Barua ya Adam Malima kumpinga Spika!

Status
Not open for further replies.
Mambo ya uzushi yanachefua sana. Kikula hakufukuzwa ukuu wa chuo; muda wake uliisha kwa mujibu wa kanuni za UDSM. Kama angekuwa amefukuzwa ingewezekanaje apewe UVC chuo kingine cha serikali hiyohiyo? Uzushi ni kitu kibaya sana!
 
Sheria inampa Rais na Spika madaraka makubwa sana kwa kuwa ni wana CCM kulinda maslahi ya CCM ndiyo maana haya yanaonekena
 
Yomba Yomba ameandika hivi:

Sasa mkuu wa chuo alilivalia njuga saana swala hili, unajua kilichotoke juzi juzi tu, kafukuzwa ukuu wa chuo kwa amri ya state house, kwa kisingizio eti hawapendi wachaga.
Kama kuna mtu anabisha naweza kuzishusha hapa mawasilianao yaliyokuwa yankwenda kati ya waalimu wa UCLAS, hata huu udhamini wa Manji kwa Yanga ni shikizo la mwenye minofu (VDG) kumtaka hizo pesa alizoiibia kampuni ya umma basi azipeleke kwenye misaada. Kazi ipo kweli kweli Jasusi upo hapo lakini, niendelee??????
Kichuguu amesema hivi:
Nadhani Yomba Yomba kasema uwongo hapa.

Kwanza, hivi ni nani alikuwa principal wa UCLAS jamani?

Baada ya profesa Mshana kuondoka pale UCLAS, nilikuwa namjua Profesa Kikula. Majuzi tu ametajwa kuwa yeye anakuwa VC wa Dodoma University, hii inaweza hata kuthibitika kwenye thread nyingine hapa JF inayohusu Dodoma University (siwezi kupata link yake sasa hivi). Je ni kweli Prof Kikula alifukuzwa kwa amri ya Ikulu kutoka principal ili kusudi Ikulu hiyo hiyo ije imteue kuwa founding VC wa Dodoma University?

This doesn't make sense.

Yomba Yomba

Usitake kupotosha ukweli kwa faida zako binafsi, kubali wewe ni muongo au fafanua au kama unavyosema hapo juu shusha huo uongo mwingine? Wapo wengine ambao walijaribu kudanganya hapa lakini wamegonga ukuta ukweli ni upi? Acha ngebe wewe soma tu kama huna cha kuandika.
 
Nawawekea maelezo kamili ya Spika aliyoyatoa jana. Neno kwa neno tokea alipoanza Halima Mdee, kuwasilisha maeelezo yake.
 
Attachments

  • sitta vs malima.doc
    56 KB · Views: 158
Usitake kupotosha ukweli kwa faida zako binafsi, kubali wewe ni muongo au fafanua au kama unavyosema hapo juu shusha huo uongo mwingine? Wapo wengine ambao walijaribu kudanganya hapa lakini wamegonga ukuta ukweli ni upi? Acha ngebe wewe soma tu kama huna cha kuandika.[/QUOTE]

Kazi ipo.....
 
Jamani baada ya kuondoka au muda wake Prof Kikula, alichukua Dr. Majani as acting principal mapaka hili zaga likatokea, na bahati mbaya huyu jamaa Dr.Majani nasikia ametutoka last week katangulia kwenye haki.
Mtu kama hujui kwa nini usikae kimia??????
 
hii haitowezekana bila kwanza watu wakajua ugomvi ulianzia wapi na maamuzi yaliyotolewa yalifikia wapi

na kwa nini hii issue inaendelea
 
MKJJ

I think that was the best way kumaliza huu mjadala kuendelea kupotezea wabunge muda wao.

Unasema Spika ndiye anayelalamikiwa; lakini kumbuka yeye amelalamikiwa ndani ya CCM na sio bungeni na pia sijui kama kuna taratibu za kumlalamikia Spika ndani ya bunge....I mean kama mbunge/wabunge hawakubaliani na maamuzi ya Spika then what..?? I think hicho ndicho kilichatakiwa kufuata iwapo Malima hakuwa ameridhika na maamuzi ya Spika.

Naomba kutoa hoja
 
Yebo Yebo.... waswahili walisema.. "usipozima ufa, utajenga ukuta". Alichofanya Spika siyo kuziba ufa bali kuupaka rangi na kuwaambia watu "taraaa"! Watu wakapiga makofi kwani ufa hauonekani tena!! Hata hivyo kila mmoja anajua ufa upo. Ni kweli kwa kuamua kuwanyamazisha wabunge ameondoa tatizo moja, lakini wakati huo huo akiwa ameleta tatizo jingine, nalo bado swali la "Mbunge akiamua kwenda nje ya Bunge kutafuta suluhisho la mambo yaliyotokea Bungeni, akihoji ujuzi/busara za Spika" atachukuliwa hatua gani? Hivi sasa, ni kuwa mbunge mwingine anaweza kufanya alichofanya Malima na hawezi kupewa adhabu kwani atanyoshea kidole kesi ya Malima.. na kusema "mbona Malima hakufanyiwa hivi?"...

Papa akitoa mafundisho yake watu wanasema "Amina".. Imam akiongoza swala na dua waumini wataitika "Amin", Spika akitoa uamuzi kama vile yeye ni Papa au Imam.. tunauliza "Kwanini"?
 
yombayomba,
mimi nadhani suala kuu hapo ni PESA na siyo ukabila/uchaga. upande mmoja una mchaga anamsaidia mhindi kuuza ma-godown yake. upande wa pili nao una mchaga anampinga huyo mhindi anayeuza ma-godown.

kama suala lingekuwa ukabila, basi wachaga would have ganged up against the mhindi. mimi nadhani huu mgogoro mzizi wake ni PESA, na siyo ukabila au hata dini.
 
Mimi naona hii inatosha. Kama alivyosema spika, kuna mambo makubwa ya maana kwa bunge kuyashughulikia sio upuuzi wa siasa za kutafuna za CCM. Of course, hapakuwa na jambo la kuchunguza pale in the first place. 100m could have sponsored 50 students at any university in TZ.

Tumeshaona pumba na mchele ziko wapi. Mtu mzima kama Dr Dau alikubali kwenda kutoa ushahidi kwenye kesi hii, kama sio uzuzu na ushapukuna ni nini?
 
JokaKuu,
Infact katika mchango wangu mimi sijasema swala hili ni la udini au la ukabila, mchango wangu ilikuwa nikuwapa the other side of the coin jinsi mambo yalivyokwenda na nini kimefichika, ambacho taifa limenyimwa nafasi kupata ufafanuzi, hayo ya udini na ukabila sina habari
 
Habari zilizopo ni kwamba hili sakata la Malima vs Spika lilikuwa linaelekea pabaya.

Kulikuwa na juhudi za chinichini zinazoongozwa na EL pamoja na RA na kundi lao za kutaka ku-empeach spika.The only problem is that,they needed 2/3 of the votes to proceed.On the contrary,zinahitajika signatures 65 tu za wabunge kum-empeach PM!

Mzee 6 na timu yake,ambayo walikuwemo almost wabunge wote wa upinzani(numbering 45 or so),na wengi wa CCM ambao hawana imani na PM,waliweza kukusanya hizo signatures na kuwa nazo tayari.
Then information was leaked delibarately to PM kuwa taa inakaribia kuzimika.Ikabidi yeye na timu yake ikiongozwa na RA watafute suluhu ya haraka sana na Spika.Matokeo yake ni wao na Malima kusalimu amri na kunyanyua kitambaa cheupe!

Kwenye Daily News leo kuna picha,ukurasa wa pili ikionyesha PM,Spika na Malima wakiwa pamoja wakicheka saana.
Inasemekana,baada ya kikao,Spika akitoka ukumbini,Malima akiwa na PM alimfuata Spika na kumkumbatia,huku akimuacha spika akishangaa,and the picture in the Daily News was taken moments after that.Hio yote ilikuwa ni PR stunt

Malima alikuwa amepangiwa ajali kubwa sana,na kwa waliotazama taarifa ya habari jana,watakumbuka kumuona Halima Mdee akisoma taarifa ndefu iliyokuwa ina lengo la kummaliza kabisa Malima.Inasemekana,yale aliyoyasoma Mdee yalitoka kwa Spika.

Kilichonimaliza mimi hapa ni jinsi EL na timu yake walivyom-underrate Spika,and how could they?
Slogan ya 'Kizazi Kipya,Nguvu Mpya,Kasi Mpya" ilitoka kwa Sitta,leo wanamuona chizi! Huyu ndio ilikuwa awe PM,lakini jamaa wakamuwahi na form za uspika na kumuahidi kuwa mkewe atapewa uwaziri!

Ile kauli ya kuwa huo mjadala kaumaliza,ilikuwa ni jeuri,na hakuna mtu atapinga,because theres a lot of stake in it.

Hii nchi yetu mimi naona sasa imekuwa ni kama soap opera.Drama ni kila siku.What amazes me about sisi watanzania,ni kuwa tunampa mtu mda mrefu sana kabla ya kugundua kuwa hatufai.Enzi za Sumaye,alichukiwa kiasi cha kwamba mpaka alikuwa anasakiziwa mambo ya ajabu,mara kanunua shamba Kibaha and so forth,lakini it seems huyu PM wa sasa bado hajawaingiwa watu kwenye damu,maana issue kama ya Richmond(dubbed Richmonduli),ni kimya sasa,ukifananisha na jinsi Sumaye alivyovaliwa bango na shamba lake la Kibaha!! Kuna siku labda watanzania wataona kuwa kweli labda EL ni bomu and all this Richmonduli business will start making some sense! Its high time the Prez made the re-shuffle we have all been anticipating for sometime
 
Swali la msingi ni je kwa vile CCM ameufunga mjadala huu Bungeni huko CCM utaendelea tena kujadiliwa au ndio kaufunga hata kina Makamba hawana uwezo wa kuufungua!?
 
hizi data tu mzee wangu ni kama soap fulani hivi yaani![sisema unapiga fix,ila jinsi ilivyo!duh!]kama days of our lives!

tutoe tongotongo mzee!
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom