Jifunze kuandika kwanza, panga sentensi zako vizuri, zingatia alama za kuuliza na alama za mashangao, ni hayo tu. sina la kuchangia hapa thread haijapangiliwa vizuri kunishawishi kuchangia.
This is Double Standards "mimi posho sitaki, lakini nataka zipelekwe kwetu. vile vile CHADEMA wamekosa leadership katika hilii, kama ni kweli limo katika bajeti kivuli iliyopitishwa na chama how on earth wabunge wake wataendelea kupokea hizo posho. Wasipokuwa makini suala hili litaback fire kwao kama amabavyo limeanza kwa kila mtu kuwa na lwake.
mkuu, unapotuambia huwezi kuchangia kwa sababu ya mpangilio, tunakuwa na wasiwasi na uwezo wa akili yako. kama vipi changia bana, ukigundua hakuna nukta wewe weka tuone tofauti. muulize zitto fedha za kununulia hammer alifanya biashara gani halali kumfanya posho halali aone ndio mahali pa kuhoji uhalali, japo siziungi mkono hizo posho. maamuzi yake amekishirikisha chama au anataka kutenda ili aonekane kama anavyojipembua kwa hammer!!! ha ha ha haa! nitarudi baadae
tena unafiki wa kutaka kuoneka mzuri machoni pa watanzania,,leo kuna familia ngapihuko jimboni mwako maskini wa kutupwakwa nini usingepeleka hizo posho moja kwa moja kwenye familia maskini kabisaili ziweze kuwasaidia kwa sababu ni pesa zaonarudia huo ni unafiki wa kutaka kuoneka mzuri machoni pa watanzania
Mbona NDESAMBURO hAPOKEI HATA SH 10?????????????! nA AMEANZA TOKA KITAMBO chadema TUpo JuuuuuuuMBUNGE wa Kigoma Kaskazini, Zitto Kabwe, ameiandikia barua Ofisi ya Bunge kuiomba isimamishe kumlipa posho zake zinazotokana na vikao vya Bunge kuanzia juzi. Zitto ametoa ombi hilo kwa barua rasmi aliyoiwakilisha kwa Katibu wa Bunge, Dk Thomas Kashililah Juni 7 mwaka huu.
tena unafiki wa kutaka kuoneka mzuri machoni pa watanzania,,leo kuna familia ngapi
huko jimboni mwako maskini wa kutupwa
kwa nini usingepeleka hizo posho moja kwa moja kwenye familia maskini kabisa
ili ziweze kuwasaidia kwa sababu ni pesa zao
narudia huo ni unafiki wa kutaka kuoneka mzuri machoni pa watanzania
mkuu, unapotuambia huwezi kuchangia kwa sababu ya mpangilio, tunakuwa na wasiwasi na uwezo wa akili yako. kama vipi changia bana, ukigundua hakuna nukta wewe weka tuone tofauti. muulize zitto fedha za kununulia hammer alifanya biashara gani halali kumfanya posho halali aone ndio mahali pa kuhoji uhalali, japo siziungi mkono hizo posho. maamuzi yake amekishirikisha chama au anataka kutenda ili aonekane kama anavyojipembua kwa hammer!!! ha ha ha haa! nitarudi baadae
Zito hajasusia posho ila amezielekeza jimboni kwake, jambo ambalo ni zuri tu. Wewe hujaelewa unakurupuka na kuleta ushauri wako usio na maana hapa. Unatakiwa uisome taarifa vizuri ndio utoe ushauri mwafaka. Posho ya kikao haiwezi kusaidia familia mojamoja maskini, wala umaskini hauwezi kuondolewa kwa kugawia fedha kila familia kwani kwa kufanya hivyo utazifanya familia hizo kuwa tegemezi milele. Jawabu hapo ni kuwawezesha familia mojamoja kuzalisha chakula chao na mahitaji yao mengine. Hilo ndilo alilo lenga Kabwe. Labda utuambie unachuki binafsi na Zito na ndio maana unamshambulia hapa na kututukana sisiwachgiaji wa thread yako ya ovyo.naomba nieleweke,kususia posho inamsaidia nini???maaana yangu hizo posho ange bypass ziwaendee familia zilizo maskini kabisa kwenye jimbo lake,nafikiri ni usahuri wa maana
tatizo lenu mnapenda kukurupuka na kuunga mkono kila jambo hata kama ni upumbavu!
naomba nieleweke,kususia posho inamsaidia nini???maaana yangu hizo posho ange bypass ziwaendee familia zilizo maskini kabisa kwenye jimbo lake,nafikiri ni usahuri wa maana
tatizo lenu mnapenda kukurupuka na kuunga mkono kila jambo hata kama ni upumbavu!
MBUNGE wa Kigoma Kaskazini, Zitto Kabwe, ameiandikia barua Ofisi ya Bunge kuiomba isimamishe kumlipa posho zake zinazotokana na vikao vya Bunge kuanzia juzi.
Zitto ametoa ombi hilo kwa barua rasmi aliyoiwakilisha kwa Katibu wa Bunge, Dk Thomas Kashililah Juni 7 mwaka huu.
Zitto aache janja yake! Anatupiga tu wananchi changa la macho. Hii Kigoma Development Initiative(KDI) ni NGO yake mwenyewe! So hizo allowance zinamrudia yeye mwenyew
halafu wewe ni regia au mwanachadema mwenzake kabisaaa, yani unatia kinyaa kabisa unafiki utakuua na uroho na wewe fungua yako shetani kabisa