barua ya wazi kwa ben saanane

barua ya wazi kwa ben saanane

Ole wako umbea wenyewe umhusu babu ODM. BTW nimepata breakdown naweza kuja kulala kwako? Niko na wife na watoto wawili.

heeeeeeeeeeee Asprin...........breakdown??? ulikuwa watoka./waenda wapi? na watoto?!?!? kwema kweli???
mbony shafooo klemeeeeeeeeeee
 
Last edited by a moderator:
Dah,ndo maana ben saanane anaumwa leo kumbe madam ni mtaalamu hata wa vipapai????unaugua anajifanya anacare kumbe anachukua point tatu!![/QUOTE Innobwoy una akili sana wewe!
 
Last edited by a moderator:
Last edited by a moderator:
utasubiria sana panton airport! mi na mume wangu Asprin mpaka siku ya hukumu! twapendana kupita juzi! mtuwacheeeeeeeee tupumuweee...........! miaka 80000 mbele yako! upo babito?

"the problem is not ours! the problem is him understanding us!"

Nimekumisi mpaka baioloji inatetemeka. Hunitendei haki ujue....
 
Naona unataka kucha, jicho na meno yako yapotee kimiujiza.

Madame b mbona unatitangazia ukilema????nataka kufanya mapinduzi kwa bei na garama zozote,ikinirazimu nitoe kucha,kope au meno nitafanya ivyo walau nionje mambo ya wakubwa!!!
 
Bishanga wewe ni nabii uliona kabla mwanaume kaumbuka kama utani.
 
Madame b mbona unatitangazia ukilema????nataka kufanya mapinduzi kwa bei na garama zozote,ikinirazimu nitoe kucha,kope au meno nitafanya ivyo walau nionje mambo ya wakubwa!!!

Utazeeka kabla ya wakati wako kijana.
 
Kwani mi na wewe tunazuriana dada, si unakumbuka uliniachiaga Arushaone siku ya valentine?
 
Last edited by a moderator:
Kwani mi na wewe tunazuriana dada, si unakumbuka uliniachiaga Arushaone siku ya valentine?
 
Last edited by a moderator:
Kwa masikitiko makubwa ninakuandikia waraka huu,kwa jina ninaitwa bishanga abashaija mkazi wa Chole road , kwenye li apartment masaki.Ninaendesha vx new model na akaunti yangu iko citibank na vekesheni zangu ni hawaii,kwa kifupi sina njaa kama Erickb52 Nicas Mtei , Judgement na Arushaone ambao kula yao ni kueneza majungu,hila na fitna.
Zumuni la balua hii ni kukufahamisha yafuatayo:
1. Madame B hakufai
2. Madame B ukimchezea anakutegua kiuno ( source: kiplagati26)
3. Madame B ni mtu wa limbwata sana na anatumia maji ya mochwale ( source: shosti wake Mamndenyi)
4. Madame B kila kukicha anaku cheat mara leo na tedo,kesho na CHAI CHUNGU keshokutwa na Shark........the list goes on
5. Madame B ni chichiem dam siri za mtikila ndo alikuwa anaziuza kwa kova
6. Madame B ni mbea hana mfano,kanichonganisha na The secretary mpaka tumeachana
7. Madame B ana shosti anaitwa aunt bilali wamjua weye?
8. Madame B kwa kuchuna hafai kafilisi bendi ya tp Chimbuvu ochestra,alikuwa anaingiza mashangingi ya kinondoni bure
9. Madame B ana plan kumtumia Remote amvushe bahari akajilipue yuke.
10. Madame B jana kanipigia simu 'oh bishanga nakuzimia Ben Saanane namlia hela tu' kha!
Ben Saanane tahadhari chukua hatua,kama ni kuingia ikulu nakushauri uingie aidha na Passion Lady, amu, Paloma, marejesho, Smile, Zion Daughter au ikishindikana Nivea.
Nawasilisha.
With deep concern,
Bishanga abashaija.
Dah!!!!
Kitambo aisee
 
Back
Top Bottom