barua ya wazi kwa ben saanane

barua ya wazi kwa ben saanane

Shem!
Hii supu nayo haiongezi yale mahanjam yetu akina baba?
Mi naogopa !
Kuna siku YNNAH alinipa ya Pweza kidole kilisimikaje! Mithili ya chuma kile kichomozacho juu ya mwamvuli!
Mbona sielewielewi? Tungo tata hii,mwavuli na thubu wapi na wapi?
 
Last edited by a moderator:
Mmmmmhhhhh i doubt

Huu mguno una vimelea kibao vya majungu!
Hakyanani vile ntasanua ufisadi ulioufanya majuzi! Ohooo!
Muda huu najua utakua kwenye jam unampeleka Boss wako ofisini, hebu mfikishe kwanza, then chukua karatasi niandikie mchanganuo nikusaidieje wewe na The secretary ili urejee kwenye heshma yako ya zamani.
 
ulishawahi kumsaidia bill gate wewe!
 
Last edited by a moderator:
Nicas Mtei acha ushankunpe,ulikuwepo wakati Nivea anaachwa? Kwa taarifa yako Ben Saanane anatinga naye ikulu 2015.

Hahaha!
Afu wewe Bandidu Bishanga nisikilize kwa makini, maana nillikaa kimya kwa maana mpenzi na mume wangu Ben Saanane alipata Malaria ya ghafla, mmezidi kumsema sana,hvo nilikuwa namuuguza.
Sasa nisikilize kwa makini.

1. Madame B na Ben Saanane ni wapenzi walioshibana.
Tunaandamana popote pale, iwe jangwani, nyikani, kwenye mvua, jua, joto na hata baridi.
Hivo hatufikirii kuachana leo wala kesho.
Utasubiri sana fenesi chini ya Mpera.

2. Mimi na Ben Saanane tumelishana Yamini.
Tumegusisha damu zetu kwa ahadi isiyovunjika kwa mamilioni ya miaka ijayo.

3. Nakuhakikishia Ben Saanane hana mwanamke mwingine hapa Duniani na kesho Akhera zaidi ya Madame B,toto la Kinondoni, mtoto wa mjini, kimwana Dar es Salaam, Shoga mkubwa na toto la mjini mwenzie Mrembo by Nature.
Nikiwa na wifi yangu wa Ukwenhe Chocs, toto lainiii...kama unanawa.

4. Bishanga Utajiju,maana najua ulikuwa unanivizia ili niingie kwenye Himaya yako.
Nakwambia Hv, niache nipumue na Mwenzi wangu.

COPY: Baba V...huyooo,
Judgement...huyooo,
Shark...huyooo...kamata mwizi meeen.
Copy nyingine imwendee mume mdogo mpyaa...brand new Remote.
Chimbuvu...kama bado unanipenda gombea ubunge wa Kinondoni mjini.
tedo na Chilli nawapenda sana kwa maana mu-wavumilivu.

Ni hayo tu,
Madame B & Ben Saanane INC.
 
naaaam kpenz changu
 
Last edited by a moderator:
Dah,ndo maana ben saanane anaumwa leo kumbe madam ni mtaalamu hata wa vipapai????unaugua anajifanya anacare kumbe anachukua point tatu!!
 
Huu mguno una vimelea kibao vya majungu!
Hakyanani vile ntasanua ufisadi ulioufanya majuzi! Ohooo!
Muda huu najua utakua kwenye jam unampeleka Boss wako ofisini, hebu mfikishe kwanza, then chukua karatasi niandikie mchanganuo nikusaidieje wewe na The secretary ili urejee kwenye heshma yako ya zamani.

ya kwangu na mke wangu sweetie The secretary hayakuhuu!
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom