Barua za kusitishwa masomo kwa UDSM

Barua za kusitishwa masomo kwa UDSM

Pôle.....karibu civil engineering, quantity surveying,architecture ardhi university
 
Pôle sana .......chuo nimpakaa siku unavaa johoo ndo inabidi ujisifiee

Nikikumbuka lile tokeo la 2013.......île pure math duuh ....Yale matokeo shule nzima n bendera za GS tuuuuuu......
 
Boya kufeli chuo ni uzembe na wengi mmesoma private advance au olevel,kwa uzembe nilinusulika kudisco chuo matokeo yako advance sio dili tena,ndorooooo oooooooboooooo
 
Anway,fanya hvi mdogo wangu,nenda pale utawala,ingia ground floor tafuta ofisi number 3 au 2 kama ckosei,ulizia director wa undergraduate studies anaitwa prof Moshi,mwambie ulikua coet na bahati mbaya umeliwa kichwa,jifanye u had family problem zlizokuchanganya mpaka perfomance yako ikawa mbovu,jifanye unalia kabisa,huyu mzee ana huruma atakusaidia kukupa admission mpya kwenye college nyingne out of coet,option ya pili atakuambia kama unataka kusoma tena uhandisi wako,basi ataweze kukuconnect direct na wakuu wa vyuo kama DIT au Udom maana wanafahamiana au ataweza pia kukusaidia kupata hyo barua ya kudisco mapema.jaribu kufanya hvyo,kuna rafki yangu nae alikua electrical,alidisco huyo mzee akamkonekt na mtu flani pale DIT,saivi ndo anamalzia mwaka wake wa nne.

sio profesa Moshi =ni profesa Mushi
 
nitashughulikia kwanza,,nikishindwa kabisa nitamtafuta mtu huko TCU anisaidie japokuwa sina mategemeo sana kwenye hilo kwa sababu wameweka deadline kusudi ikipita hapo tu itakuwa ni shauri yako!nilisoma Baobab

yule rafiki yako bonge anaesoma medicine IMTU vp?
 
Wakuu naombeni ushauri..nimedisco mwaka huu nikiwa second year Udsm sasa nahitaji kufanya maombi upya ya chuo TCU. Kama mnavyojua inahitajika kupeleka barua huko TCU ili ufutwe kabisa kwenye system ndipo uapply,,chuoni (UDSM ) wanatoa tamko kuwa barua zitatoka officially jumatatu na siku hiyo hiyo tarehe 31 august ndiyo deadline. Kuna uwezekano wowote wa kuwahi ili niweze kuapply?

Pole sana! Nakushauri utulize mawazo yako then uchague kozi utakayoweza kuimudu darasani na yenye soko baada ya kuhitimu. Na uzingatie masomo sana siyo kila mara upo kwenye WhatsApp, Facebook, Instagram, na mengineyo na ukasahau ulichofwata chuo. Pole najua jinsi umeumia ila usikate tamaa yataisha tu.
 
Anway,fanya hvi mdogo wangu,nenda pale utawala,ingia ground floor tafuta ofisi number 3 au 2 kama ckosei,ulizia director wa undergraduate studies anaitwa prof Moshi,mwambie ulikua coet na bahati mbaya umeliwa kichwa,jifanye u had family problem zlizokuchanganya mpaka perfomance yako ikawa mbovu,jifanye unalia kabisa,huyu mzee ana huruma atakusaidia kukupa admission mpya kwenye college nyingne out of coet,option ya pili atakuambia kama unataka kusoma tena uhandisi wako,basi ataweze kukuconnect direct na wakuu wa vyuo kama DIT au Udom maana wanafahamiana au ataweza pia kukusaidia kupata hyo barua ya kudisco mapema.jaribu kufanya hvyo,kuna rafki yangu nae alikua electrical,alidisco huyo mzee akamkonekt na mtu flani pale DIT,saivi ndo anamalzia mwaka wake wa nne.

Anaitwa Prof. Mushi siyo Moshi. Kama ukilia tu wanakubalia ombi nazani kusingekua na disco.
 
Nakushauri pia uonane na mwalimu wako mshauri( Academic Advisor) kila huwa anapewa Academic Advisor nazani atakufikisha sehemu sahihi.
 
Pole sana kwa yaliyokupata nafahamu watu waliopata matatizo kama yako, kama umekuwa na ujasiri wa kueleza hili tatizo. Nenda TCU ukikutana na mhusika mueleze ukweli na nia yako ya kurudi chuo cha msingi usichague tena UDSM ukirudi pale utapata tabu hasa utakapokuwa unakutana na class mate wenzako
 
Wakuu naombeni ushauri..nimedisco mwaka huu nikiwa second year Udsm sasa nahitaji kufanya maombi upya ya chuo TCU. Kama mnavyojua inahitajika kupeleka barua huko TCU ili ufutwe kabisa kwenye system ndipo uapply,,chuoni (UDSM ) wanatoa tamko kuwa barua zitatoka officially jumatatu na siku hiyo hiyo tarehe 31 august ndiyo deadline. Kuna uwezekano wowote wa kuwahi ili niweze kuapply?

kuna jamaa yangu ilimtokea hii mwaka jana,,ni PM nikupe namba yake umuulize alifanyaje
 
Back
Top Bottom