Basata mnasubiri nini kumchukulia hatua Ney wa mitego

Basata au mtaka mtumbuliwe ninyi? Kuna hii nyimbo inayosambaa kwenye mitandao ya kijamii iliyoimbwa na msanii Ney wa mitego inasikika ikiwakejeli viongozi mbalimbali. Maneno yaliyotumika ni Makali sana, najua imetoka weekend mtasema hamkuwa kazini basi Jumatatu mchukue hatua na kinyume na hapo hatua zitachukuliwa dhidi yenu
hebu utupie tuusuikilize
 
Kiongoz gani aliemkejeli?
 
hahaha, Basata nao wamechoka. kimoyomoyo wanamshukuru Ney wa mitego kwamba amefiisha ujumbe. kwa jinsi watu walivyo download ile clip, hata wakipiga marufuku lakini ujumbe umeshafika.
 
Basata au mtaka mtumbuliwe ninyi? Kuna hii nyimbo inayosambaa kwenye mitandao ya kijamii iliyoimbwa na msanii Ney wa mitego inasikika ikiwakejeli viongozi mbalimbali. Maneno yaliyotumika ni Makali sana, najua imetoka weekend mtasema hamkuwa kazini basi Jumatatu mchukue hatua na kinyume na hapo hatua zitachukuliwa dhidi yenu
Kina kuuma nini?
 
Jamank acheni sanaa ifikishe ujumbe nyinyi si mmeshindwa malalamiko ya nn? Eti maneno makali. maneno ya Magu malaini ee
 
Basata au mtaka mtumbuliwe ninyi? Kuna hii nyimbo inayosambaa kwenye mitandao ya kijamii iliyoimbwa na msanii Ney wa mitego inasikika ikiwakejeli viongozi mbalimbali. Maneno yaliyotumika ni Makali sana, najua imetoka weekend mtasema hamkuwa kazini basi Jumatatu mchukue hatua na kinyume na hapo hatua zitachukuliwa dhidi yenu
Ina maana wewe hujui kuwa Ney ni msanii?na hujui kuwa pake anapiga kazi?wacha vijana wapige kazi bwana!
 
Basata au mtaka mtumbuliwe ninyi? Kuna hii nyimbo inayosambaa kwenye mitandao ya kijamii iliyoimbwa na msanii Ney wa mitego inasikika ikiwakejeli viongozi mbalimbali. Maneno yaliyotumika ni Makali sana, najua imetoka weekend mtasema hamkuwa kazini basi Jumatatu mchukue hatua na kinyume na hapo hatua zitachukuliwa dhidi yenu
"mitandao ya kijamii" oh kumbe hua mnaifatilia....oh kumbe ni official pia...
 
Waandishi, mitandao, sasa kwa mwanamuziki. kwa iyo mtu akienda tofauti na akili zako au zenu ni wakuchukuliwa hatua kali. duh kazi ipo.
 
Acheni kumfuata fuata Ney wawatu.....nyimbo atunge yeye,kurekodi karekodi kwa gharama zake,kuimba kaimba yeye na hajataja mtu kwanini mnampangia chakuimba?mbona hao walioimbwa kama unavyodai ney hawapangii wala hawachagulii maneno ya kusema?
*Mtoa post hivi unamjua Balshite? Hahaha mtanyoooka tu
 
Ney amekosea wapi Mkuu au kwa vile kaongea ukweli. Tatizo mnaona watu wajinga mnachokoza mkipigwa mnakimbilia pale fery
 
Basata au mtaka mtumbuliwe ninyi? Kuna hii nyimbo inayosambaa kwenye mitandao ya kijamii iliyoimbwa na msanii Ney wa mitego inasikika ikiwakejeli viongozi mbalimbali. Maneno yaliyotumika ni Makali sana, najua imetoka weekend mtasema hamkuwa kazini basi Jumatatu mchukue hatua na kinyume na hapo hatua zitachukuliwa dhidi yenu
Mmeanza ubashite wenu.
Yaani umbea umbea tuu
 
Kwani umeona Ney kaupeleka tbc ? Kauleta kwa wanaojitambua kama yeye yaani mitandaoni. Nyie kaangalieni TV yenu ya chama mbona mlishasema huku huwa hamji!? Unaumizwaje na kitu usivhikisikia?
Niacheni niimbe WAPO ya Ney:-
[HASHTAG]#Hivi[/HASHTAG] na Jf kuna wanaume wambea.......WAPO......!!
 
Msiwapangie BASATA cha kufanya. Wao wanajiamini na wanaijua kazi yao vizuri, afterall, hawafanyii kazi "udaku" wa mitandaoni.

Lile song lipo vizuri tu. Kwani ametaja jina la mtu? Anaweza kuwa anamuimba Trump au Mugabe.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom