Wazee wa "tutashitakiwa MIGA" mnapata taabu sana! Hahaha itafika mahali kila mtu atajiunga ccm.
Nilifikiri dola kumbe shilingi!Billion au trillion?
Unsmdai mtu laki anakupa sh kumi unaita waandishi wa Habari?
ulitaka tuchangie zaidi ya hiyo buku ili mtutie kasi za uhujumu uchumi???Hizi mnazochangisha mikutanoni bukubuku unafurahia kutapeli
watanzania wanasubiri kukabidhiwa ben saanane, kangoye, gwanda wakiwa hai au wafu.
watanzania wanasubiri kukabidhiwa waliompiga masasi lissu, akwilina, mawazo ... ili wafikishwe mbele ya mkono wa sheria.
Huna jibu hili swali si saizi yako nyamaza tu gamba.Ulitaka uje upewe ukiwa umekaa
Ujinga mtupu!Mmesaini nao mikataba ya siri kinyume na sheria mliotunga wenyewe, alafu mnatulaghai na hiyo hela mbuzi!
Hizo pesa zimetoka hazina zinarudishwa hazina kwaajili ya kupigia kampeni.tumemshtukia mwambie.
pongezi sana JPM, hayo mawe ya Barrick pliz jenga SGR iende na Kigoma mwisho wa reli kulikozaliwa ubishi shoka ikaungua mpini ukabaki huko kwa watani zako . SGR ya Kigoma ni muhimu sana kuiunganisha nchi na maziwa makuu tujenge uchumi imara bila kumjali ZZK na chama chake, nasikia ZZK ni mgonjwa nadhani wamemroga ili afeli kampeni ila wazee wa Bugoi Mirumbani wakaokoa jahazi wakamuagua ! pole kwake.Barick Gold Mining kumkabidhi rais magufuli tsh100billion kama gawio kwa serkali jumanne 13/10/2020 .mbele ya wanahabari na watanzania
Kama utakumbuka kuna wanasiasa uchwara na wanaharakati uchwara wanaojiona wanajua kila kitu aalipinga hili sasa serkali ya awamu ya tano inakimbiza uchumi kwa speeds kali
Kwa miaka kadhaa pesa hizi zilikuwa zinaliwa na watanzania wezi na kunufaika na familia zao lakini sasa pesa hizi zinakwenda kujenga nchi na kila mwanachadema,mwanacuf,ACT wananufaika kwa kazi nzuri za jpm na ccm yake .
Tunawaomba watanzania sasa akili zirudi tukubaliane kuwa huyu ni nabii
USSR
Mbona mtaani bado hali ni ngumu hizo hela anapeleka wapi?