barua ya wazi kwa ben saanane

barua ya wazi kwa ben saanane

Ben Saanane tahadhari chukua hatua,kama ni kuingia ikulu nakushauri uingie aidha na Passion Lady, amu, Paloma, marejesho, Smile, Zion Daughter au ikishindikana Nivea.
Nawasilisha.
With deep concern,
Bishanga abashaija.

Kosa ulilofanya kumshauri aende ikulu na wake za watu! Na kosa kubwa kuliko yote ni kumtaja mke wangu kwenye hiyo list. Kosa kubwa sana!!!

This is the last warning! Mke wangu marejesho ni mjamzito na hahitaji usumbufu wa aina yeyote kwa sasa!!!
 
Last edited by a moderator:

hahahhahah
 
Last edited by a moderator:
Kwa kweli vidumu vya siku hizi hhavina nidhamu, yaani kimekiimbia utamu kuja kuanzisha sred?
ha haaa, ukiona hivyo ujue na yeye ni kidumu cha mwingine, lol!
hivi wababa nao huwa wana vidumu? au tunaviitaje?
 
Back
Top Bottom