Barua: Zitto akataa posho za vikao

Jimboni kwako unampigia kura peke yako?

Kweli kamanda Zitto UNATISHA!... Kwanza uliweka kama mapendekezo ya budget ya upinzani, halafu ile wenzio wanasuasua we umefanya kweli,...
Ungekuja kugombea ubunge jimboni kwangu, kura yangu ungeiweka mkononi kwa mwendo huu!
 
MBUNGE wa Kigoma Kaskazini, Zitto Kabwe, ameiandikia barua Ofisi ya Bunge kuiomba isimamishe kumlipa posho zake zinazotokana na vikao vya Bunge kuanzia juzi.

Zitto ametoa ombi hilo kwa barua rasmi aliyoiwakilisha kwa Katibu wa Bunge, Dk Thomas Kashililah Juni 7 mwaka huu.

Big up Zitto.....huu pia ni mtego kwa wabunge wenzie wa cdm...hasa mwenyekiti! Kama hii ni sera au msimamo wa cdm nilitegemea/nategemea mwenyekiti awe wa mwanzo kuzikataa posho hizo. Chadema wanaweza kuwa wabunifu zaidi katika hili kwa kuzikusanya pesa hizo (kama wote watakubaliana) na kuzielekeza sehemu moja ambayo matunda yake yatakuwa na impact kubwa zaidi kwa chama na sio kwa mbunge mmojammoja! Ni lazima wakumbuke kuwa tunawatizama kama 'chama' mbadala (na sio individuals) .
 
Ni vyema ukatambua siku zote dhana ya mapinduzi ya kweli huanzia kwa mtu mmoja na baadae inaspread zaid kwa watu wengine. huwez ukategemea group mindset kila wakati ili ufanikiwe. Kwani wakati Dr.Slaa anataja list of shame wa EPA etc ulitaka Cdm wote nao wawataje wakati huo huo. nasema Cdm differ 4rm magamba.
 
Target group yako watakuelewa, the rest wanakuona kama ni kibarua.

Mkuu mahesabu ungetoka kidogo tu nje ya box ungegundua kuna kina Bill & Belinda Gates Foundation wanaopata ruzuku toka Microsoft ya Bill Gates. Hivi unatambua kuwa Mandela alipeleka mkwanja aliopata as co-winner Nobel Prize kwenye NGO yake??

Kumbuka kuna separation kati ya owners na kampuni/NGO aliyoanzisha. Hivi kabla hajasema kuwa posho zake ziende KDI mbona hatukuhoji integrity the NGO hiyo?? Kuwa na NGO uchwara Tanzania haimaanishi kuwa NGO zote ni mchumia tumbo.

Zitto apongezwe kwa hili na wala tusiwe wataalam wakutoa maangalizo.
What have we done to our communities anyway before telling others what ought to be done?
 
This is Double Standards "mimi posho sitaki, lakini nataka zipelekwe kwetu. vile vile CHADEMA wamekosa leadership katika hilii, kama ni kweli limo katika bajeti kivuli iliyopitishwa na chama how on earth wabunge wake wataendelea kupokea hizo posho. Wasipokuwa makini suala hili litaback fire kwao kama amabavyo limeanza kwa kila mtu kuwa na lwake.
 
  • Thanks
Reactions: FJM
Kama kweli CDM iko serious kuchukua nchi, ni lazima kuwe na maamuzi ya pamoja na si mtu mmoja. Zitto anaweza kuisadia CDM au kuiporomosha ikiwa ni msimamo wa kibinafsi.

Ingependeza kama nini tungesikia wabunge wa CDM/CCM wafanya hivi, na si mtu mmoja. Je ni maamuzi ya chama au ya kwake binafsi? Kama ni ya kibinafsi, hakuna tofauti na "NITOKE VIPI".
 
uamuzi mzurii, zitto kama waziri wa fedha wa kambi ya upinzani,awaagize pia wabunge wa kambi yake waache posho hizo kwa kua ndo opposition working budget waliyo ipitisha wote, huku wakishinikiza serikali kuungana na sera yao...other wise its good move to zitto as zitto
 
Zitto aache janja yake! Anatupiga tu wananchi changa la macho. Hii Kigoma Development Initiative(KDI) ni NGO yake mwenyewe! So hizo allowance zinamrudia yeye mwenyewe!

Zitto ali-discuss hili ndani ya CHADEMA kabla hajaandika barua? Na kama wali-discuss Wabunge wa CHADEMA walikataa au walikubali? Kama hawaja-discuss kwa nini Zitto aamue kuandika barua ki-vyake? Zitto si tu Naibu waziri kivuli wa Fedha ila ni naibu kiongozi kambi ya upinzani bungeni, sasa, amefanya nini ndani ya chama chake kuwashawishi wabunge wenziwe ili nao waachane na hizi posho.

Sijui ni mimi au kuna mwingine hapa jamvini, ila hii move ya Zitto haijakaa vizuri. Iko kiuchokozi-chokozi na most likely inaweza kuleta maneno ndani ya chama chake Zitto. This young man is bad news in many ways. very calculating! Alishaonesha dalili za usaliti huko nyoma, so are we supposed to believe even on this move is not plotting something nasty for CHADEMA leadership?
 
Nice move Mh. Zitto, kwakweli inasikitisha kuona kuwa viongozi wanajijali wenyewe tu angalau kuna watu sasa wanaanza kukataa baadhi ya mambo kwa vitendo
 
Tumpongeze zitto zaidi kwa kuchukua uamuzi wa kutoa hiyo kauli hadharani. Hili suala la kukataa posho ilikuwa ni lazima alitekeleze kutokana na kauli yake. Labda swali la kujiuliza ni kwa nini hii kauli imekuja sasa
 
  • Thanks
Reactions: FJM
Huenda ArDF ni nyuki asiyeuma na KDI ni nyuki anayeuma!!! Nitajuaje kama sijui uongozi wa KDI na sijasikia ikisomesha wanafunzi 400 kama unavyoniambia hapa kuhusu ArDF?
Kimbunga ndo maana nakwambia CDM differ Magamba. Siku zote jamii haziwezi kulingana kwa matatizo kwa 100% na ndio maana Cdm kwa kuliona hilo mwaka 2005 wakaja na sera ya matumizi ya resource zilizopo katika maeneo husika. lazima ufahamu vipaumbele vinatofautiana eneo moja mpaka jingine. viva cdm
 
Kwanza Ni jambo La aibu, umukaa kikao kupanga namna ya kutafuta pesa na kuboresha sekta unataka ujilipe mipesa nabado mwisho wa mwezi unapta mshahara mkubwa kwa kusoma mafaili uliyoandika mwenyewe kwa msaada wa secretary wako. Huuni uwizi mkubwa acheni wizi huo. Igeni nchi za wenzeni. Tunashukuru sana Mh. HEAVY katika hili wewe shujaa.
 
Kama kweli CDM iko serious kuchukua nchi, ni lazima kuwe na maamuzi ya pamoja na si mtu mmoja. Zitto anaweza kuisadia CDM au kuiporomosha ikiwa ni msimamo wa kibinafsi.

Ingependeza kama nini tungesikia wabunge wa CDM/CCM wafanya hivi, na si mtu mmoja. Je ni maamuzi ya chama au ya kwake binafsi? Kama ni ya kibinafsi, hakuna tofauti na "NITOKE VIPI".

Mbona mbowe hakwenda mahakamani lakini wenzake slaaa na Ndesamburo na Lema walikwenda. Kwa nini hawakufanya maamuzi ya pamoja kwenye hili . Punguzeni conspiracy theory zenu

Mambo ya posho ni kitu binafsi wakiona inafaa ila mtu ataamua naye afanyie posho zake jamabo analoona linafaa jimboni kwake au wenye chama chake
 
Kwan hiyo KDI haipo jimbon kwake? Watu hawaelewi kuwa kuchukua posho ww binafsi ni suala moja na kuagiza ipelekwe kwenye taasis ni suala jingine. Hawaelew kuwa ikiwa kwenye taasis lazima itolewe taarifa ilitenga kazi gani. Ameamua kuipeleka kwa ajili ya kusaidia wananchi wote wa kigoma na sio ubinafsi kama unaouongea wewe.
 
Zitto aache janja yake! Anatupiga tu wananchi changa la macho. Hii Kigoma Development Initiative(KDI) ni NGO yake mwenyewe! So hizo allowance zinamrudia yeye mwenyewe!




kuna jambo linanichanganya hapa,huko kwao kigoma tunajua maendeleo yako nyuma sana,kwa nini aache posho badala ya kuzielekeza kwa familia maskini huko kwao???huo ni unafiki usio na maanawa kutaka kuonekana mzuri machoni pa watanzania
 
  • Thanks
Reactions: FJM
Zitto aache janja yake! Anatupiga tu wananchi changa la macho. Hii Kigoma Development Initiative(KDI) ni NGO yake mwenyewe! So hizo allowance zinamrudia yeye mwenyewe!



Mwehu wewe! mpaka usikie Mbowe na Lema wameandika barua ndio utawasifu. Shame on u KIBARAKA.
 
Back
Top Bottom