Barrick Gold Mining itamkabidhi Rais Magufuli Tsh 100billion

Barrick Gold Mining itamkabidhi Rais Magufuli Tsh 100billion

Hahaha Mm sipo kwnye mambo yenu hayo Nyie paruareni tu
Ila cocochanel msimchkulie powah ohohhh[emoji23][emoji23][emoji23]

Ova
Cocochanel ni mutoto ya magufuli kaa naye mbali
 
Asikuchukulie poa huyu asikulinganishe na mdee na balaya
Huyo ni nani!!!
Upupwu gani huu unani quote mimi!!!..
Ebo.. uwe unaniita kwa ya wanawake walio na nondo.. wakitema maneno.. mtu unasema supab.. sio hao njaa njaaa.. kula.. kupata hagi tu tabu.. viwewe.. mnafaana huko huko..
 
Ujinga mtupu!Tunasikia mmesaini nao mikataba ya siri kinyume na sheria mliotunga wenyewe, alafu mnatulaghai na hiyo hela mbuzi!

Kwa kifupi,tunaomba mkataba uwekwe wazi.
Wa magari ya M4C ya Chadema uliishawahi kuwekwa wazi? Hata Lissu hana ubavu wa kuulizia!!!!
 
jana nilimsikia Mzee wa Faragha akisema serikali isijenge ma fly over Dar es salaam bali ijenge barabara vijijini, naonataratibu dawa imemuingia sasa amehama kutokakwenye maendeleo ya vitu....
 
Barrick Gold Mining kumkabidhi Rais magufuli tsh100billion kama gawio kwa serikali Jumanne 13/10/2020 .mbele ya wanahabari na watanzania

Kama utakumbuka kuna wanasiasa uchwara na wanaharakati uchwara wanaojiona wanajua kila kitu aalipinga hili sasa serikali ya awamu ya tano inakimbiza uchumi kwa speeds kali

Kwa miaka kadhaa pesa hizi zilikuwa zinaliwa na watanzania wezi na kunufaika na familia zao lakini sasa pesa hizi zinakwenda kujenga nchi na kila mwanachadema,mwanacuf,ACT wananufaika kwa kazi nzuri za jpm na ccm yake .

Tunawaomba watanzania sasa akili zirudi tukubaliane kuwa huyu ni nabii

USSR
Nilidhani imemkabidhi kumbe "ITAMKABIDHI"
 
Kama ni hivyo, basi hiyo in heri - sina shaka safari hii atawakumbuka kulipa kifuta machozi waanga wa tetemeko LA aridhi Mkoani Kagera, vile vile na wastaafu wa TAZARA.
 
Barrick Gold Mining kumkabidhi Rais magufuli tsh100billion kama gawio kwa serikali Jumanne 13/10/2020 .mbele ya wanahabari na watanzania

Kama utakumbuka kuna wanasiasa uchwara na wanaharakati uchwara wanaojiona wanajua kila kitu aalipinga hili sasa serikali ya awamu ya tano inakimbiza uchumi kwa speeds kali

Kwa miaka kadhaa pesa hizi zilikuwa zinaliwa na watanzania wezi na kunufaika na familia zao lakini sasa pesa hizi zinakwenda kujenga nchi na kila mwanachadema,mwanacuf,ACT wananufaika kwa kazi nzuri za jpm na ccm yake .

Tunawaomba watanzania sasa akili zirudi tukubaliane kuwa huyu ni nabii

USSR
Chadema mshaurini mzee wa kusujudu mabeberu ahudhurie shughuli hiyo aone JPM anavyopaisha nchi hii.
 
Ujinga mtupu!Tunasikia mmesaini nao mikataba ya siri kinyume na sheria mliotunga wenyewe, alafu mnatulaghai na hiyo hela mbuzi!

Kwa kifupi,tunaomba mkataba uwekwe wazi.
Haikuhusu jomba. Wewe hata huo mkataba hujui kuusoma sasa utakusaidia nini.achana nao..wewe lipa kodi ya biashara yako halali full stop. .wacha wanaume wapambane na vibaraka na mafisadi. .wataisoma namba sana mwaka huu..Tukutane tena 2025
 
Kajifunze kuandika kwanza.

Serikali miaka yote imekuwa ikilipwa na makampuni ya madini, awamu hii siyo ya kwanza.

Mkawadanganye wajinga kama ninyi.

Sent using Jamii Forums mobile app
Acha kudanganya watu wewe..lete ushahidi...wa maneno yako...Serikali sawa inawezekana ilikuwa ikilipwa lakini kwa kiasi gani unajua.....na je ukilinganisha awali na sasa kuna mafanikio zaidi au hakuna.tuambie..asidhani watanzania ni wajinga kama unavyowaza
 
Chadema wanakiwanda cha uongo bu kikwete

Back
Top Bottom