Barua ya Malcom X: Huko Makka Saudi Arabia

Ndiyo tatizo la sisi ngozi nyeusi tunatapatapa sana ina maana huko uarabuni hakuna ubaguzi? Mbona walivyo tuletea dini zao walitufanya watumwa na kutuuza kama nazi.sasa jamaa kaenda kule tu akapewa kalimati na kachori akasahau matatizo yake yote.
Mi namuonaga tu kama snitch.
sidhani hata kama umeelewa nlichoandika mkuu ingekuwa vyema ukakirudi japo kwa uchache
 
  • Thanks
Reactions: CES
Kwa nini tatizo la utaifa bado lipo Lebanon, Iraq, Afghanistan, Pakistan, Somalia, Misri, Sudan?
Kwa nini Saudi Arabia na UAE hazina mifumo ya kidemokrasia badala yake zimeendelea kukumbatia mifumo ya kidikteta?
Nadhani ni swala ambalo kwa mfatiliaji wa mambo yoyote duniani analijua

Nchi nyingi ambazo zina migogoro ambazo ni za Arabuni au waislamu wengi ukichimba deep down utakuta sio mgogoro asilia wa wakazi au wananchi bali ni Chuki mpandikizo kutoka kwa mabepari

Na ili uweze kuepukana na Adhma hiyo lazima ufuate kile bepari anataka Refer bashar al Assad pale Syria au Saddam Husain pale Iraq, Au muhammar Gaddafi pale libya

Soud na UAE zipo chini ya System ya utawala wa Kifalme, nchi nyingi kubwa kubwa tu zenye amani na kubwa Mfano Cannada Uingereza ...Sijaona udikteka wao
 
Nlishindwa kusoma kitabu cha biograph ya Malcom X Kwasababu ya ubize wangu ila nliskiliza lecture ya jamaa mmarekani anayeishi Uingereza ambaye nae ni muhanga wa ubaguzi wa weusi Marekani anaitwa ABUU USAMAH AT-THAHABI imamu mkuu wa msikiti wa Barmingham, ambaye kwenye hiyo lecture anaelezea harakati na maisha ya X mpaka alivyoslimu kuingia kwenye uislam aisee ni so impressive
Bado nasisitiza watu wangeacha mihemko ya kidini basi wangelijifunza mambo mengi sana
 
Huoni kwamba mifumo yao iliyoegemea kwenye dini ni dhaifu kiasi cha kuweza kuruhusu chuki kupandikizwa na kuleta maafa makubwa? Huoni kwamba haiko madhubuti na haifai?
Canada, Uingereza, Japan zimebaki na wafalme kama "ceremonial head of states" tu.
Wakuu wa serikali na viongozi wengine wanachaguliwa kwa kura na wananchi.Hiyo ndio maana ya demokrasia ya constitutional monarchy tofauti na Absolute manarchies za Saudi Arabia,UAE,Jordan na Swaziland ya Mswati.
Nadhani ni swala ambalo kwa mfatiliaji wa mambo yoyote duniani analijua

Nchi nyingi ambazo zina migogoro ambazo ni za Arabuni au waislamu wengi ukichimba deep down utakuta sio mgogoro asilia wa wakazi au wananchi bali ni Chuki mpandikizo kutoka kwa mabepari

Na ili uweze kuepukana na Adhma hiyo lazima ufuate kile bepari anataka Refer bashar al Assad pale Syria au Saddam Husain pale Iraq, Au muhammar Gaddafi pale libya

Soud na UAE zipo chini ya System ya utawala wa Kifalme, nchi nyingi kubwa kubwa tu zenye amani na kubwa Mfano Cannada Uingereza ...Sijaona udikteka wao
 
Nadhani umeijibu kutokana Na UDINI tu na kinginecho
Mada ni ya kidini unataka nitumie quantum physics kuijadili?
Mada ya ki-bogus kabisa

Nenda na wewe Makkah sasa ukazunguke jiwe
 
Malcolm X ni miongoni mwa viongozi wapuuzi na wabaguzi wa kale.

Hili jamaa lilienda kwenye uislamu kutoka kuwa Atheist na sababu kuu ni eti America kuna Makanisa kwa ajili ya wazungu, busses kwa ajili ya wazungu, na mengineyo ila sio watu weusi PUNGUANI KABISA HILI this was before 70's!

Mbona Martin hakubadili? Ndio maana halijaacha legacy kwa wengi.
 
Pengine hata hujaelewa mkuu ,, angekuwa mpumbavu wala usinge muona akiambatana na Martin muda mwingi hao wote lao lilikuwa moja ...sina mashaka juu ya Malcom hata siku moja
 
Vinci sasa hapo ndipo napoona tatizo lako limeanzia wapi!
Kumbe huna hata taarifa sahihi za hilo jamaa lililofahamika kama Malcom X.

Huyo jamaa amekutana na Martin Luther mara moja tu katika uhai wake!
Usimfananishe Dr King na mpuuzi kama Malcom
 
🤣🤣🤣🤣🤣
 
Attachments

  • Screenshot_20210227-211325~2.png
    Screenshot_20210227-211325~2.png
    9 KB · Views: 12
Vinci sasa hapo ndipo napoona tatizo lako limeanzia wapi!
Kumbe huna hata taarifa sahihi za hilo jamaa lililofahamika kama Malcom X.

