Barua za kusitishwa masomo kwa UDSM

Barua za kusitishwa masomo kwa UDSM

Mimi nakushauri jaribu kutafuta vitu muhimu vyote uwe navyo tayari ku-apply mwaka huu kama itawezekana. Wakati huo huo uwe unaangalia sehemu nyingine pia. Ila hapo UDSM wakishajua una haraka ndiyo kwanza wanakuchelewesha (hapa naongelea wale wamama wanao-print result slips - ni wasumbufu kichizi) watumie DARUSO ama mtu mwenye - influence ili upate hiyo barua. HAKUNA HAJA YA KUSUBIRI, Miaka hiyo ya 47 kulikuwa na usemi maarufu hapo chuo yaani main campus "WHY WAIT?" Nimeukumbuka baada ya kuona watu wengi wakikushauri usubiri. By the way option nyingine zote zimekwama?, kukata rufaa?, Kumwona dr. akuandikie vizuri (nafikiri unanielewa), ili uombe kurudia mwaka - better option?.
Kitu kinachotuponza wengi wetu ni aibu, ukiona umeandikiwa Disco unaingia mitini na unaanza kuwakwepa watu ambao ndo wangekusaidia. Ebu kawakabili (walimu, viongozi wa DARUSO, wanafunzi wenzio na yeyote anayeweza kukusaidia) ukiwaeleza yaliyokukuta na kuomba ushauri kwao.

asante sana kwa ushauri mkuu...kwa sasa kuomba chuo upya ndio naona ni the best option,,hata hivyo sitaki kozi ileile tena nataka kubadilisha!nitaenda kuwaona hao wahusika ili waweze kunisaidia zaidi...kuhusu mambo ya application everything is in place tayari kwa sasa!ni wao tuu
 
Mimi nakushauri jaribu kutafuta vitu muhimu vyote uwe navyo tayari ku-apply mwaka huu kama itawezekana. Wakati huo huo uwe unaangalia sehemu nyingine pia. Ila hapo UDSM wakishajua una haraka ndiyo kwanza wanakuchelewesha (hapa naongelea wale wamama wanao-print result slips - ni wasumbufu kichizi) watumie DARUSO ama mtu mwenye - influence ili upate hiyo barua. HAKUNA HAJA YA KUSUBIRI, Miaka hiyo ya 47 kulikuwa na usemi maarufu hapo chuo yaani main campus "WHY WAIT?" Nimeukumbuka baada ya kuona watu wengi wakikushauri usubiri. By the way option nyingine zote zimekwama?, kukata rufaa?, Kumwona dr. akuandikie vizuri (nafikiri unanielewa), ili uombe kurudia mwaka - better option?.
Kitu kinachotuponza wengi wetu ni aibu, ukiona umeandikiwa Disco unaingia mitini na unaanza kuwakwepa watu ambao ndo wangekusaidia. Ebu kawakabili (walimu, viongozi wa DARUSO, wanafunzi wenzio na yeyote anayeweza kukusaidia) ukiwaeleza yaliyokukuta na kuomba ushauri kwao.

Option ya kumuona dr akuandikie na ku appeal usijaribu u will waste your time kwa sababu huwezi fanikiwa napajua vizuri udsm labda uwe umedisco kwa case ya examination irregularities na sio below gpa . Focus kwenye alternatives zingine
 
Kuna mwanngu ajafanyaga UE sem ya kwanza udom.... Ameend kuchukuaa baruaa chuoni kapeleka tcu mwaka huu ila mwanzoni alishanunua hata vochaa....kapeleka tcu na ameaply upya kama kawaida.... We apply mwana....course nayeye alikuwa pcm ivoivo 2013,
 
Ushauri wangu kwako jaribu kwenda kuwaelezea uwaambie ukweli kuwa deadline ya kufanya application imefika,naamini wanaelewa wanaweza kukupa hiyo barua pia kuna mdau kajaribu kukuambia kuwa ujaribu kuongea na Viongozi wa DARUSO hata hiyo pia ni njia sahihi sana..pole sana lakini hivyo ndio maisha yalivyo.
 
