Tetesi: Barua ya Nchimbi ilifichwa

Tetesi: Barua ya Nchimbi ilifichwa

Nchimbi aliandika barua ndefu ya kujiuzulu yenye kurasa nyingi yenye maelezo mengi kwanini anaondoka.

Ndani yake kazungumzia
Ufisadi unaendelea

Mauaji ya raia wasio na hatia ya October 29/2025

Amezungumzia utekaji
Amezungumzia katiba mpya.

Lakini kubwa amezungumzia CCM kujiondoa kuwa chama na kuwa chini ya dollar.

Kazungumzia kesi za mchongo za LISSU

Amezungumzia vifo vya Mashakaka vya Magufuli, Lowasa, Ndungai, kijazi, na wengine wengi

Amesema CCM haiwezi kushinda uchaguzi wowote kwa sababu imejiondoa kwa watanzania

Kaongea mambo mengi mazito ndio maana yupo chini ya ulinzi mkali kwa hofu ya kuvujisha Ile barua lakini wanashindwa kufahamu kuwa barua ishavuja tayari.
Lete fact!
 
Tutaaminije ulichoandika kama ni kweli ?
 
Yaani serikali ifiche barua wewe kajamba nani uione na ujue yaliyoandikwa ndani yake 😭😭😭😭
Screenshot_20260902_100931_Chrome.jpg
Screenshot_20260902_101152_Chrome.jpg
 
Nchimbi hajaandika barua yoyote ya KUJIUZULU
Nchimbi sio Kilaza, anajua vizuri umafia wa nchi hii, angekua kaamdika hiyo barua ndefu kwa u smart wake kabla haijaenda public kupitia serikali ingekua tayari iko sehemu zingine credible kwa lolote litakalo tokea

Nchimbi aliwekwa kizuizini akaondolewa access ya mawasiliano kisha wasiojulikana wakaandika kwenye Insta yake akiwa kizuizini

Kwa sasa wanamsikilizia kama atapoa kama Ndugai wamuachie aendelee na marupu rupu yake kama Makamu mstaafu…….. akikomaa atakuja kuibukia mahakamaniiiii kwa kesi ya uhasi kama sio uhaini

Hii nchi ya kimama sana aiseeee
 
Mm kwa ufahamu wa kawaida ,ukiniambia nchibi aliandika barua nakataa mpaka dakika ya mwisho
Ni KIONGOZI wa juu ,ana umri mkubwa ,ana udhoefu ndani ya serikali ,ana connection ya kutosha ingawa buck up pia ipo ingawa syo lahisi kuifahamu kwa sababu ya mifumo iliyo
A .aliwezaje kuandika barua akiwa ndani ya nchi huku akijua what next ?
B. Now yupo wapi lejea Maneno ya warioba you get something
Nchibi alicheza draft nzuri ila dakika za mwisho mambo yalienda

Mm nasubr Taarifa kwa umma mkuu wa idara nyet out if out .kama itakuwa ndyo nitaunganisha dot.
 
Back
Top Bottom