Barrick Gold Mining itamkabidhi Rais Magufuli Tsh 100billion

Watanzania wengi mazezeta tupu,hata kama wangegawa trion 1 kama gawio- hamna mtu anayejuwa hiyo mikataba ilikuwa vipi except JPM mwwnyewe Hamna taaisisi yyte ya serikali iliyo huru ambayo inaweza kuthibitisha.

Na hata zikipatikana bado hazina faida,maana matumizi yake atapanga JPM na watu wake kwenye vipaumbele ambavyo anavijua kwakw ndio sahihi.

Waafrika hatuna tofauti na makondoo.
Nikuulize umeolewa?
 
Well said.
Huu ni utawala wa kipuuzi Sana kuwahi kutokea hapa Tanzania.
Kwamba ati Rais ndiye Waziri wa Fedha, Mweka Hazina Mkuu wa Serikali na Mgawaji wa Pesa kwa kila Taasisi.
1. Hakuna any approved Budget.
2. Hakuna kufuata Taratibu za Manunuzi.
3. Rais anatembea kwenye Ziara anagawa fedha Kama njugu.
4. Hakuna issued Cheques wala receipts.
5. Hakuna Audit check wala Quary.

Si ajabu hata ile 1.5 Trilion iliyeyuka kiaina na CAG alipohoji akatimuliwa!!

Katawaze ulale
 
Sema akili zako zina shida na rais magufuli tangu ulipokuwa kuwadi wa lowasa na akachinjwa
..kwa ulipaji huu itachukua miaka 600++ kumaliza deni la usd 191 billion.

..ndiyo maana wengine tunaamini kwamba Jiwe kachukua mlungula.
 
Zamani mlipata nini?
Watanzania wengi mazezeta tupu,hata kama wangegawa trion 1 kama gawio- hamna mtu anayejuwa hiyo mikataba ilikuwa vipi except JPM mwwnyewe Hamna taaisisi yyte ya serikali iliyo huru ambayo inaweza kuthibitisha.

Na hata zikipatikana bado hazina faida,maana matumizi yake atapanga JPM na watu wake kwenye vipaumbele ambavyo anavijua kwakw ndio sahihi.

Waafrika hatuna tofauti na makondoo.
 
Zitto alipinga hili ,nenda ukampe huu ujumbe
Sasa hapo cha kushangaza ni kipi ?
Makampuni yote amby ama yanaendeshwa na serikali ama yana ubia na serikali hiyo ni kawaida tu kila mwaka kuleta gawio.
Ila mzee wa challte alivyomshamba atataka aonekane kwenye luninga.
 
Kaulize kwanza ruzuku za chadema
Hivi ni Chama kipi Mwenyekiti amewaweka Wanachama wote mfukoni kiasi kwamba hawawezi uliza lolote zaidi ya kusifu,kuabudu na mapambio??CCM- CHAMA CHA MAJAMBAZI!
 
Approved budget wakati mnakimbia vikao vya bunge
Well said.
Huu ni utawala wa kipuuzi Sana kuwahi kutokea hapa Tanzania.
Kwamba ati Rais ndiye Waziri wa Fedha, Mweka Hazina Mkuu wa Serikali na Mgawaji wa Pesa kwa kila Taasisi.
1. Hakuna any approved Budget.
2. Hakuna kufuata Taratibu za Manunuzi.
3. Rais anatembea kwenye Ziara anagawa fedha Kama njugu.
4. Hakuna issued Cheques wala receipts.
5. Hakuna Audit check wala Quary.

Si ajabu hata ile 1.5 Trilion iliyeyuka kiaina na CAG alipohoji akatimuliwa!!
 
Poor propaganda! Kwani zile dola milioni 300 za kishika uchumba kilishalipwa au hizi ni sehemu yake? Yaani mataga hamna tofauti na kuku wa kienyeji ambaye akitaga yai moja mtaa wote utajua kwa kelele atakazopiga!
Hizo 100bln Zina maana gani Kama aliwasamehe Ile Kodi ya trillion 92 za Prof. Osoro na kamati yake? Acheni kumshangilia punje huku barrick wakiwapiga mazima!
 
Barrick Gold Mining kumkabidhi Rais Magufuli Tsh100 Billion kama gawio kwa Serikali Jumanne 13/10/2020 mbele ya wanahabari na watanzania.

Kama utakumbuka kuna wanasiasa uchwara na wanaharakati uchwara wanaojiona wanajua kila kitu walipinga hili sasa Serikali ya awamu ya tano inakimbiza uchumi kwa speed kali.

Kwa miaka kadhaa pesa hizi zilikuwa zinaliwa na watanzania wezi na kunufaika na familia zao lakini sasa pesa hizi zinakwenda kujenga nchi na kila mwanaCHADEMA, mwanaCUF, ACT wananufaika kwa kazi nzuri za JPM na CCM yake.

Tunawaomba watanzania sasa akili zirudi tukubaliane kuwa huyu ni nabii

======

Tanzania to Get $40 Million Payment From Barrick Gold on Oct. 13

Tanzania will receive about $40 million from Barrick Gold Corp. on Oct. 13 as part of a payment settlement with the company.

President John Magufuli will oversee the event, the ruling CCM party said in a statement. It’s part of the $300 million settlement between Tanzania and Barrick Gold to end a tax dispute. Barrick Gold paid the first installment of $100 million in May.

Source: Tanzania to Get $40 Million Payment From Barrick Gold on Oct. 13
Siasa ni Sayansi
 
........kati ya dola 190bn ndio tunapata hizi!? Wanasiasa wa Tz wana raha sana.

Ila sio mbaya, bora nusu shari!
 
Hata akabidhiwe trilioni 100, Meko must go.

Ameiharibu Tanzania na watanzania kwa kipindi cha miaka mitano.
Sema amekuharibia maisha yako na ya mmeo sababu mmeo alikuwa na kazi za kupiga dili bandarini..kazi zilikufa zote..sasa Hana kazi na Wala dili hakuna
 
Kesho siku ya Jumanne tarehe 13 Oktoba 2020 serikali ya Jamhuri ya Muungank wa Tanzania itapokea gawio ka Tshs bilioni 100 kutoka kampuni ya Twinga iliyoundwa kwa pamoja baina ya Barrick na Serikali.

Gawio hilo limetokana na faida ya biashara ya madini ambapo baada ya kodi zote kulipwa na gharama za uendeshaji kutolewa ndipo inabaki gawio ambalo wabia wanagawana 50/50 kila upande.

Gawio hili ni sehemu tu kwani ifikapo Januari 2021 serikali itapata gawio lingine kuhitimisha mwaka mmoja wa kimkataba....

JPM ametutoa kwenye shida na anatupeleka mahala pazuri. Tumuamini mitano tena
 
Barrick Gold Mining kumkabidhi Rais Magufuli Tsh100 Billion kama gawio kwa Serikali Jumanne 13/10/2020 mbele ya wanahabari na watanzania.

Kama utakumbuka kuna wanasiasa uchwara na wanaharakati uchwara wanaojiona wanajua kila kitu walipinga hili sasa Serikali ya awamu ya tano inakimbiza uchumi kwa speed kali.

Kwa miaka kadhaa pesa hizi zilikuwa zinaliwa na watanzania wezi na kunufaika na familia zao lakini sasa pesa hizi zinakwenda kujenga nchi na kila mwanaCHADEMA, mwanaCUF, ACT wananufaika kwa kazi nzuri za JPM na CCM yake.

Tunawaomba watanzania sasa akili zirudi tukubaliane kuwa huyu ni nabii

======

Tanzania to Get $40 Million Payment From Barrick Gold on Oct. 13

Tanzania will receive about $40 million from Barrick Gold Corp. on Oct. 13 as part of a payment settlement with the company.

President John Magufuli will oversee the event, the ruling CCM party said in a statement. It’s part of the $300 million settlement between Tanzania and Barrick Gold to end a tax dispute. Barrick Gold paid the first installment of $100 million in May.

Source: Tanzania to Get $40 Million Payment From Barrick Gold on Oct. 13
Tazama nalikuwa usingizini naam usingizi wa maono. Tazama malaika muona vionwa akanijia na kunichukua mpaka uwanda wa juu wa nchi.

Akaniambia tazama, nami nikawaona wanaume wa nchi wenye nguvu wakiliziba tundu kwa kuweka mawe aina anuai. Baada ya kulijaza shimo kwa mawe wakaweka juu yake mfuniko mzito wa ratili kumi elfu. Mara baada ya hapo makufuli ya dhahabu yaliyozungushiwa majani ya kijani kibichi yakafungwa juu yake na makufuli hayo haukuna mwanadamu yeyote awaye atakayeweza kuyavunja.

Mara nikashtuka na kukuta mzee fulani mwenye hekima akanisogolea na kuniambia, mwanangu hiyo sio ndoto ni maono. Makufuli ni Rais Magufuli, tundu ni Tundu Lissu, majani ya kijani kibichi ni CCM, mfuniko ni kura za wananchi, mawe ya aina anuai ni mambo mema aliyotenda Rais Magufuli na kumfifisha na kumpausha Lissu na wapinzani wengine na wanaume wenye nguvu wanawakilisha wapiga kura wote.

Mwisho wa ndoto ukweli
 
Back
Top Bottom