Barua za kusitishwa masomo kwa UDSM

Barua za kusitishwa masomo kwa UDSM

Keep fighting ndugu...wat matters is u mzima..disco sio kifo and so long as u mzima thats a chance to fight...never lose hope plus ondoa aibu..aibu ndo sumu kali na inayokwamisha towards maendeleo yoyote....all the best ndugu
 
Tupe mrejesho umefanikiwa vipi ili isaidie na wengine

kwa upande wangu niliongea na kiongozi wa DARUSO UDSM akasaidia kuwaambia uongozi wa chuo waweze kuzitoa barua mapema!jana ijumaa zilitoka na niliweza kupeleka TCU.Natumaini mambo yatakuwa vyema!
 
Nashukuru kwa ushauri wako....lakini haya mambo ya BRN yanachangia ufaulu kuwa wa juu kila mwaka. Naogopa kwa mwakani kuwa hivyo hivyo na nikashindwa kupata kozi nzuri.
mfano mzuri..mimi nilimaliza form six 2013 PCM na nikapata DIVISION ONE POINT 9.. phy-D,chem-B na ADV-C kwa mwaka ule ningeweza kuapply kozi yoyote na nikapata kwa kuwa ufaulu ulikuwa mdogo sana lakini kwa mwaka huu siwezi kuchagua kozi fulani kwa sababu hiyo ni div 2 according to BRN!

Matokeo ya BRN huwezi yalinganisha kwa ubora na yale ya 2013 kurudi nyuma!!! Nafasi unayo.
 
Pole sana Ndugu. Yamenikuta hayo. Nili-disco mwaka wa tatu kwenda wa nne hapohapo UDSM 2006 engineering. Bado maumivu yake nayakumbuka. Usikate tamaa lakini.
 
So sorry dada! Stand still and fight. I wish you all the best
 
Wakuu naombeni ushauri..nimedisco mwaka huu nikiwa second year Udsm sasa nahitaji kufanya maombi upya ya chuo TCU. Kama mnavyojua inahitajika kupeleka barua huko TCU ili ufutwe kabisa kwenye system ndipo uapply,,chuoni (UDSM ) wanatoa tamko kuwa barua zitatoka officially jumatatu na siku hiyo hiyo tarehe 31 august ndiyo deadline. Kuna uwezekano wowote wa kuwahi ili niweze kuapply?
Ulikuwa unasoma course gani? Fanya application mwakani halafu uchague course nyingine hiyo umesha shindwa..
 
Nashukuru kwa ushauri wako....lakini haya mambo ya BRN yanachangia ufaulu kuwa wa juu kila mwaka. Naogopa kwa mwakani kuwa hivyo hivyo na nikashindwa kupata kozi nzuri.
mfano mzuri..mimi nilimaliza form six 2013 PCM na nikapata DIVISION ONE POINT 9.. phy-D,chem-B na ADV-C kwa mwaka ule ningeweza kuapply kozi yoyote na nikapata kwa kuwa ufaulu ulikuwa mdogo sana lakini kwa mwaka huu siwezi kuchagua kozi fulani kwa sababu hiyo ni div 2 according to BRN!
Utapata nafasi na course matokeo yako usiyalinganishe na miaka hii...we apply lakini usi apply course uliyo shindwa! Usikate tamaa
 
wakuu mimi nili terminate studies due to medical grounds(depression) mwaka 2012/2013.nilipeleka barua yangu tangu tarehe 17/8/2015,jina langu halijatoka hadi leo.but nilijaribu ku aplly cas ikakubali sijui kama nitachaguliwa au vipi namwachia Mungu.
 
Pole sana Ndugu. Yamenikuta hayo. Nili-disco mwaka wa tatu kwenda wa nne hapohapo UDSM 2006 engineering. Bado maumivu yake nayakumbuka. Usikate tamaa lakini.

