Barrick Gold Mining itamkabidhi Rais Magufuli Tsh 100billion

Barrick Gold Mining itamkabidhi Rais Magufuli Tsh 100billion

[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]... mkawadanganye mamburula ...propaganda za kisiasa
 
Tatizo linakuja kwenye matumizi tutasikia hizo fedha zinatengwa kwa ajili ya upanuzi wa Chat to International Airport na zitakazobakia atapewa Polepole ili kwenye kuwanunua Wapinzani
Acha uganga wa kienyeji aka ugagula wewe hayo umeyatoa wapi?
 
tutoe pongezi kwa awamu hii kuweza kupambana kulinda maslai ya watanzania.kusema kweli ule mziki wa makinikia kama mtu legelege lazima uteme biskuti ila Jpm alikomaa sana.
Acha kufuata mkumbo magufuli ni fisadi aliyejiwekea mipaka ya kutokuguswa na vyombo vya sheria.shtuka unaibiwa.
 
*RAIS MAGUFULI KUPOKEA GAWIO KUTOKA BARRICK GOLD*

*Siku ya Jumanne Oktoba 13, 2020 Rais John Pombe Magufuli atawaongoza Watanzania kupokea Gawio la zaidi ya Bilioni 100 kutoka kwa Kampuni ya Barrick Gold ikiwa ni sehemu ya fidia ya malimbikizo ya kodi na mafanikio ya kupitia upya Mikataba ya Madini na Sheria zinazolinda maliasili na madini ya Tanzania.*

*Ni aibu kwa wale wenzetu wa Ufipa na Mizambarauni waliotudanganya eti hatutalipwa na kwamba tungeshtakiwa. Ni aibu kwa wale wenzetu waliokula mshiko na kutumika kutaka kuvuruga suala hili ili tusifanikiwe na livurugike. Aibu yao na kweli kikulacho kimeaibika.*

*Uzuri ni kwamba watu hao wamekuja Kuomba kura leo kwetu. Watanzania tukawanyime kura zetu zote siku ya Oktoba 28 Mawakala hawa wa Mabeberu wanaotumika kutuvuruga kwa kutoa kura zote kwa Mzalendo, Shujaa na Mlinzi wa Rasilimali zetu Dkt John Pombe Magufuli*

#KuraKwaMagufuli2020
#T2020JPM

BMB.
 
Utoke kudai $192b, kisha upewe 100b tshs, kisha utokee mbele ya wanaume unashangilia kuwa ww ni shujaa, huo ni upunguani kama upunguani mwingine.
Hujui kitu wewe! Hizi ni mgawo wa faida iliyopatikana kwa kuwa TZ sasa inamiliki Kampuni kwa 16%. Tulia dawa ikuingie sawasawa!
 
Kwani limekuomba nini.. hadi lijiteteee!!![emoji28][emoji28][emoji28]

Kazi.. biashara.. kilimo.. mengi mazuri.. bila kusahaukachukue haswa kitambulisho cha elfu 20..uachane na uvivu na kukaa kijiweni..

Hapa kazi tu..
Mavivu haya
 
Tatizo linakuja kwenye matumizi tutasikia hizo fedha zinatengwa kwa ajili ya upanuzi wa Chat to International Airport na zitakazobakia atapewa Polepole ili kwenye kuwanunua Wapinzani

Duh!!!!
Toa hongera pita.. hayo ya kuandika ndoto za gizani.. ni kuzidi kuonyesha hamna uzalendo wowote nchini.. na nchi hamupewi na sisi wananchi.. hamuwezi kutuongoza.. ruzuku tu mupo hoi matumizi mabaya ya wakuu wenu..
 
Acha kufuata mkumbo magufuli ni fisadi aliyejiwekea mipaka ya kutokuguswa na vyombo vya sheria.shtuka unaibiwa.
Unaibiwa hata kuchimba madini hujiu
 
Ujinga mtupu!Tunasikia mmesaini nao mikataba ya siri kinyume na sheria mliotunga wenyewe, alafu mnatulaghai na hiyo hela mbuzi!

Kwa kifupi,tunaomba mkataba uwekwe wazi.
mkuu, watanzania maskini hizo bilioni 100 watazisikia tu kwenye vyombo vya habari...
uchumi wa mtanzania mmoja mmoja hauakisi hizo bilioni 100..hizo zitanunua ndege nyingine na kujenga flyovers juu na chini
 
Duh!!!!
Toa hongera pita.. hayo ya kuandika ndoto za gizani.. ni kuzidi kuonyesha hamna uzalendo wowote nchini.. na nchi hamupewi na sisi wananchi.. hamuwezi kutuongoza.. ruzuku tu mupo hoi matumizi mabaya ya wakuu wenu..
Hawa wanaitwa wavivu wa fikra
 
mkuu, watanzania maskini hizo bilioni 100 watazisikia tu kwenye vyombo vya habari...
uchumi wa mtanzania mmoja mmoja hauakisi hizo bilioni 100..hizo zitanunua ndege nyingine na kujenga flyovers juu na chini
Ulitaka wagawe mitaani
 
Duh!!!!
Toa hongera pita.. hayo ya kuandika ndoto za gizani.. ni kuzidi kuonyesha hamna uzalendo wowote nchini.. na nchi hamupewi na sisi wananchi.. hamuwezi kutuongoza.. ruzuku tu mupo hoi matumizi mabaya ya wakuu wenu..
Fatuma Lowassa kasema Mgombea Raisi wa CCM asahau kura za Wanawake Weusi atapata kura za mikorogo ya CCM tu
 
Ati.. eeeeeh.. ulimwona wapi.. Cocochanel!!!

Kwanza nakupa poleeee.. naona 2020 mupo hoi.. mukijua Jembe JPM hana mupinzani..
Mm sitaki mmbo ya siasa bwana
Mm nalia na wewe tu na huo mshepu rangi ya mtume
[emoji23][emoji23][emoji23]
Nyie endeleeni kuparuana
Ila mtoto wewe mashalah

Ova
 
Mpaka sasa kila mtanzania ameshafikiwa ,tupo vizuri

Kule Upareni milimani hali tete, siku ukitia mguu wazee kama kumi na zaidi watakuzunguka, watataka kujua hali yako, wakusifie lakini mwisho wa salaam . . . .unatua acha achaje ?. . . . . .
 
Unaona sasa unawaza tofauti .tutapigana humu humu
Hahaha Mm sipo kwnye mambo yenu hayo Nyie paruareni tu
Ila cocochanel msimchkulie powah ohohhh[emoji23][emoji23][emoji23]

Ova
 
Fatuma Lowassa kasema Mgombea Raisi wa CCM asahau kura za Wanawake Weusi atapata kura za mikorogo ya CCM tu

Huyo ni nani!!!
Upupwu gani huu unani quote mimi!!!..
Ebo.. uwe unaniita kwa ya wanawake walio na nondo.. wakitema maneno.. mtu unasema supab.. sio hao njaa njaaa.. kula.. kupata hagi tu tabu.. viwewe.. mnafaana huko huko..
 
Haya mambo ni ya kilaghai.....ujanja ujanja tu
Stupiddddd......mmezoea janja janja kwenye mavyama yenu ya kisanii sanii saccos like in nature...mtasubiri sana kwa watanzania hawa wa leo...mmechina
 
Back
Top Bottom