huko kwenu vipi
JF-Expert Member
- Jun 4, 2015
- 1,540
- 1,475
Haiwezekani nyimbo za kumzodoa rais zapigwe ki horera hiyo!
Tutaanza kuforwadiana kwenye magroup wanatutafutie kesi bure!
"Ki horera hiyo" unamaanisha nn?
Acha uwoga kijana wa kiume...
Kama ww hujaforward kesi ipi hyo itakayokupata?