Kwakweli sioati picha maumivu hayo

Mimi sapu zilikua zinanitetemesha sembuse kudisco
 
Mimi nilisoma hapo semista 1 na 2 nusu nikaona sipati g.p.a kubwa zaidi. Mi sap yakitosha ...hapo COET hapafai kama hujajiandaa kisaikolojia usiende udsm

Nilipiga Chin nikaomba tena chuo na mkopo huku nipo 2nd semister..

Sasa nipo koz za engineering chuo flan cha serikari na GPA napata kubwa .....na bata nakula....

Coet hata bata huli na kudisco una disco....

Nami ni mwenzako wa necta 2013

...

Nakushauri nenda TCU waeleze una apply believe me....

Ila coet napaheshimu
 
chuo gani mkuu??
 
wakuu mimi nili terminate studies due to medical grounds(depression) mwaka 2012/2013.nilipeleka barua yangu tangu tarehe 17/8/2015,jina langu halijatoka hadi leo.but nilijaribu ku aplly cas ikakubali sijui kama nitachaguliwa au vipi namwachia Mungu.

wewe ulikua hauna haja ya kupeleka barua,,barua yako ilishapelekwa TCU na chuo chenyewe na ukafutwa kwenye system na wao wenyewe,,ndo maana ukaweza ku-apply!
 
Udsm sio pazuri hapo kweli is home of interectuals kutafuta C yenyewe kazi.... Mimi hua nashangaa GPA ya 4 mtu anatoa wapi.. Ni mziki Sana'a.. Pia angalia coz ya kwenda upande mwingine hamna mtelemko kuna mtabe CL na AS sap na carry over za kutosha..
 
ku-apply chuo chochote haiwezekani kwa sasa mpk nipeleke barua ya kudisco ndipo nifutwe na niapply upya chuo chochote!kwa sasa system inanitambua bado kuwa nilishapangiwa chuo tayari
sidhani, ipo hivi wewe saivi upo kwenye data base ya tcu sio kwenye chuo unachotaka kuomba ingekuwa ngumu kama ungekuwa unaomba kupitia cas moja kwa moja. ushauri wangu omba chuo unachotaka lakn tofaut na udsm kisha endelea kufuatilia kule tcu uhakikishe chuo ulichoomba wakipeleka tcu wanafunzi walio wachagua tayari tcu wasikuone kwenye database yao wawe walishakutoa hiyo ndo njia ambayo unaweza kuitumia pia hakikisha pia unaenda bod ya mikopo
 
Anway,fanya hvi mdogo wangu,nenda pale utawala,ingia ground floor tafuta ofisi number 3 au 2 kama ckosei,ulizia director wa undergraduate studies anaitwa prof Moshi,mwambie ulikua coet na bahati mbaya umeliwa kichwa,jifanye u had family problem zlizokuchanganya mpaka perfomance yako ikawa mbovu,jifanye unalia kabisa,huyu mzee ana huruma atakusaidia kukupa admission mpya kwenye college nyingne out of coet,option ya pili atakuambia kama unataka kusoma tena uhandisi wako,basi ataweze kukuconnect direct na wakuu wa vyuo kama DIT au Udom maana wanafahamiana au ataweza pia kukusaidia kupata hyo barua ya kudisco mapema.jaribu kufanya hvyo,kuna rafki yangu nae alikua electrical,alidisco huyo mzee akamkonekt na mtu flani pale DIT,saivi ndo anamalzia mwaka wake wa nne.
Absolute true coordinator wa undergraduate prof mushi ni very understanding aisee..i agree with u jaribu kuonana nae atakusaidia in one way or another

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hapa papara sio mahali pake. Kuna jamaa yetu mmoja alidisco first year Electronics. Akarukia faster Electrical Engineering. Akaja kudisco 3rd year. It was so sad and painful. Tukamshauri akatulie home kwanza mwaka mmoja. Then akaja kuanza na kumaliza fresh BCom.
 
Back
Top Bottom