Barua za kusitishwa masomo kwa UDSM

Barua za kusitishwa masomo kwa UDSM

Hapa papara sio mahali pake. Kuna jamaa yetu mmoja alidisco first year Electronics. Akarukia faster Electrical Engineering. Akaja kudisco 3rd year. It was so sad and painful. Tukamshauri akatulie home kwanza mwaka mmoja. Then akaja kuanza na kumaliza fresh BCom.
Umeshauri vzr ila uzi wa2013
 
sidhani, ipo hivi wewe saivi upo kwenye data base ya tcu sio kwenye chuo unachotaka kuomba ingekuwa ngumu kama ungekuwa unaomba kupitia cas moja kwa moja. ushauri wangu omba chuo unachotaka lakn tofaut na udsm kisha endelea kufuatilia kule tcu uhakikishe chuo ulichoomba wakipeleka tcu wanafunzi walio wachagua tayari tcu wasikuone kwenye database yao wawe walishakutoa hiyo ndo njia ambayo unaweza kuitumia pia hakikisha pia unaenda bod ya mikopo
Nyuzi ya2015...umechelewa kutoa ushauri...siku nyingine uwahi kuja mkuu
 
Tulia refresh then apply mwakani..kuhusu kozi unayopenda i guess u had a chance but u failed..dont look back move on lakini usifanye papara
Huu ndio ukweli japo unaweza muumiza mleta mada. Sasa ajaribu kozi nyingine sio lazima sana kupata kozi za ndoto zako muhimu sasa ni survival. Yaani umalize chuo salama ukizingatia umri unaenda.
 
Back
Top Bottom