Kwa masikitiko makubwa ninakuandikia waraka huu,kwa jina ninaitwa bishanga abashaija mkazi wa Chole road , kwenye li apartment masaki.Ninaendesha vx new model na akaunti yangu iko citibank na vekesheni zangu ni hawaii,kwa kifupi sina njaa kama
Erickb52 Nicas Mtei ,
Judgement na
Arushaone ambao kula yao ni kueneza majungu,hila na fitna.
Zumuni la balua hii ni kukufahamisha yafuatayo:
1.
Madame B hakufai
2.
Madame B ukimchezea anakutegua kiuno ( source:
kiplagati26)
3.
Madame B ni mtu wa limbwata sana na anatumia maji ya mochwale ( source: shosti wake
Mamndenyi)
4.
Madame B kila kukicha anaku cheat mara leo na
tedo,kesho na
CHAI CHUNGU keshokutwa na
Shark........the list goes on
5.
Madame B ni chichiem dam siri za mtikila ndo alikuwa anaziuza kwa kova
6.
Madame B ni mbea hana mfano,kanichonganisha na
The secretary mpaka tumeachana
7.
Madame B ana shosti anaitwa aunt bilali wamjua weye?
8.
Madame B kwa kuchuna hafai kafilisi bendi ya tp
Chimbuvu ochestra,alikuwa anaingiza mashangingi ya kinondoni bure
9.
Madame B ana plan kumtumia
Remote amvushe bahari akajilipue yuke.
10.
Madame B jana kanipigia simu 'oh bishanga nakuzimia
Ben Saanane namlia hela tu' kha!
Ben Saanane tahadhari chukua hatua,kama ni kuingia ikulu nakushauri uingie aidha na
Passion Lady,
amu,
Paloma,
marejesho,
Smile,
Zion Daughter au ikishindikana
Nivea.
Nawasilisha.
With deep concern,
Bishanga abashaija.