Barrick Gold Mining itamkabidhi Rais Magufuli Tsh 100billion

Barrick Gold Mining itamkabidhi Rais Magufuli Tsh 100billion

Hata akabidhiwe trilioni 100, Meko must go.

Ameiharibu Tanzania na watanzania kwa kipindi cha miaka mitano.
 
Kumbe ile bilioni 100 ilikuwa haijawasilishwa bado? Na hizo nyingine 200 zitawasilishwa lini?

Ila huyu Magufuli ana kamba sijawahi kuona. Imagine ameenda kuzindua stand ya Mbezi mara ya pili ili tu apate kura. Nakumbuka haya malipo yalishaongelewa miezi kadhaa iliyopita.
 
Barrick Gold Mining kumkabidhi Rais magufuli tsh100billion kama gawio kwa serikali Jumanne 13/10/2020 .mbele ya wanahabari na watanzania

Kama utakumbuka kuna wanasiasa uchwara na wanaharakati uchwara wanaojiona wanajua kila kitu aalipinga hili sasa serikali ya awamu ya tano inakimbiza uchumi kwa speeds kali

Kwa miaka kadhaa pesa hizi zilikuwa zinaliwa na watanzania wezi na kunufaika na familia zao lakini sasa pesa hizi zinakwenda kujenga nchi na kila mwanachadema,mwanacuf,ACT wananufaika kwa kazi nzuri za jpm na ccm yake .

Tunawaomba watanzania sasa akili zirudi tukubaliane kuwa huyu ni nabii


USSR
Kwani utaratibu wa kulipa magawio ukoje? Yanalipwa kwa rais au? Hii si ni pesa ya serikali? Kwa nini isilipwe kwa utaratibu wa wa kawaida? Au mimi ndo sielewi.
 
Utoke kudai $192b, kisha upewe 100b tshs, kisha utokee mbele ya wanaume unashangilia kuwa ww ni shujaa, huo ni upunguani kama upunguani mwingine.
We dogo tatizo lako huwa ni uelewa mdogo. Habari za Usd bil 192 zilikwisha baada ya Twiga gold ltd kuzaliwa. Kwa hiyo acha kuishi maisha ya kukariri. Twiga gold minerals ilileta mabadiliko ya mgogoro wa awali ambao wewe umeukariri kama ndoto.
 
Kwani utaratibu wa kulipa magawio ukoje? Yanalipwa kwa rais au? Hii si ni pesa ya serikali? Kwa nini isilipwe kwa utaratibu wa wa kawaida? Au mimi ndo sielewi.
Utaratibu ni kwamba Barrick Gold ABX walilipa Dola milioni 100 mwezi May na hizi dola milioni 40 zinalipwa sasa (hiyo jumanne).

Zingine dola milioni 100 zitalipwa siku itakapowadia.

Kumbuka hii ni "settlement" ya dola milioni 300 ambazo Barrick Gold waliahidi kuzilipa.
 
Ulitaka wagawe mitaani
wewe wajua fedha zinatakiwa ziende wapi kuwafikia wananchi huku nchini ..kwani hatujui yeye ndio anachukua fedha zote na matumizi anayapanga yeye...tangu lini 16% tu za makusanyo ya halmashauri ndizo zipewe, nyingine zichukuliwe kimabavu

watanzania sio wajinga ...
 
Aise nmerudi toka site
Humu bado mnyukano unaendelea[emoji23][emoji23][emoji23]

Ova
 
Siti ya mbeele kabisa kwenye kuhesabu hayo mapene yetu.

Awamu hii ni faida kwa watanzania.
 
Tatizo linakuja kwenye matumizi tutasikia hizo fedha zinatengwa kwa ajili ya upanuzi wa Chat to International Airport na zitakazobakia atapewa Polepole ili kwenye kuwanunua Wapinzani
Acha uhuni,kwani uwanja wa ndege Chato ni wa kuanikia mbute? Ni kwa ajili ya watanzania wote.
 
Zipi zilikufikia wewe mwananchi wa chini
wewe wajua fedha zinatakiwa ziende wapi kuwafikia wananchi huku nchini ..kwani hatujui yeye ndio anachukua fedha zote na matumizi anayapanga yeye...tangu lini 16% tu za makusanyo ya halmashauri ndizo zipewe, nyingine zichukuliwe kimabavu

watanzania sio wajinga ...

Sent from my SM-J110H using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom