Baraza la Mawaziri, sura mpya, uchakachuaji unaendelea

Its time waachie hizo kazi, zimeshawashinda kwa miongo kibao. Tena kwa kutoa mfano, napendekeza aanze Dr Slaa ambaye amekua katibu wa CHADEMA karibia miaka 200 iliyopita. Kila siku ubabe na kufukuza vijana wanaoleta mitazamo mipya au wanaopingana nae.
Sijaona mitazamo mipya yoyote unayoongelea hapa. Masha kaleta mtazamo gani mpya? Ngeleja kaleta mtazamo gani mpya mbali na kuhudumia maslahi ya mafisadi na wale wanaonyonya maliasili zetu? Afadhali tuwe na wazee wana mapinduzi mara kumi ya hawa vijana wenye sera za ukoloni mamboleo. Mitazamo mipya? Mguu wangu.
 
Acha ushabiki wa kitumwa,, una uhakika au evidence na unachokisema?? Jaribu kua unafikiria mwenyewe kuliko kushiba sumu
Ndiyo. Ngeleja kawekwa pale na Rostum. Fisadi namba wani. Masha ndiye aliyekuwa wakili wa makampuni yanayokomba madini yetu. And while at it nakushauri ubadilishe jina lako kwa sababu haliendani kabisa na mtazamo wa hero wangu Julius Nyerere. Labda ujiite Kenyattarist utaeleweka vizuri.
 
Inakuwaje mtu anakurupuka kutoka kitandani halafu anapost thread ya namna hii? Hivi kila mtu akipost ndoto zake itakuwaje?

Poor Thinker!
 
Ndiyo. Ngeleja kawekwa pale na Rostum. Fisadi namba wani. Masha ndiye aliyekuwa wakili wa makampuni yanayokomba madini yetu. And while at it nakushauri ubadilishe jina lako kwa sababu haliendani kabisa na mtazamo wa hero wangu Julius Nyerere. Labda ujiite Kenyattarist utaeleweka vizuri.

Wewe ni Jasusi wa umbea na chuki za kikabila. Yaani katika mawazili waliowekwa na mafisadi ni wale wa kutoka kanda ya ziwa?? Huna maana bora ukaimbe taarabu. Una uhakika gani kwamba Masha na Ngeleja waliwekwa na Rostam?? Acha upuuzi wako na siasa za maji taka. Mie nafuata siasa za mwalimu nyerere za kistaarabu na kiungwana. Na sio zako za kupaka watu matope. Mwalimu Nyerere hakuwahi kumpaka matope mtu kama wewe unavyofanya.

Mwalimu Nyerere alikua anadiscuss maswala, na sio watu kama wewe unavyofanya. Na ndio maana nikakuomba ushahidi wa kile unachokiropoka kuhusu Masha na Ngeleja. Na umeshindwa na umekuja na analysis ya kitoto namna hiyo. Badala ya kujiita Jasus nakushauri ujiite Khadija Kopa
 
Even though katiba haisemi kuwa Rais hawezi kuchagua mtu wa chama cha upinzani, but can't see this coming at all. Kuna vitu vingi vya kisheria vitakavyomzuia Mh. Zitto kuwa naibu waziri hata kama CDM watakubaliana na uteuzi huo. This country need to change laws zinazogovern serikali yetu, ndio maana inatakiwa tuwe na wabunge wengi wa upinzani wa kweli tuachane na CUF et al. Wakati wa kuchagua mawaziri wa upinzani bado kabisa and don't speculate about this unless wanatoka CUF hamna tabu na hilo kwa tayari CUF wanatekeleza sera za CCM na wote tunajua hilo
 
Kosa la aliyeleta habari ni lipi?Amesikia tetesi na akaamua ku-share nasi!

Kwa wanaoifahamu vema CCM na mbinu zake za hujuma,alichoandika mtoa mada is a likely possibility.JK na CCM yake wanamuelewa Zitto vizuri sana.Na wanafahamu kuwa kama kuna namna ya kuuhujumu msimamo wa Chadema kutomtambua Kikwete basi ni kwa kumtumia Zitto.Kama si kupewa unaibu anaweza kupewa ulaji flani,na kama tumjuavyo wengi,Zitto atakubali uteuzi huo hence kuiingiza Chadema ktk mgogoro wa wenyewe kwa wenyewe.
 
Tetesi Kutoka vyanzo vya kuaminika zinasema kuna karatasi yenye majina ya mawaziri iliyotumiwa na kikao kizito cha watu saba wakiwemo JK, GB na MP kwa ajili ya kuyajadili imeonekana kuna jina la Zitto Zuberi Kabwe katika unaibu waziri wa Fedha na Uchumi.

