Basata mnasubiri nini kumchukulia hatua Ney wa mitego

Basata au mtaka mtumbuliwe ninyi? Kuna hii nyimbo inayosambaa kwenye mitandao ya kijamii iliyoimbwa na msanii Ney wa mitego inasikika ikiwakejeli viongozi mbalimbali. Maneno yaliyotumika ni Makali sana, najua imetoka weekend mtasema hamkuwa kazini basi Jumatatu mchukue hatua na kinyume na hapo hatua zitachukuliwa dhidi yenu
Acha unafik kiongoz kaimbwa pale.....? Bashite jina la utotoni
 
Basata au mtaka mtumbuliwe ninyi? Kuna hii nyimbo inayosambaa kwenye mitandao ya kijamii iliyoimbwa na msanii Ney wa mitego inasikika ikiwakejeli viongozi mbalimbali. Maneno yaliyotumika ni Makali sana, najua imetoka weekend mtasema hamkuwa kazini basi Jumatatu mchukue hatua na kinyume na hapo hatua zitachukuliwa dhidi yenu
Ney hajakejeli mtu na ndo maana mkienda mahakamani mnashindwa kesi...mfano Ney kasema mhsehimiwa Rais hivi unamjua Balshite? Haya niambie ktk kipande hicho ney anamaanisha rais yupi na nchi ipi?km we kwa akili yako unahisi ni wa tz thibitisha ni wa awamu ipi?1,2,3,4 au 5?haya kasikika Balshite waweza thibitisha ni balshite yupi wa nchi ipi ney alimaanisha?kumbuka ney msanii km anaigiza tu hamaanishi chochote?
Ney pigaaa kaziiii ww ndo unajua uimbe nini na wapi panafaa kuimbwa asikupangie mtu....
 
Basata au mtaka mtumbuliwe ninyi? Kuna hii nyimbo inayosambaa kwenye mitandao ya kijamii iliyoimbwa na msanii Ney wa mitego inasikika ikiwakejeli viongozi mbalimbali. Maneno yaliyotumika ni Makali sana, najua imetoka weekend mtasema hamkuwa kazini basi Jumatatu mchukue hatua na kinyume na hapo hatua zitachukuliwa dhidi yenu
Akili ndogo sana ..hamtaki ukweli kabisa... Mnataka msifiwe kwa sifa za kijinga ,kazungumzia vyeti feki,kazungumzia kuvamiwa kwa clouds, kazungumzia viongozi kutopenda ushauri ,kazungumzia hatua za kukurupuka za viongoz Wa nchi hii ,sasa apo kawazihiki kwenye nini ?? Ndio maana tundu lisu anawashinda kwa kila kitu mahakamani kwa akili ndogo kama hizi ,mnawafanya hao viongozi wenu miungu watu
 
Haiwezekani nyimbo za kumzodoa rais zapigwe ki horera hiyo!
Tutaanza kuforwadiana kwenye magroup wanatutafutie kesi bure!
 
Tanzania Kuna watu wagonjwa Sana namaanisha ubongo ni bikra. Muacheni Ney.
 
Wacha upumbavu kwani si kuna Uhuru wa kuimba chochote?
 
Haiwezekani nyimbo za kumzodoa rais zapigwe ki horera hiyo!
Tutaanza kuforwadiana kwenye magroup wanatutafutie kesi bure!
Mwakyembe juzi alimtendea Lisu figisufigisu akawa kamfanyia promo Lisu pasipo kujua matokeo yake lisu amekuwa Rais wa TLS, wimbo wa chura ulikuwa maarufu baada ya BASATA kuufungia, hivyo wakitaka uwe maarufu wathubutu kuufungia waone promo yake.
 
Kama walishindwa kuufungia ule pale Kati patam ambao ulikua na sifa zote za kuufungia huu unastaili uendelee kupigwa Kwan ngoma tam sana afu Imetoka kipindi kizuri yaani huyu atakua super sub
 
Basata au mtaka mtumbuliwe ninyi? Kuna hii nyimbo inayosambaa kwenye mitandao ya kijamii iliyoimbwa na msanii Ney wa mitego inasikika ikiwakejeli viongozi mbalimbali. Maneno yaliyotumika ni Makali sana, najua imetoka weekend mtasema hamkuwa kazini basi Jumatatu mchukue hatua na kinyume na hapo hatua zitachukuliwa dhidi yenu
DAH..ila kila mtu ana uburu wa kuandika na kuzungumza..VIVA True boy Bonge la wimbo...unahc Basata wao wana enjoy kwa huu mwenendo wa Bashite .
 
Haiwezekani nyimbo za kumzodoa rais zapigwe ki horera hiyo!
Tutaanza kuforwadiana kwenye magroup wanatutafutie kesi bure!
Hizo nyimbo ni zipi?

Ebu ziweka hapa tuzione na sisi kama ni kweli kama unavyosema. Siyo uendeshwe na chuki katika ubunifu na ajira ya mtu kisa haiwapendezi watawala.
 
Mwambieni huyo bashite ajiuzulu au asubiri afe kwa presha maana kumuattack ni nonstop hahahaha
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom