Umepotea sana ?!. Vipi ulidai kimekufa , unaonaJe ?! Mpaka mnaishia kufanya figisuNot a big issue,Jaduong.
Ahaaaa,kwani bado kipo hai jaduong?Umepotea sana ?!. Vipi ulidai kimekufa , unaonaJe ?! Mpaka mnaishia kufanya figisu
..usd 191 billion ziko wapi?
..this is peanuts kulinganisha na kiasi ambacho tume zilidai acacia / barrick wametuibia.
Naona mwaanza kupima magoli mengine mapya.
Kitu kipo kwenye mioyo ya watu. Huwezi kukiua kwa kununua wabunge na madiwani .Ahaaaa,kwani bado kipo hai jaduong?
..Jiwe amechukua ngapi, mpaka amelegea na kukubali kishika uchumba, badala ya madai ya awali ya usd 191 billion?
Juzi nilikuwa Chatto katika mkakati wa kuandaa mkutano wa kampeni za TAL nimekuta ule uwanja umekaa kihasarahasara sana yaani ni Aibu tupuAcha uhuni,kwani uwanja wa ndege Chato ni wa kuanikia mbute? Ni kwa ajili ya watanzania wote.
Tundu atarudi ubelgiji akapate haki yake huko ya ush, malizia weweWajinga nyie!
Wanalipa kwa awamu na fungu la kwanza lililipwa mwezi Mei mwaka huu.
Na hili fungu la pili laja hiyo Jumanne.
Baaada ya hapo watamalizia sehemu ilobakia maana hulipa kutokana na wao walichopata kwenye faida zao.
Fedha zote hizo zaenda hazina.
Hakuna 10% hapo wala kupiga kama ilivyokuwa huko nyuma pre 2015.
Sasa hapo cha kushangaza ni kipi ?Barrick Gold Mining kumkabidhi Rais magufuli tsh100billion kama gawio kwa serikali Jumanne 13/10/2020 .mbele ya wanahabari na watanzania
Kama utakumbuka kuna wanasiasa uchwara na wanaharakati uchwara wanaojiona wanajua kila kitu aalipinga hili sasa serikali ya awamu ya tano inakimbiza uchumi kwa speeds kali
Kwa miaka kadhaa pesa hizi zilikuwa zinaliwa na watanzania wezi na kunufaika na familia zao lakini sasa pesa hizi zinakwenda kujenga nchi na kila mwanachadema,mwanacuf,ACT wananufaika kwa kazi nzuri za jpm na ccm yake .
Tunawaomba watanzania sasa akili zirudi tukubaliane kuwa huyu ni nabii
USSR
Hivi ni Chama kipi Mwenyekiti amewaweka Wanachama wote mfukoni kiasi kwamba hawawezi uliza lolote zaidi ya kusifu,kuabudu na mapambio??CCM- CHAMA CHA MAJAMBAZI😄😂🤣!Mbowe anawafuga wote kama kuku
Well said.Watanzania wengi mazezeta tupu,hata kama wangegawa trion 1 kama gawio- hamna mtu anayejuwa hiyo mikataba ilikuwepo vipi except JPM mwwnyewe Hamna taaisisi yyte ya serikali iliyo huru ambayo inaweza kuthibitisha.
Na hata zikipatikana bado hazina faida,maana matumizi yake atapanga JPM na watu wake kwenye vipaumbele ambavyo anavijua kwakw ndio sahihi.
Waafrika hatuna tofauti na makondoo.
Yaaani taarabu ndo zimewacost yote hii lakin bado wanaendelea.Amjaacha tu taarabu