Pole sana kwa kutofanya vizuri, usikate tamaa hiyo ni sehemu ta maisha, endelea na mapambano.

Kama kuna tangazo la Jumatatu ni la uongo hilo! Barua zimeshatoka tangu jana, nenda haraka kwenye college/school yako ukachukue barua zipo tayari.

Kumbuka unaweza kuomba tena UDSM lakini campus college tofauti.

Kuhusu points za form six, kwa mwaka wako bado uzito ni ule ule, soma prospectus au download kijitabu cha admission toka kwenye mtandao wa chuo sehemu ya 'undergraduate' kwa maelezo zaidi.

Jenga tabia ya kuuliza kwenye ofisi husika badala ya kusikiliza ya watu wasio rasmi.

Takatakia mafanikio mema.
 
Wakuu naombeni ushauri..nimedisco mwaka huu nikiwa second year Udsm sasa nahitaji kufanya maombi upya ya chuo TCU. Kama mnavyojua inahitajika kupeleka barua huko TCU ili ufutwe kabisa kwenye system ndipo uapply,,chuoni (UDSM ) wanatoa tamko kuwa barua zitatoka officially jumatatu na siku hiyo hiyo tarehe 31 august ndiyo deadline. Kuna uwezekano wowote wa kuwahi ili niweze kuapply?

Pole kwa disco mkuu
Kwanza kama ulimaliza 2013 ukapata div 1 kwa pcb au combination yoyote wewe una uwezo mzuri au mkubwa(hujataja shule uliyosoma,,,depending on that),matokeo ya nchi zima kati ya wanafunzi almost 40,000 waliofanya necta mwaka ule division 1 zilikua 325 tuh,,hivyo naamini umeteleza lakini uwezo unao
Kuhusu iyo case kama kuna ulazima sana wa kuapply mwaka huu(kutulia kidogo au kuomba mwaka huu huu yote ni maamuzi yanayoweza kuwa sahihi kulingana na mazingira yako,sababu za kudisco na maoni ya mtu anaekusomesha na mengineyo then wasiliana na uongozi kupitia serikali ya wanafunzi na incase kama una mtu yoyote unafahamiana nae mfuate personal,,,kesho ijumaa try to sort that matter out,,maana unaweza kwenda chuo j3 asubuhi ukaambiwa muhusika hayupo au bado taratibu hazijakamilika barua hazipo tayari

Lakini pia huko tcu wanapopokea maombi huwa wanasubiri siku chache kama 3 au week kabisa ndipo wanaanza kuyafanyia kazi(beware tcu ni govt inst,,wanafanya kazi zao kiserikaliserikali)kama kuna mtu unamfaham au una mtu anaeweza kuwa anamfahamu mtu pale muelezee iyo situation na atakusaidia,,mwisho wa siku utapata chuo mwaka huu huu ka uko determined kuonganisha kweli
 
Pole sana kwa yalyokukuta, ni part of life. Nakushauri fanya all best and possible options upate chuo mwaka huu. Siafki suala la kusubir et hadi next year, do now wkt kichwa bado cha moto + machungu ya kudisco yatakufanya uwe more serious and carefull. Ukifanikiwa usisahau kutujuza, tunakuombea kila la kheri
 
Keep going and focused bro, nimependa ulivyo muwazi, usiogope maisha ni changamoto, kuna degree zingine ni za madesa
 
Nitafanya options zote na nikifanikiwa nitawajuza!Shukrani kwa baraka zako..nina imani nitafanikiwa
 