Ilikuwa tuitoe hii habari tangu jana lakini imebidi tuhakikishe kuwa aliyetuvujishia yuko salama....wanaoelewa itifaki wataelewa na hili.
Alafu ukome kutuletea habari mbofumbofu
 
Nakumbuka kabla ya kutangaza PM thread kama hizi zilikuwa nyingi sana.
Mara Lowasa, mara Sita, mara Chenge.
Ilimradi tu kupoteza muda.
 
mmh,sikatai wala sikubali!

zitto ni ccm anaye subiri mda wake kwenda ufike
 
JF inachakachuliwa na hawa akina Pakashume! Habari gani hizi?

JF haiwezi kuchakachuliwa kwa kuwa tu mtu fulani katoa mada inayoonyesha umbea au pengine kwa mtazamo wa watu fulani uzushi. Watu wamepewa tetesi na wamepost. Na itakapothibitika utaomba radhi?
 
Lisemwalo lipo kama halipo linakuja. Kwa maoni yangu Zito akikihama chama cha chadema "it would be a good ridance". Mtu mwenyewe kwa hulka haridhiki na timu yake kufunga kama hilo goli la ushindi hakufunga yeye. Vile vile anaonekana kutokuwa na nidhamu; wewe uliona wapi, katika taasisi yenye muundo wa uongozi uliowekwa kwa mujibu wa sheria iliyoanzisha taasisi husika, anatokea mtu wa ngazi ya chini anatoa hadharani msimamo unaokinzana na ule uliotolewa na wakubwa zake, kama afanyavyo Zito!
 
JF haiwezi kuchakachuliwa kwa kuwa tu mtu fulani katoa mada inayoonyesha umbea au pengine kwa mtazamo wa watu fulani uzushi. Watu wamepewa tetesi na wamepost. Na itakapothibitika utaomba radhi?

Another Bonobo at work!
 
duuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuu kukataa tu kujumuika na wanaCDM kutoka nje wakati rais wa nec anatoa hotuba tutaona mengi jamani....
 
Wewe ni Jasusi wa umbea na chuki za kikabila. Yaani katika mawazili waliowekwa na mafisadi ni wale wa kutoka kanda ya ziwa?? Huna maana bora ukaimbe taarabu. Una uhakika gani kwamba Masha na Ngeleja waliwekwa na Rostam?? Acha upuuzi wako na siasa za maji taka. Mie nafuata siasa za mwalimu nyerere za kistaarabu na kiungwana. Na sio zako za kupaka watu matope. Mwalimu Nyerere hakuwahi kumpaka matope mtu kama wewe unavyofanya.

Mwalimu Nyerere alikua anadiscuss maswala, na sio watu kama wewe unavyofanya. Na ndio maana nikakuomba ushahidi wa kile unachokiropoka kuhusu Masha na Ngeleja. Na umeshindwa na umekuja na analysis ya kitoto namna hiyo. Badala ya kujiita Jasus nakushauri ujiite Khadija Kopa

Mkuu usiwe mbishi sana kama jambo hulifahamu vizuri. Ngeleja alikuwa mwanasheria wa Vodacom ambako Rostam ni mwana hisa. Ndo aliyemshauri akagombee ubunge Sengerema na Rostam ndo aliyegharimia kampeni zake mwaka 2005. Mara tu baada ya kuwa mbunge akapewa unaibu waziri wa nishati na madini na hatimaye waziri kamili wa wizara hiyo. Na huo ulikuwa mpango kamili wa Rostam na rafiki yake Lowasa kufanikisha ufisadi wao katika sekta ya nishati na madini. Tumeona Dowans na Richmond. Pia Rostam kampuni yake ya Caspian ndo wenye mitambo ya kuchimba madini kwenye makampuni mengi yaliyopo hapa nchini. n.k.
 
Mkuu usiwe mbishi sana kama jambo hulifahamu vizuri. Ngeleja alikuwa mwanasheria wa Vodacom ambako Rostam ni mwana hisa. Ndo aliyemshauri akagombee ubunge Sengerema na Rostam ndo aliyegharimia kampeni zake mwaka 2005. Mara tu baada ya kuwa mbunge akapewa unaibu waziri wa nishati na madini na hatimaye waziri kamili wa wizara hiyo. Na huo ulikuwa mpango kamili wa Rosatm na rafiki yake Lowasa kufanikisha ufisadi wao katika sekta ya mishati na madini. Tumeona Dowans na Richmond. Pia Rostam kampuni yake ya Caspian ndo wenye mitambo ya kuchimba madini kwenye makampuni mengi yaliyopo hapa nchini. n.k.

Watu wako kazini
 
Back
Top Bottom