Barua ya Malcom X: Huko Makka Saudi Arabia

Kwani mkuu kipindi Malcom anaenda Saudia si ulikua unaishi kule? Au umesahau tena
Mkuu ukweli mchungu,malcom x alifeli kuwaunganisha baba zetu.Alileta sera za kiarabu na uislamu kwa African american na akawagawa.Hana tofauti na Martin Luther King jr,alileta sera za wazungu na ukristo kwa African american na akawagawa.WOTE WALIFELI
 
Ngoja nikutoe ushamba kidogo
1. ukienda Mecca sio majority Waarabu, ni sehemu ambayo mamilioni ya watu wanatembelea, na Malcom alikutana na Race zote, including wazungu na wengineo, Ameshazoea Treatment ya Wazungu America akifika kule anakutana na watu wa Albania, Bosnia, ambao ni Blonde na Blue Eyes ila wanajishusha mbele ya Mwenyez Mungu.

2. Hio Serikali ya Saudia ni mshirika Mzuri tu wa Marekani na nchi za Magharibi wanapata Faida gani kuisaliti Usa over Malcom? Na Malcom amezungumzia Uisilamu na sio Serikali ya Saudia

3. Hayo mengine ya Quran na watu weusi umeyaongea wewe hayapo, Uisilamu ndio dini pekee ambayo imeongelea Direct suala la ubaguzi wa rangi.

- Hotuba ya mtume ya kuaga kabla ya kufariki Wosia wake mkubwa aliowaachia waisilamu ni kutobaguana, anasema

"All mankind is from Adam and Eve, an Arab has no superiority over a non-Arab nor a non-Arab has any superiority over an Arab; also a White has no superiority over a Black nor a Black has any superiority over a White except by piety and good action. Learn that every Muslim is a brother to every Muslim and that the Muslims constitute one brotherhood. Nothing shall be legitimate to a Muslim which belongs to a fellow Muslim unless it was given freely and willingly."

Hapo Mtume wetu (S. A. W) anaelezea Mwarabu sio bora kwa asiekuwa mwarabu na asiekua mwarabu sio bora kwa mwarabu, mtu mweupe sio bora kwa mtu mweusi na mtu mweusi sio bora kwa mweupe, binadamu wote ni sawa na tumetoka kwa Adam na Hawa.

Si tu Hapo, Kwenye Quran kuna Sura specific inaitwa Luqman ambayo Mwenyez Mungu (s.w) anamsifia huyo mtu kwa Busara na Hekima zake, ni watu wachache sana kwenye Quran waliotajwa ambao sio mitume, huyu mmoja wapo na Makazi yake ilikua ni Easf Africa pengine Ethiopia ya sasa.

Hivyo hayo uliyosema sio kweli otherwise weka aya ama kitabu cha huyo Ulamaa.
Kibaraka wa waarabu na ndio maana waafrika weusi hawakumuelewa waliona anazingua.Kaukimbia uafrika na kuukumbatia uarabu,na katika hood na pan africanism alionekana snitch na kibaraka wa waarabu.Kama mwenzie martin luther king jr alivyokua kibaraka wa wazungu.
 
Ngoja nikutoe ushamba kidogo
1. ukienda Mecca sio majority Waarabu, ni sehemu ambayo mamilioni ya watu wanatembelea, na Malcom alikutana na Race zote, including wazungu na wengineo, Ameshazoea Treatment ya Wazungu America akifika kule anakutana na watu wa Albania, Bosnia, ambao ni Blonde na Blue Eyes ila wanajishusha mbele ya Mwenyez Mungu.

2. Hio Serikali ya Saudia ni mshirika Mzuri tu wa Marekani na nchi za Magharibi wanapata Faida gani kuisaliti Usa over Malcom? Na Malcom amezungumzia Uisilamu na sio Serikali ya Saudia

3. Hayo mengine ya Quran na watu weusi umeyaongea wewe hayapo, Uisilamu ndio dini pekee ambayo imeongelea Direct suala la ubaguzi wa rangi.

- Hotuba ya mtume ya kuaga kabla ya kufariki Wosia wake mkubwa aliowaachia waisilamu ni kutobaguana, anasema

"All mankind is from Adam and Eve, an Arab has no superiority over a non-Arab nor a non-Arab has any superiority over an Arab; also a White has no superiority over a Black nor a Black has any superiority over a White except by piety and good action. Learn that every Muslim is a brother to every Muslim and that the Muslims constitute one brotherhood. Nothing shall be legitimate to a Muslim which belongs to a fellow Muslim unless it was given freely and willingly."

Hapo Mtume wetu (S. A. W) anaelezea Mwarabu sio bora kwa asiekuwa mwarabu na asiekua mwarabu sio bora kwa mwarabu, mtu mweupe sio bora kwa mtu mweusi na mtu mweusi sio bora kwa mweupe, binadamu wote ni sawa na tumetoka kwa Adam na Hawa.

Si tu Hapo, Kwenye Quran kuna Sura specific inaitwa Luqman ambayo Mwenyez Mungu (s.w) anamsifia huyo mtu kwa Busara na Hekima zake, ni watu wachache sana kwenye Quran waliotajwa ambao sio mitume, huyu mmoja wapo na Makazi yake ilikua ni Easf Africa pengine Ethiopia ya sasa.

Hivyo hayo uliyosema sio kweli otherwise weka aya ama kitabu cha huyo Ulamaa.
MKUU TOFAUTISHA WAHABESHI NA WANUBI NA MACHOTARA WA KIARABU NA KIHABESH NA KINUBI WANAOTAJWA KWENYE HADITHI ZA KIMAPOKEO ZA DINI YA KIARABU IITWAYO UISLAMU.....WAPO TOFAUTI NA WABANTU,KWA WAARABU WABANTU WOOTE NI ZANJI NA HOPELESS STUPID HUMAN BEING AND THEY DESERVED HELL..AU HUJAWAHI KUKAA NA WAARABU NA KUJUA IMANI ZAO NA MITAZAMO YAO YA KINAFIKI NA CHUKI DHIDI YA WABANTU
 
Attachments

  • Screenshot_20230421-113257_1.jpg
    Screenshot_20230421-113257_1.jpg
    20.6 KB · Views: 7
  • Screenshot_20230422-175358_1.jpg
    Screenshot_20230422-175358_1.jpg
    52.8 KB · Views: 6
Mkuu ukweli mchungu,malcom x alifeli kuwaunganisha baba zetu.Alileta sera za kiarabu na uislamu kwa African american na akawagawa.Hana tofauti na Martin Luther King jr,alileta sera za wazungu na ukristo kwa African american na akawagawa.WOTE WALIFELI
1. Malcom X amesababisha takriban weusi milioni 3 wasilimu

2. Weusi hao walikua wakiuana wenyewe kwa wenyewe makundi ya vijana na Magangster, muda mwingine wanaspend jela kuliko Uraiani

3. Uisilamu umekua chanzo kikubwa cha kubadilisha vijana jela za Marekani, kutoka kua wauaji na wasiotii sheria mpaka kua raia wazuri.

Ulikua ukiona raha weusi kuuana wenyewe kwa wenyewe?
 
Mkuu hizo story tu za kufikirika,maana hayo maisha ya unaowaita wamesilimu hayana tofauti na hapo kabla in every angle of their life including my homie,s up there.Labda kama wamebadilisha majina tu na kuchukua majina ya kiarabu hapo sawa.
 
MKUU TOFAUTISHA WAHABESHI NA WANUBI NA MACHOTARA WA KIARABU NA KIHABESH NA KINUBI WANAOTAJWA KWENYE HADITHI ZA KIMAPOKEO ZA DINI YA KIARABU IITWAYO UISLAMU.....WAPO TOFAUTI NA WABANTU,KWA WAARABU WABANTU WOOTE NI ZANJI NA HOPELESS STUPID HUMAN BEING AND THEY DESERVED HELL..AU HUJAWAHI KUKAA NA WAARABU NA KUJUA IMANI ZAO NA MITAZAMO YAO YA KINAFIKI NA CHUKI DHIDI YA WABANTU
Hicho ulichokiongea kinahusiana nini na comment yangu?

Luqman ameishi muda ambao hata Yesu Hajazaliwa, maelfu ya miaka kabla ya Yesu. Kabla weusi wa Ethiopia hawajachanganika kama unavyowaona Leo.

Pia Tunaongelea Uisilamu na Quran kama jamaa wa juu alivyoongea naona mpo busy kuleta Nonsense zisizohusiana na Uisilamu, Sheria zote za kiisilamu zinafuata Quran na Sunnah
 
1. Malcom X amesababisha takriban weusi milioni 3 wasilimu

2. Weusi hao walikua wakiuana wenyewe kwa wenyewe makundi ya vijana na Magangster, muda mwingine wanaspend jela kuliko Uraiani

3. Uisilamu umekua chanzo kikubwa cha kubadilisha vijana jela za Marekani, kutoka kua wauaji na wasiotii sheria mpaka kua raia wazuri.

Ulikua ukiona raha weusi kuuana wenyewe kwa wenyewe?
Nimekutumia attachment,unaweza kuzifafanua,kama wewe ni mkweli na sio mnafiki au shabiki tu wa kidini mkuu???
 
1. Malcom X amesababisha takriban weusi milioni 3 wasilimu

2. Weusi hao walikua wakiuana wenyewe kwa wenyewe makundi ya vijana na Magangster, muda mwingine wanaspend jela kuliko Uraiani

3. Uisilamu umekua chanzo kikubwa cha kubadilisha vijana jela za Marekani, kutoka kua wauaji na wasiotii sheria mpaka kua raia wazuri.

Ulikua ukiona raha weusi kuuana wenyewe kwa wenyewe?
Mannigga waote walioslimu wakiwa jela,wakitoka hawana tofauti na manigga waliobaki kwenye hood,s.Au hujui mkuu???
 
Hicho ulichokiongea kinahusiana nini na comment yangu?

Luqman ameishi muda ambao hata Yesu Hajazaliwa, maelfu ya miaka kabla ya Yesu. Kabla weusi wa Ethiopia hawajachanganika kama unavyowaona Leo.

Pia Tunaongelea Uisilamu na Quran kama jamaa wa juu alivyoongea naona mpo busy kuleta Nonsense zisizohusiana na Uisilamu, Sheria zote za kiisilamu zinafuata Quran na Sunnah
Ethiopia hakuna weusi(Wabantu) mkuu bali walikaa wanubi,kabla ya waabeshi.Au hujui mkuu???
 
Mkuu hizo story tu za kufikirika,maana hayo maisha ya unaowaita wamesilimu hayana tofauti na hapo kabla in every angle of their life including my homie,s up there.Labda kama wamebadilisha majina tu na kuchukua majina ya kiarabu hapo sawa.
Kwa Hio wewe unajua kuliko Serikali ya Marekani?
 
1. Malcom X amesababisha takriban weusi milioni 3 wasilimu

2. Weusi hao walikua wakiuana wenyewe kwa wenyewe makundi ya vijana na Magangster, muda mwingine wanaspend jela kuliko Uraiani

3. Uisilamu umekua chanzo kikubwa cha kubadilisha vijana jela za Marekani, kutoka kua wauaji na wasiotii sheria mpaka kua raia wazuri.

Ulikua ukiona raha weusi kuuana wenyewe kwa wenyewe?
Uislamu wa kiarabu haujafanya manigga kuacha street violence,bali ni pan africanisim (Bantu ideology)ndio inaporomote peace.Au hujui mkuu???
 
Attachment ya Quran na Sunnah? Ama hata hujui Quran na Sunnah? Unajiita Msomi wakati hata kufanya Citation hujui
Mm msomi wa tamaduni za kibantu (BANGINDA) na sio msomi wa tamaduni za kiarabu(UISLAMU) ambao walikua wakoloni huku kwetu mkuu.
 
Malcolm X au (Al-Hajj Malik El-Shabazz) huyu wengi wetu tunamjua wengineo wakimwiga na kufata matendo yake, na itikadi zake. Huyu mmarekani mweusi ambaye Alisiliimu na kuitwa jina maliki el shaabaz

Baada ya kufika MAKKA kama ilivyo amri hii kwenye vitabu vya dini ya kiislamu ni nguzo moja kati ya nguzo zinazojenga uislamu kuhiji makka , kwa mwenye uwezo.

Naye alilitimiza hili na ndani ya ibada hii akapata kuandika aliyojifunza na kuyapata huko 1964, huko alipata kuandika Barua juu ya aliyojifunza na kushuhudia huko

Barua yake aliyoiandika kutoka kwa Makka alipokuwa Hija Makkah, al-Hajj Malik El-Shabazz aliandika barua kwa wasaidizi wake waaminifu wa Harlem ...
View attachment 1711213

Na haya ni baadhi ya yaliyoandikwa katika

Barua ipo kama ifuatavyo

"Kamwe sikuwahi kushuhudia, Ukarimu wa dhati wa namna ile Na roho ya ukweli ya undugu ambao umefanywa na watu wa Rangi zote, Katika mji huu mkongwe na mtakatifu, Nyumbani kwa Ibrahim ,Muhammad na mitume wote , waliotajwa katika maandiko matukufu.

"Kwa wiki iliyopita nimekuwa kimya kutafakari , huku nikishuhudia neema ambayo nimeioona imeonyeshwa kila mahali na watu wa rangi zote"

"Nimepata bahati ya kutembelea mji mtukufu wa makka, nmekamilisha mizunguko yangu saba kuizunguka Al kaaba, nikiongozwa na kijana mdogo aitwaye Muhammad, Nmekunywa Maji kutoka katika visima vya ZamZam"

Nilikimbia mara saba nyuma kwenye vilima vya Safa na Marwah. Nikaswali na kuomba katika mji mtukufu wa kale wa Mina, na nikaswali juu ya Mlima Arafat.

" Kulikuwa na makumi na maelfu ya mahujaji, kutoka duniani kote. Walikuwa wa rangi zote, weupe kwa Waafrika wenye rangi nyeusi.
Lakini sisi wote tulishiriki katika ibada hiyo hiyo, tukiwa na roho ya umoja na udugu

kwamba katika uzoefu wangu wote nlipoishi huko Amerika uliniongoza kuamini haiwezekanii kuwepo mchanganyiko kati ya nyeupe na isiyo nyeupe.

" Amerika inahitaji kuuelewa Uislamu, kwa sababu hii ni dini ambayo inapinga na kuondoa katika jamii yake tatizo la utaifa. Katika safari zangu katika ulimwengu wa Kiislamu, nimekutana, nimezungumza na hata kula pamoja na watu ambao huko Amerika wangechukuliwa kama ni weupe lakini mtazamo wa rangi uliondolewa kwenye mawazo yao na dini ya Uislam"

"Sijawahi kuona udugu wa kweli uliofanywa na rangi zote pamoja, bila kujali rangi yao. "

Unaweza kushangazwa na maneno haya yanayotoka kwangu. Lakini juu ya safari hii, yale niliyoyaona, na uzoefu wangu, vimenifanya tena niweke upya mawazo yangu iyokuwa nayo hapo awali, na kutupa kando baadhi ya fikra za awali.

Hii haikuwa vigumu sana kwangu. Licha ya imani yangu imara, sikuzote nimekuwa mtu ambaye anajaribu kukabiliana na ukweli, na kukubali ukweli wa maisha kwa kupokea mafunzo mapya na ujuzi mpya unaomfumbua mtu.

Nimekuwa na akili ya wazi, ambayo ni muhimu inapaswa kwenda nayo pamoja ili kutafuta kubadilika.

