barua ya wazi kwa ben saanane

barua ya wazi kwa ben saanane

Acha hizo cacico mihasira ya kupigwa kibuti na bwanenu Asprin ndo unaniletea mimi?
utasubiria sana panton airport! mi na mume wangu Asprin mpaka siku ya hukumu! twapendana kupita juzi! mtuwacheeeeeeeee tupumuweee...........! miaka 80000 mbele yako! upo babito?
 
Last edited by a moderator:
Zinduna mkodobwe haukumfaa Bishanga! itisha ngoma nyingine, na safari hii apakwe supu ya mkangaja!

Shem!
Hii supu nayo haiongezi yale mahanjam yetu akina baba?
Mi naogopa !
Kuna siku YNNAH alinipa ya Pweza kidole kilisimikaje! Mithili ya chuma kile kichomozacho juu ya mwamvuli!
 
Last edited by a moderator:
utasubiria sana panton airport! mi na mume wangu Asprin mpaka siku ya hukumu! twape
ndana kupita juzi! mtuwacheeeeeeeee tupumuweee...........! miaka 80000 mbele yako! upo babito?

cacico ungejua Asprin anavyoku cheat wala usingeyasema haya!
Kopi aione Yummy na BADILI TABIA.....poor girls wanatia huruma.
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom