We ndo kilaza usieelewa,
Ethiopia sio pure black sababu wamechanganyika na race nyengine, Huyo Luqman yupo hapo kabla hata Aksum Empire haijakuepo, ni zamani sana hata kabla Ethiopia hawajatawala Yemen ama wayahudi kuja Ethiopia, na Alikua mweusi kama vitabu vinavyosema.
Mfano wake unachobisha hapa ni kama mkaazi wa Zanzibar miaka 3000 iliopita useme alikuwa ni Mpemba, haimake sense sababu Mpemba kapAtikana kwa mchanganyiko wa Mwarabu na mbantu baada ya Waoman kwenda zanzibar miaka Mia kadhaa iliopita,
Hakukua na mhabesh miaka zaidi ya 3000 iliopita.