barua ya wazi kwa ben saanane

barua ya wazi kwa ben saanane

labda sielewi!!!hapa kinachandikwa ndio kinachomaanishwa au ni lugha ya picha inatumika!!!cpo cpo sana humu ndani lakini gues ben una respekt zako kama ni ujinga mwachie huyo cjui bishanga aandike utumbo wake hapa sasas hii ndio barua ya wazi hii au utoto tuu!embu acha

Kaka rudi upige hodi uulizie taratibu za humu afu ndo uingie, usijejikuta umeingilia mlango wa kutokea...
 
kikulacho??????????????

im-watching-you.jpg & him Bishanga..
 
hahahaha mkuu za kule uziache kulekule na huku ni mpango mwingind by the way naweza kukufanya mshenga wakati wa ndoa yangu na atakae climb in love na mimi.

Washenga utatafuta mie kazi yangu ni ku screen ma kuidhinisha au kutoidhinisha, ila ushauri tu, usijemtumia Mr Rocky kama mshenga, utalia..
 
Last edited by a moderator:
Washenga utatafuta mie kazi yangu ni ku screen ma kuidhinisha au kutoidhinisha, ila ushauri tu, usijemtumia Mr Rocky kama mshenga, utalia..

Baba V acha kunichafulia sifa bana mi ni mshenga mzuri tuu na nikienda kuposa narudi nikiwa mimi ndo muoaji na sio mshenga sasa huoni hiyo ni faida
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom