Bishanga
JF-Expert Member
- Jun 29, 2008
- 15,321
- 10,140
- Thread starter
- #421
Hahaha!
Afu wewe Bandidu Bishanga nisikilize kwa makini, maana nillikaa kimya kwa maana mpenzi na mume wangu Ben Saanane alipata Malaria ya ghafla, mmezidi kumsema sana,hvo nilikuwa namuuguza.
Sasa nisikilize kwa makini.
1. Madame B na Ben Saanane ni wapenzi walioshibana.
Tunaandamana popote pale, iwe jangwani, nyikani, kwenye mvua, jua, joto na hata baridi.
Hivo hatufikirii kuachana leo wala kesho.
Utasubiri sana fenesi chini ya Mpera.
2. Mimi na Ben Saanane tumelishana Yamini.
Tumegusisha damu zetu kwa ahadi isiyovunjika kwa mamilioni ya miaka ijayo.
3. Nakuhakikishia Ben Saanane hana mwanamke mwingine hapa Duniani na kesho Akhera zaidi ya Madame B,toto la Kinondoni, mtoto wa mjini, kimwana Dar es Salaam, Shoga mkubwa na toto la mjini mwenzie Mrembo by Nature.
Nikiwa na wifi yangu wa Ukwenhe Chocs, toto lainiii...kama unanawa.
4. Bishanga Utajiju,maana najua ulikuwa unanivizia ili niingie kwenye Himaya yako.
Nakwambia Hv, niache nipumue na Mwenzi wangu.
COPY: Baba V...huyooo,
Judgement...huyooo,
Shark...huyooo...kamata mwizi meeen.
Copy nyingine imwendee mume mdogo mpyaa...brand new Remote.
Chimbuvu...kama bado unanipenda gombea ubunge wa Kinondoni mjini.
tedo na Chilli nawapenda sana kwa maana mu-wavumilivu.
Ni hayo tu,
Madame B & Ben Saanane INC.
Leo nimeamini limbwata linafanya kazi,yaani mjanja kama Chilli anapigishwa foleni? Aisee!
Last edited by a moderator: