Barrick Gold Mining itamkabidhi Rais Magufuli Tsh 100billion

Barrick Gold Mining itamkabidhi Rais Magufuli Tsh 100billion

Keki ya Taifa kila mwananchi ana nafasi ya kula.. nikianzia na wewe.. acha uvivu na kushinda kijiweni..

Unaandika upupwu.. leta nondo.. unafikiri awamu hii ni ya muchezo.. hata pesa za kodi zetu tunaona zinavyotumika vizuri sana..

Kacheze bao sasa
Huna jipya unatetea tumbo lako tu wewe.
 
Semeni Ccm mmekata pumzi hela hamna. Sasa mna taka kukwapua Barrick kwa style hiyo..

Mkuu hii ndio serikali yenye akiba kubwa kwa pesa za kigeni na pesa za ndani kuliko serikali yeyote tangu nchi ipate uhuu., tutafute tuu njia ya kuzigawana.
 
Majike yanayoondoka huko kwenu kwenye ubunge sio [emoji28][emoji28][emoji28]
Ila ruzuku nazo mbona hamumudai mkuu wenu.. nasikia mabeberu nao wanachoka kuombwa ombwa.. huku hamna jipya la kubutia.. bado mupo kwa futi sita tu..

Mwaka huu.. shaaaaaa.. hizi kwenu nyingi tu[emoji382][emoji382][emoji382][emoji382]
Mwaka huu magufuli kawakamata haswaaa
 
Barick Gold Mining kumkabidhi rais magufuli tsh100billion kama gawio kwa serkali jumanne 13/10/2020 .mbele ya wanahabari na watanzania

Kama utakumbuka kuna wanasiasa uchwara na wanaharakati uchwara wanaojiona wanajua kila kitu aalipinga hili sasa serkali ya awamu ya tano inakimbiza uchumi kwa speeds kali

Kwa miaka kadhaa pesa hizi zilikuwa zinaliwa na watanzania wezi na kunufaika na familia zao lakini sasa pesa hizi zinakwenda kujenga nchi na kila mwanachadema,mwanacuf,ACT wananufaika kwa kazi nzuri za jpm na ccm yake .

Tunawaomba watanzania sasa akili zirudi tukubaliane kuwa huyu ni nabii

USSR
Cha,Na ambazo hazijatangazwa ni ngapi?
 
Hivi zimekuwa tena fedha za madafu?
 
Mpaka sasa kila mtanzania ameshafikiwa ,tupo vizuri
Mkuu vizuri kwa habari hii, lakini kuna ka albaki wafanye haraka. Tunahitaji sana pesa. 2020 - 2025 tuna nia tuwafikie kila mtanzania, waone mkono wa wema wa Mzee baba..
 
Mkuu hii ndio serikali yenye akiba kubwa kwa pesa za kigeni na pesa za ndani, tutafute tuu njia ya kuzigawana.
Njia ya kugawana mtasubiri sana.magufuli na hawa wapambe wake wanaompigia debe humu mtandaoni ndio wanafaidi nyie wengine endeleeni kufuata mkumbo.
 
Naona haupendi kuitwa jike. Basi wewe ni beberu pia.

Mbona upinzani munatia aibu hivi.. kafanya kazi.. acha kulalamika..hata biashara.. kitambulisho ni elfu 20 tu

Usisahau ku 💚💛💚💛💚💛💚
Maana nimekusaidia uache uvivu wa kushinda unalalama tu.. upupwu.
 
Barick Gold Mining kumkabidhi rais magufuli tsh100billion kama gawio kwa serkali jumanne 13/10/2020 .mbele ya wanahabari na watanzania

Kama utakumbuka kuna wanasiasa uchwara na wanaharakati uchwara wanaojiona wanajua kila kitu aalipinga hili sasa serkali ya awamu ya tano inakimbiza uchumi kwa speeds kali

Kwa miaka kadhaa pesa hizi zilikuwa zinaliwa na watanzania wezi na kunufaika na familia zao lakini sasa pesa hizi zinakwenda kujenga nchi na kila mwanachadema,mwanacuf,ACT wananufaika kwa kazi nzuri za jpm na ccm yake .

Tunawaomba watanzania sasa akili zirudi tukubaliane kuwa huyu ni nabii

USSR

Utoke kudai $192b, kisha upewe 100b tshs, kisha utokee mbele ya wanaume unashangilia kuwa ww ni shujaa, huo ni upunguani kama upunguani mwingine.
 
Tatizo linakuja kwenye matumizi tutasikia hizo fedha zinatengwa kwa ajili ya upanuzi wa Chat to International Airport na zitakazobakia atapewa Polepole ili kwenye kuwanunua Wapinzani
 
Huna jipya unatetea tumbo lako tu wewe.

Kwani limekuomba nini.. hadi lijiteteee!!!😅😅😅

Kazi.. biashara.. kilimo.. mengi mazuri.. bila kusahau kachukue haswa kitambulisho cha elfu 20..uachane na uvivu na kukaa kijiweni..

Hapa kazi tu..
 
Back
Top Bottom