Huyo jamaa amekutana na Martin Luther mara moja tu katika uhai wake!
Usimfananishe Dr King na mpuuzi kama Malcom
🤣🤣🤣sawa mkuu naona tofauti kubwa ni Imaani yake tu

Binafsi mkuu Loftins sioni itikadi tofauti kati ya Martin na Malik tofauti ni Imaan yao tu
 
KUNA WAISLAM NA UISLAM..
Kuna WAISLAM NA WAUMINI WA DINI YA KIISLAM..
Hassan akinywa pombe ni muislam ila SIO MUUMINI WA DINI YA KIISLAM.
uenda Malcolm X alikuwa amepotea ILA baada ya kuujua UISLAM akaiona njia.
Ndiyo tatizo la sisi ngozi nyeusi tunatapatapa sana ina maana huko uarabuni hakuna ubaguzi? Mbona walivyo tuletea dini zao walitufanya watumwa na kutuuza kama nazi.sasa jamaa kaenda kule tu akapewa kalimati na kachori akasahau matatizo yake yote.
Mi namuonaga tu kama snitch.
 
KUNA WAISLAM NA UISLAM..
Kuna WAISLAM NA WAUMINI WA DINI YA KIISLAM..
Hassan akinywa pombe ni muislam ila SIO MUUMINI WA DINI YA KIISLAM.
uenda Malcolm X alikuwa amepotea ILA baada ya kuujua UISLAM akaiona njia.
Point nzuri sana mkuu
 
  • Thanks
Reactions: CES
Watumwa kutoka Africa waliopelekwa uarabuni waliishia wapi? Mbona katika mataifa ya kiarabu hakuna kizazi cha watu weusi ambacho kinatokana na watumwa waliopelekwa huko enzi za biashara ya utumwa?
Wewe ndiyo utuambie kuwa kunawatumwa walipelekwa uarabuni lini!
 
Tangu karne ya 15 hadi leo watumwa kutoka Africa wamekuwa wakipelekwa Uarabuni.

Enslaved Africans were sold in the towns of the Arab World. In 1416, al-Maqrizi told how pilgrims coming from Takrur (near the Senegal River) brought 1,700 slaves with them to Mecca. In North Africa, the main slave markets were in Morocco, Algiers, Tripoli and Cairo. Sales were held in public places or in souks.

Hilo la watumwa ni kweli mkuu...

Mimi nipo kwenye mji mmoja unaitwa Dammam Saudi Arabia,,

Kwa kweli nimesikitika sana,,

Airport nimeona wasichana wengi wa Africa,
, baadae nikaja kugunduwa ni kutoka Uganda,,
Visichana vya under 22 wapo kama 40 hivi..
Wakiwa na uniforms.

Mbaya zaidi ni pale walipokuwa wanatolewa airport,,

huku mmoja wa wale waarabu nadhani ndy Mwenye mtandao ule wa human trafficking,,
Akiwa anawachukuwa video wale mabinti,,,

mmoja baada ya mwingine wakati wa kuingia ndani ya gari..

Nadhani ni katika kuwahesabu na kuthibitisha idadi yao kamili.

Baadae gari ikawashwa na kutokomea na wale mabinti kusikojulikana.

Aisee,,nilisikitika sna,kuona kumbe bado waafrica tunauzwa..

Naipongeza sn serikali kwa kudhibiti human trafficking uarabuni..

Nilichogunduwa kingine ni kwamba Africa tunaaminishwa vibaya kuhusu hizi dini mbili,,

Islams,,na Christians,,

huku hawa jamaa ktk TV zao wanarusha hata mambo ya Christians,, ktk vipindi vyao..

Sisi Africa tumebaki kuzodoana na kupandikiza chuki ktk dini hizo..

Kwenye chimbuko la dini hawachukiani bali kila mmoja anaabudu anachokiamini ..

Waafrica tunapaswa tukatae.
 
Ulevi wa dini ni mbaya sana, unawafanya watu waone upande mmoja tu wa shillingi.

Hakika kabisa,,

Tena nimekuja kugunduwa hata qurain imebeba mengi sana ya biblia,,

Hawa jamaa wana Chanel yao ya qurain tupu chanelli zinazotangaza maombi ya biblia,.

Nikaona ktk Chanel ya Qur'an inaeleza tafsiri ...
Kuna kipande cha ayaa ya qurain kinaeleza Jesus alipoomba mikate ishuke kwa mungu ale na wafuasi wake..

Duu

Nikashangaa kweli...

Jamaa wanautambuwa ukristo..

Wala hawana taabu nao,,

Wamewapa kipindi ktk stations zao..
 
zaburi
Taurati
injili
Qur'an

ukielewa huo mtiririko wa hivyo vitabu (kama umevisoma). uje ureview ulichokiandika kama kina make sense...
NO OFFENCE ✋
 
Back
Top Bottom