Tetesi: Barua ya Nchimbi ilifichwa

Tetesi: Barua ya Nchimbi ilifichwa

Dr.omari Alli juma unamkumbuka!!?what if team kizimkazi wakaamuz ku balance equation!!

Kuna kitu watanzania bara hawajui!

Hii team inalipa kisasi cha uchungu wa miaka mingi kwa katiba ile ile iliyotumika kwa miaka mingi kuwaumiza watu wao kama kina Abood jumbe,omari Ali juma,maalim seif n.k!!

Watanganyika wengi ni mbumbu Hadi viongozi washauri hawaelewi!!

Watanganyika tumefika huku wa upumbavu wetu coz hatukutarajia hata siku Moja mzanzibari anaweza kuwa Rais kwa katiba hii ,tiliamini tutapanga mambo dodoma na hawana ujanja sasa ule mwanya wameupata nakwambia tuweni wapole Tena Kwa makelele na kupanic kwetu kianza kudai katiba mpya ndio tunaharibu!!

Tutulie tuwe wapole Hadi wao wenyewe waone wapo safe kama wao walivyokaa kwa miaka mingi Hadi Mungu alipowakumbuka ndio turekebishe katiba!!

Kwa Sasa kwatiba Ina wa favor wao hawawezi UNGA mkono juhudi za kuibadili na kama wakitaka wataifanya kwa mfumo unaowa favor wao!!

Nimefurahishwa sana na SIMBACHAWENE ile ndio njia pekee ya kuishi nao kwa sasa hakuna nyingine mkileta hizo suuu mtahatarisha maisha ya hata hai wachache waliopo kwenye system hasa watanzania bara!!

Akili kumkichwa!!
Akati hawafiki hata milioni mbili
 
Back
Top Bottom