Barua za kusitishwa masomo kwa UDSM

Barua za kusitishwa masomo kwa UDSM

Tatizo lako ni saikolojia,najua kwa sasa una wakati mgumu! unajihisi mwenyewe pia unajiuliza watu wako wa karibu watakuonaje! pia unaepueka uunganishe juu kwa juu kabla watu wengine na marafiki hawajajua kuwa uli-disco kwani ulipata division ONE wanaamini wewe ni kichwa. Hizo ni moja ya changamoto zako nina uhakika! Ushauri wangu acha papara tulia kwa mwaka huu plz! Watu walisha disco baadae wakanyanyuka wakafanya wonders, ni vijimambo ukajikuta umeingia nyavuni mkuu! Ningeshauri mwakani uombe chuo kingine ubadili na mazingira using'ang'anie hapo Udsm ili watu wasikuulize maswali mbona umehama chuo na kujua kuwa uli-disco!

kuhusu ndugu na watu wengine hainipi shida hata kidogo!!hilo si tatizo langu..naweza kurudi hapohapo Udsm ikiwezekana!kila mtu na historia yake
 
When one door is closed, many more are opening. Just stay positive and look for opportunities. Discontinuation is not the end of the tunnel but it's just a beginning of your journey to success.

Amen mkuu!!
 
Wakuu naombeni ushauri..nimedisco mwaka huu nikiwa second year Udsm sasa nahitaji kufanya maombi upya ya chuo TCU. Kama mnavyojua inahitajika kupeleka barua huko TCU ili ufutwe kabisa kwenye system ndipo uapply,,chuoni (UDSM ) wanatoa tamko kuwa barua zitatoka officially jumatatu na siku hiyo hiyo tarehe 31 august ndiyo deadline. Kuna uwezekano wowote wa kuwahi ili niweze kuapply?

Pole kwa kudisco we tulia usiwaze TCU wataongeza mda tu wale hata usiwe na presha uta apply tu
 
Umeshajaribu apply system ikasema ivyo?
 
ndio...inasema "it seems you are already enrolled"
 
Pole aisee ulikua unasoma course gani mkuu napaelewa vizuri apo, I guess ulikua Coet
 
BRN wsnaangalia na mwaka pia ww n 2013 utakuwa tofaut na 2016 cz kuna kitu kinaitwa new grade na old grade xo wa old grade akipata two ni sawa na mtu alie pata 1 ktk new grade xo hilo lickupe shida ndugu
 
Mi pia nakushauri ukae chini kwanza utulie akili ijipange upya na ikiwezekana utafute hata tempo au shughuli yoyote mtaani ili usikae idle. Then uanze kuangalia mapema program utakayoimudu vyema darasani na ambayo ina mashiko kwenye soko la ajira then ndo uombe tena chuo. Pia kwa kipindi hiki hutakiwi kuwaza au kuangalia nani anakuona au anakusema vibaya isipokua focus zaidi kwenye kuyaandaa maisha yako ya baadae, kaa ukifahamu kwamba kila mja kapangiwa rizki yake na Mola wake hivyo usikate tamaa wala kuvunjika moyo cz maisha ni mtihani na sisi wanadamu ndo wahusika. Nikutakie kila la heri mkuu naamini utapata chuo tena!

ingekua vyema kupata nafasi ya chuo kwanza halafu ndo nikarefresh...ikitokea la kutokea naweza kubadilisha kozi!nataka tu uhakika wa nafasi hata nikianza mwakani sio mbaya pia ilimradi najua nina admission yangu tayari
 
Dogo ulikua civil au electrical engineering hapo udsm?pole sana,uckate tamaa,ichukulie hiyo hali kama changamoto ktk maisha yako.
 
Anway,fanya hvi mdogo wangu,nenda pale utawala,ingia ground floor tafuta ofisi number 3 au 2 kama ckosei,ulizia director wa undergraduate studies anaitwa prof Moshi,mwambie ulikua coet na bahati mbaya umeliwa kichwa,jifanye u had family problem zlizokuchanganya mpaka perfomance yako ikawa mbovu,jifanye unalia kabisa,huyu mzee ana huruma atakusaidia kukupa admission mpya kwenye college nyingne out of coet,option ya pili atakuambia kama unataka kusoma tena uhandisi wako,basi ataweze kukuconnect direct na wakuu wa vyuo kama DIT au Udom maana wanafahamiana au ataweza pia kukusaidia kupata hyo barua ya kudisco mapema.jaribu kufanya hvyo,kuna rafki yangu nae alikua electrical,alidisco huyo mzee akamkonekt na mtu flani pale DIT,saivi ndo anamalzia mwaka wake wa nne.
 
Mungu akuongoze Mdogo wangu cha muhimu zingatia ushauri wa wadau I have been there for 4 yrs nayaelewa vizuri mazingira ya pale,anyway u naweza kumcheki pia prof.mtalo yuko water resources engineering anaweza kukusaidia Ana huruma, ww nenda mdanganye Kama alivyosema mkuu hapo juu anaweza kukusaidia tukiwa second yr kuna jamaa yetu alidisco alimfanyia mishe akahamia sua irrigation engineering,director wa undergraduate ni prof.ndomba Kama sikosei na yeye ni mwelewA sana cheki alternatives mbalimbali utafanikiwa dogo usikate tamaa komaa
 
Wakuu naombeni ushauri..nimedisco mwaka huu nikiwa second year Udsm sasa nahitaji kufanya maombi upya ya chuo TCU. Kama mnavyojua inahitajika kupeleka barua huko TCU ili ufutwe kabisa kwenye system ndipo uapply,,chuoni (UDSM ) wanatoa tamko kuwa barua zitatoka officially jumatatu na siku hiyo hiyo tarehe 31 august ndiyo deadline. Kuna uwezekano wowote wa kuwahi ili niweze kuapply?

duuuh mkuu pole
 
Mimi nakushauri jaribu kutafuta vitu muhimu vyote uwe navyo tayari ku-apply mwaka huu kama itawezekana. Wakati huo huo uwe unaangalia sehemu nyingine pia. Ila hapo UDSM wakishajua una haraka ndiyo kwanza wanakuchelewesha (hapa naongelea wale wamama wanao-print result slips - ni wasumbufu kichizi) watumie DARUSO ama mtu mwenye - influence ili upate hiyo barua. HAKUNA HAJA YA KUSUBIRI, Miaka hiyo ya 47 kulikuwa na usemi maarufu hapo chuo yaani main campus "WHY WAIT?" Nimeukumbuka baada ya kuona watu wengi wakikushauri usubiri. By the way option nyingine zote zimekwama?, kukata rufaa?, Kumwona dr. akuandikie vizuri (nafikiri unanielewa), ili uombe kurudia mwaka - better option?.
Kitu kinachotuponza wengi wetu ni aibu, ukiona umeandikiwa Disco unaingia mitini na unaanza kuwakwepa watu ambao ndo wangekusaidia. Ebu kawakabili (walimu, viongozi wa DARUSO, wanafunzi wenzio na yeyote anayeweza kukusaidia) ukiwaeleza yaliyokukuta na kuomba ushauri kwao.
 
Back
Top Bottom