"Katika siku kumi na moja hapa katika ulimwengu wa Kiislam, nimekula kwenye sahani , na kunywa katika kikombe kimoja, na kulala katika sakafu moja, huku tukimuabudu Mungu mmoja na waislamu wenzangu Weupe,
Nilihisi kuwa na uaminifu nilihisi kati ya Waislamu wa Afrika wa Nigeria, Sudan na hata Ghana. "

Tulikuwa ndugu kwa sababu imani yao katika Mungu mmoja iliondoa matabaka ya Rangi.

Niliweza kuona kutokana na hili, labda Wamarekani wazungu wanaweza kukubali Mungu mmoja basi labda, pia, wangeweza kukubali kwa kweli umoja katika Ubinadamu - na kusitisha ubaguzi, na kuzuia, na kuwadhuru wengine kwa suala la 'tofauti' zao katika rangi

Kwa ubaguzi , marekani ni sawa na Cancer isiyoponyeka, waamerika weupe wanapaswa kuopokea suluhisho

Labda inaweza kuokoa Amerika kutokana na maafa ya karibu ,uharibifu kama huo uliiletea Ujerumani Shida juu ya ubaguzi wa rangi ambao hatimaye ukawaangamiza Wajerumani wenyewe.

"Kila saa hapa katika Nchi Takatifu inaniwezesha kuwa na ufahamu mkubwa wa kiroho katika kile kinachotokea Amerika kati ya weusi na weupe.

Negro wa Marekani hawezi kuhukumiwa kwa chuki za kibaguzi- anajaribu kupinga miaka mia nne ya ubaguzi wa rangi wa wazungu wa Marekani. Lakini kama ubaguzi wa rangi unaongoza Amerika juu ya njia ya kujidhuru

Naamini, kutokana na uzoefu ambao nimekuwa nao, wazungu hawa kizazi cha vijana, katika vyuo vikuu na mashuleni wataona maandiko juu ya kuta na wengi wao watageuka njia ya kiroho na kufuata haki ya kweli

Kamwe sijawahi kuheshimiwa sana namna hii

Kamwe sijawahi kufanywa kujisikia mnyenyekevu zaidi.

Nani angeamini baraka ambazo zimefanywa juu ya mtu mweusi wa Amerika?

Siku chache zilizopita, mtu ambaye huko marekani angeitwa mzungu au mwanadiplomasia wa Umoja wa Mataifa, balozi, au rafiki wa wafalme,yeye alinipa hoteli yake, na kitanda chake.

Kamwe nisingeweza hata kufikiria au kuota kwamba ningewahi kuwa mpokeaji wa heshima kama hizo - heshima ambazo huko Amerika zitapewa Mfalme , mtu mweupe na- sio mtu mweusi"

Sifa zote njema ni za Mwenyezi Mungu, Mola wa walimwengu wote.

(kutoka kwa Autobiography ya Malcolm X kwa msaada kutoka kwa Alex Haley, mwandishi wa ROOTS)

Malcolm X alifundisha mengi na kuona Mengi

Nyuzi hii ni baadhi ya yaliyoandikwa kwenye barua hio

UKIACHANA NA UDINI KUNA LA KUJIFUNZA hapa

DA VINCI XV
Alipoteaga
 
Ethiopia hakuna weusi(Wabantu) mkuu bali walikaa wanubi,kabla ya waabeshi.Au hujui mkuu???
We ndo kilaza usieelewa,

Ethiopia sio pure black sababu wamechanganyika na race nyengine, Huyo Luqman yupo hapo kabla hata Aksum Empire haijakuepo, ni zamani sana hata kabla Ethiopia hawajatawala Yemen ama wayahudi kuja Ethiopia, na Alikua mweusi kama vitabu vinavyosema.

Mfano wake unachobisha hapa ni kama mkaazi wa Zanzibar miaka 3000 iliopita useme alikuwa ni Mpemba, haimake sense sababu Mpemba kapAtikana kwa mchanganyiko wa Mwarabu na mbantu baada ya Waoman kwenda zanzibar miaka Mia kadhaa iliopita,

Hakukua na mhabesh miaka zaidi ya 3000 iliopita.
 
Back
Top Bottom