Barua ya Malcom X: Huko Makka Saudi Arabia

Barua ya Malcom X: Huko Makka Saudi Arabia

Jamaa wapo vzr sn..

,sijawahi kuona passo wala crown..wala gari ya kijapan yeyote.

Hapa ni .
JEEP.
FORD.
GCM.
RENAULT.
LAND ROVER..

halafu left handed driving country..

Jamaa wapo powa sn...
Mabuggati

Hivi ile nchi walikuwa wanatupa magari ilikuwa ni UEA ...nadhani

Naona maAUDi makali makali yanakuwa disposed🤣🤣
 
Mabuggati

Hivi ile nchi walikuwa wanatupa magari ilikuwa ni UEA ...nadhani

Naona maAUDi makali makali yanakuwa disposed
Inaweza ikawa ni hapa..hawa jamaa ni matajiri haswa...

UAE ndy kumejaa magari ya kijapan.
 
Inaweza ikawa ni hapa..hawa jamaa ni matajiri haswa...

UAE ndy kumejaa magari ya kijapan.
Aisee tupe connection mkuu

Nsipoangalia uyu binti yangu wa miaka...nliyemparamia mama yake wote tukiwa school hatopanda yale magari ya njano🤣🤣
 
Nenda hapo sudan leo hii. Utake kuoa mwarabu utapata jibu lake. Waarabu ni mashetan mkuu. Nimezunguka sana nchi zao sio watu wale.
Sudan mpaka sasa mtu mweusi anaonekana kama mtumwa.
 
Waarabu nao pia ni wabaguzi tu...hz n propaganda tu. Ni ndugu zetu wangapi hasa wadada wanaokwenda huko kufanya kazi za ndan kisha wakaanza kunyanyaswa kingono ? Hv kwann sisi ngozi nyeusi tunapenda kuwatukuza ngozi nyeupe
Mimi nakiri ya kuwa baadhi ya waarabu ni wabaguzi na si ubaguzi tu lakini wana mengi sana zaidi ya ubaguzi, ila malcom hakuwafuata waarabu kule makkah, bali alikwenda kwa ajili ya ibada ya hijja ambayo ni nguzo katika uislam,yale aliyokutana nayo kule ndiyo yaliyomshangaza, hakutarajia kukuta watu wa race tofauti wakishirikiana katika jambo moja kwa upendo na udugu na hilo lilitokea baada ya yeye kuwa muislam.
Kuna uislam na waislam.
 
Ubaguz upo na ni tabia watu wabinafsi na roho mbaya ila kweny Uislam hamna kitu kama hicho ndo maana anaeleza hivo.
Tabia ya watu binafsi? utetezi wa kijinga tu huu kama ingekuwa binafsi hao weusi wangekuwapo huko hata kwa idadi ndogo lkn siyo kuisha wote.
 
Mimi nakiri ya kuwa baadhi ya waarabu ni wabaguzi na si ubaguzi tu lakini wana mengi sana zaidi ya ubaguzi, ila malcom hakuwafuata waarabu kule makkah, bali alikwenda kwa ajili ya ibada ya hijja ambayo ni nguzo katika uislam,yale aliyokutana nayo kule ndiyo yaliyomshangaza, hakutarajia kukuta watu wa race tofauti wakishirikiana katika jambo moja kwa upendo na udugu na hilo lilitokea baada ya yeye kuwa muislam.
Kuna uislam na waislam.
Aiseee
 
Back
Top Bottom