Tetesi: Barua ya Nchimbi ilifichwa

Tetesi: Barua ya Nchimbi ilifichwa

Dr.omari Alli juma unamkumbuka!!?what if team kizimkazi wakaamuz ku balance equation!!

Kuna kitu watanzania bara hawajui!

Hii team inalipa kisasi cha uchungu wa miaka mingi kwa katiba ile ile iliyotumika kwa miaka mingi kuwaumiza watu wao kama kina Abood jumbe,omari Ali juma,maalim seif n.k!!

Watanganyika wengi ni mbumbu Hadi viongozi washauri hawaelewi!!

Watanganyika tumefika huku wa upumbavu wetu coz hatukutarajia hata siku Moja mzanzibari anaweza kuwa Rais kwa katiba hii ,tiliamini tutapanga mambo dodoma na hawana ujanja sasa ule mwanya wameupata nakwambia tuweni wapole Tena Kwa makelele na kupanic kwetu kianza kudai katiba mpya ndio tunaharibu!!

Tutulie tuwe wapole Hadi wao wenyewe waone wapo safe kama wao walivyokaa kwa miaka mingi Hadi Mungu alipowakumbuka ndio turekebishe katiba!!

Kwa Sasa kwatiba Ina wa favor wao hawawezi UNGA mkono juhudi za kuibadili na kama wakitaka wataifanya kwa mfumo unaowa favor wao!!

Nimefurahishwa sana na SIMBACHAWENE ile ndio njia pekee ya kuishi nao kwa sasa hakuna nyingine mkileta hizo suuu mtahatarisha maisha ya hata hai wachache waliopo kwenye system hasa watanzania bara!!

Akili kumkichwa!!
Una uchawa kwa asilimia kubwa sana
 
Yana mwisho mzee, wala hayana muda mrefu
 
Nchimbi aliandika barua ndefu ya kujiuzulu yenye kurasa nyingi yenye maelezo mengi kwanini anaondoka.

Ndani yake kazungumzia
Ufisadi unaendelea

Mauaji ya raia wasio na hatia ya October 29/2025

Amezungumzia utekaji
Amezungumzia katiba mpya.

Lakini kubwa amezungumzia CCM kujiondoa kuwa chama na kuwa chini ya dollar.

Kazungumzia kesi za mchongo za LISSU

Amezungumzia vifo vya Mashakaka vya Magufuli, Lowasa, Ndungai, kijazi, na wengine wengi

Amesema CCM haiwezi kushinda uchaguzi wowote kwa sababu imejiondoa kwa watanzania

Kaongea mambo mengi mazito ndio maana yupo chini ya ulinzi mkali kwa hofu ya kuvujisha Ile barua lakini wanashindwa kufahamu kuwa barua ishavuja tayari.
We kimavi huo ni uwongo wako uliojitungia. Ni mazuzu na nyumbu wenzako ndiyo watakuunga mkono maana JG imekuwa jukwaa la wapuuzi km wewe
 
Nchimbi aliandika barua ndefu ya kujiuzulu yenye kurasa nyingi yenye maelezo mengi kwanini anaondoka.

Ndani yake kazungumzia
Ufisadi unaendelea

Mauaji ya raia wasio na hatia ya October 29/2025

Amezungumzia utekaji
Amezungumzia katiba mpya.

Lakini kubwa amezungumzia CCM kujiondoa kuwa chama na kuwa chini ya dollar.

Kazungumzia kesi za mchongo za LISSU

Amezungumzia vifo vya Mashakaka vya Magufuli, Lowasa, Ndungai, kijazi, na wengine wengi

Amesema CCM haiwezi kushinda uchaguzi wowote kwa sababu imejiondoa kwa watanzania

Kaongea mambo mengi mazito ndio maana yupo chini ya ulinzi mkali kwa hofu ya kuvujisha Ile barua lakini wanashindwa kufahamu kuwa barua ishavuja tayari.
Hv ni mwehu gani ataamini huu uchafu wako? Huoni ht aibu kuandika huu ushamba?
 
Barua Iko wapi!!?kama ishavuja!!?

Hiyo barua wa kuitoa ni yeye mwenyewe. Kiuhalisia barua ya kujiuzulu wote hatujaiona. Barua aliyoitoa public ilikuwa ya kuonyesha intention au taarifa kuwa amemuandikia Rais. Ni vizuri akafanya lama alivyofavya Polepole kwa MASLAHI YA UMMA.
 
Nchimbi aliandika barua ndefu ya kujiuzulu yenye kurasa nyingi yenye maelezo mengi kwanini anaondoka.

Ndani yake kazungumzia
Ufisadi unaendelea

Mauaji ya raia wasio na hatia ya October 29/2025

Amezungumzia utekaji
Amezungumzia katiba mpya.

Lakini kubwa amezungumzia CCM kujiondoa kuwa chama na kuwa chini ya dollar.

Kazungumzia kesi za mchongo za LISSU

Amezungumzia vifo vya Mashakaka vya Magufuli, Lowasa, Ndungai, kijazi, na wengine wengi

Amesema CCM haiwezi kushinda uchaguzi wowote kwa sababu imejiondoa kwa watanzania

Kaongea mambo mengi mazito ndio maana yupo chini ya ulinzi mkali kwa hofu ya kuvujisha Ile barua lakini wanashindwa kufahamu kuwa barua ishavuja tayari.
Sio kweli hawezi kuandika zaidi ya kile alichokipandisha kwenye account yake na account rasmi za ofisi yake..
 
Bila kudai "proof of life", kimzaha mzaha jamaa tunaweza tusimuone wala kumsikia tena na wenyewe watapiga mute kama Polepole.

Watakuwa wanaibuliwa watu waje kusema mambo ya kizuizini kumbe ndiyo ntolee hiyo.
 
Nchimbi aliandika barua ndefu ya kujiuzulu yenye kurasa nyingi yenye maelezo mengi kwanini anaondoka.

Ndani yake kazungumzia
Ufisadi unaendelea

Mauaji ya raia wasio na hatia ya October 29/2025

Amezungumzia utekaji
Amezungumzia katiba mpya.

Lakini kubwa amezungumzia CCM kujiondoa kuwa chama na kuwa chini ya dollar.

Kazungumzia kesi za mchongo za LISSU

Amezungumzia vifo vya Mashakaka vya Magufuli, Lowasa, Ndungai, kijazi, na wengine wengi

Amesema CCM haiwezi kushinda uchaguzi wowote kwa sababu imejiondoa kwa watanzania

Kaongea mambo mengi mazito ndio maana yupo chini ya ulinzi mkali kwa hofu ya kuvujisha Ile barua lakini wanashindwa kufahamu kuwa barua ishavuja tayari.
Imevuja tupatie
 
Ni aibu kubwa sana na ni kudogosha kwa kiasi kikubwa mamlaka ya nchi
 
Nchimbi aliandika barua ndefu ya kujiuzulu yenye kurasa nyingi yenye maelezo mengi kwanini anaondoka.

Ndani yake kazungumzia
Ufisadi unaendelea

Mauaji ya raia wasio na hatia ya October 29/2025

Amezungumzia utekaji
Amezungumzia katiba mpya.

Lakini kubwa amezungumzia CCM kujiondoa kuwa chama na kuwa chini ya dollar.

Kazungumzia kesi za mchongo za LISSU

Amezungumzia vifo vya Mashakaka vya Magufuli, Lowasa, Ndungai, kijazi, na wengine wengi

Amesema CCM haiwezi kushinda uchaguzi wowote kwa sababu imejiondoa kwa watanzania

Kaongea mambo mengi mazito ndio maana yupo chini ya ulinzi mkali kwa hofu ya kuvujisha Ile barua lakini wanashindwa kufahamu kuwa barua ishavuja tayari.
Nimeona Instagram Maria Sarungi anasema tumeshinda sikumuelewa au ndio hiyo barua
 
Nchimbi hajaandika barua yoyote ya KUJIUZULU
Nchimbi sio Kilaza, anajua vizuri umafia wa nchi hii, angekua kaamdika hiyo barua ndefu kwa u smart wake kabla haijaenda public kupitia serikali ingekua tayari iko sehemu zingine credible kwa lolote litakalo tokea

Nchimbi aliwekwa kizuizini akaondolewa access ya mawasiliano kisha wasiojulikana wakaandika kwenye Insta yake akiwa kizuizini

Kwa sasa wanamsikilizia kama atapoa kama Ndugai wamuachie aendelee na marupu rupu yake kama Makamu mstaafu…….. akikomaa atakuja kuibukia mahakamaniiiii kwa kesi ya uhasi kama sio uhaini

Hii nchi ya kimama sana aiseeee
Hii kama inakuja vile
 
Tetesi za soka

Unaweza kuta sio tetesi..hawa majasusi wana mambo mengi sana. Timing ya kila kitu mi muhimu sana. Mungu anataka Tanzania ijulikane...na hilo hao,bi approval ya mtu yoyote.

Kuna wenye dhamana waliowaangusha sana wapiga kura....
 
Nchimbi aliandika barua ndefu ya kujiuzulu yenye kurasa nyingi yenye maelezo mengi kwanini anaondoka.

Ndani yake kazungumzia
Ufisadi unaendelea

Mauaji ya raia wasio na hatia ya October 29/2025

Amezungumzia utekaji
Amezungumzia katiba mpya.

Lakini kubwa amezungumzia CCM kujiondoa kuwa chama na kuwa chini ya dollar.

Kazungumzia kesi za mchongo za LISSU

Amezungumzia vifo vya Mashakaka vya Magufuli, Lowasa, Ndungai, kijazi, na wengine wengi

Amesema CCM haiwezi kushinda uchaguzi wowote kwa sababu imejiondoa kwa watanzania

Kaongea mambo mengi mazito ndio maana yupo chini ya ulinzi mkali kwa hofu ya kuvujisha Ile barua lakini wanashindwa kufahamu kuwa barua ishavuja tayari.
Mwenye nayo tafadhali,kwani mabalozi ni 🔥🔥🔥
 
Back
Top Bottom