magroup wanatutafutie kesi bure!
Na ww unakuwa kama upo miska ya 47. Hivi kwa akili yako iunaweza kuzuia wimbo au chochote kwa trknolojia ya sasa. Kwanza wanapozuia ndio wanautangaza zaidi na watu kuutafuta. Wanachoweza kufanya ni kuzuia kupogwa redioni na Tv lakini nani kakwambia watu wanategemea redio na tv siku hizi kupata habari au matukioHaiwezekani nyimbo za kumzodoa rais zapigwe ki horera hiyo!
Tutaanza kuforwadiana kwenye magroup wanatutafutie kesi bure!
Haiwezekani nyimbo za kumzodoa rais zapigwe ki horera hiyo!
Tutaanza kuforwadiana kwenye magroup wanatutafutie kesi bure!