Pole kwa disco mkuu
Kwanza kama ulimaliza 2013 ukapata div 1 kwa pcb au combination yoyote wewe una uwezo mzuri au mkubwa(hujataja shule uliyosoma,,,depending on that),matokeo ya nchi zima kati ya wanafunzi almost 40,000 waliofanya necta mwaka ule division 1 zilikua 325 tuh,,hivyo naamini umeteleza lakini uwezo unao
Kuhusu iyo case kama kuna ulazima sana wa kuapply mwaka huu(kutulia kidogo au kuomba mwaka huu huu yote ni maamuzi yanayoweza kuwa sahihi kulingana na mazingira yako,sababu za kudisco na maoni ya mtu anaekusomesha na mengineyo then wasiliana na uongozi kupitia serikali ya wanafunzi na incase kama una mtu yoyote unafahamiana nae mfuate personal,,,kesho ijumaa try to sort that matter out,,maana unaweza kwenda chuo j3 asubuhi ukaambiwa muhusika hayupo au bado taratibu hazijakamilika barua hazipo tayari

Lakini pia huko tcu wanapopokea maombi huwa wanasubiri siku chache kama 3 au week kabisa ndipo wanaanza kuyafanyia kazi(beware tcu ni govt inst,,wanafanya kazi zao kiserikaliserikali)kama kuna mtu unamfaham au una mtu anaeweza kuwa anamfahamu mtu pale muelezee iyo situation na atakusaidia,,mwisho wa siku utapata chuo mwaka huu huu ka uko determined kuonganisha kweli

nitashughulikia kwanza,,nikishindwa kabisa nitamtafuta mtu huko TCU anisaidie japokuwa sina mategemeo sana kwenye hilo kwa sababu wameweka deadline kusudi ikipita hapo tu itakuwa ni shauri yako!
 
Pole sana kwa kutofanya vizuri, usikate tamaa hiyo ni sehemu ta maisha, endelea na mapambano.

Kama kuna tangazo la Jumatatu ni la uongo hilo! Barua zimeshatoka tangu jana, nenda haraka kwenye college/school yako ukachukue barua zipo tayari.

Kumbuka unaweza kuomba tena UDSM lakini campus college tofauti.

Kuhusu points za form six, kwa mwaka wako bado uzito ni ule ule, soma prospectus au download kijitabu cha admission toka kwenye mtandao wa chuo sehemu ya 'undergraduate' kwa maelezo zaidi.

Jenga tabia ya kuuliza kwenye ofisi husika badala ya kusikiliza ya watu wasio rasmi.

Takatakia mafanikio mema.

Nashukuru kwa kunitakia kheri...lakini naamini hao watu wa ofisi husika wamo humuhumu Jamii forums pia,,kutokea kwao naweza pata msaada mizuri ya kimawazo kama ambavyo nimepata na naendelea kupata.Kwa sababu naamini wapo watu wenye experience zao kuhusiana na hili swala,,sio mbaya nikijuzwa. Nilishaenda,ninakwenda na sitoacha kwenda ofisi husika pia kwa kuwa ndio zenye mchango mkubwa,, cha msingi mwisho wa siku nifanikiwe!
 
Keep going and focused bro, nimependa ulivyo muwazi, usiogope maisha ni changamoto, kuna degree zingine ni za madesa

Thank you...kuwa muwazi ni kitu cha msingi ili nipate msaada
 
Kuna mwanngu ajafanyaga UE sem ya kwanza udom.... Ameend kuchukuaa baruaa chuoni kapeleka tcu mwaka huu ila mwanzoni alishanunua hata vochaa....kapeleka tcu na ameaply upya kama kawaida.... We apply mwana....course nayeye alikuwa pcm ivoivo 2013,

yah..naapply..nasubiria barua tu!
 
Option ya kumuona dr akuandikie na ku appeal usijaribu u will waste your time kwa sababu huwezi fanikiwa napajua vizuri udsm labda uwe umedisco kwa case ya examination irregularities na sio below gpa . Focus kwenye alternatives zingine

nami pia nilifikiria hilo!
 
Back
Top Bottom