PreGE2025 Baraza la Maaskofu Katoliki Tanzania (TEC): Wote waliokamatwa kwa kudai haki, wakiwemo viongozi wa vyama vya kisiasa, waachiwe haraka na bila masharti

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)

Heparin

JF-Expert Member
Joined
Sep 24, 2021
Posts
440
Reaction score
3,211
Baraza la Maaskofu Katoliki Tanzania (TEC) limetoa wito kwa serikali ya Tanzania kuwaachilia mara moja na bila masharti viongozi wa kisiasa waliokamatwa kwa kudai haki, likisisitiza kuwa hatua hiyo ni muhimu katika kulinda amani ya taifa, hasa kuelekea mwaka wa uchaguzi.

Rais wa TEC na Askofu wa Jimbo Katoliki Lindi, Mhashamu Wolfgang Pisa, amesema kuwa amani ya kweli haiwezi kupatikana kwa kutumia nguvu bali kwa maridhiano na haki, akisisitiza kuwa ni wajibu wa kila Mtanzania kulinda amani ya nchi kwa kuhakikisha mifumo ya uchaguzi inarekebishwa ili kutoa nafasi kwa upatikanaji wa viongozi wa haki na wa kweli.

“Katika hali ya kawaida, nani anaharibu amani? Anayetumia nguvu na kusisitiza uchaguzi uende anavyotaka yeye au yule anayesema ‘jamani turudi mezani ili tuangalie mifumo yetu ya uchaguzi kwani mifumo ya sasa haiwezi kutupatia viongozi wa haki na kweli’?” amehoji Askofu Pisa.

Akizungumza katika mkesha wa Pasaka uliofanyika Kanisa Kuu la Mtakatifu Andrea Kagwa, Jimbo Katoliki Lindi, Askofu huyo amesema kuwa kama kurudi mezani ndiko kunakoweza kulinda amani, basi kila anayehamasisha hilo anapaswa kuungwa mkono, si kukandamizwa au kukamatwa.

“Kwa maana hiyo wote waliokamatwa kwa kudai haki, wakiwemo viongozi wa vyama vya kisiasa, waachiwe haraka na bila masharti, na wengine wasikamatwe wala kusumbuliwa. Pia mihimili isiingiliwe bali itende kazi zake kwa haki,” amesisitiza.

Amesema kuwa amani ni tunu adhimu inayopatikana kwa gharama kubwa, hivyo haipaswi kuchezewa, huku akisisitiza kuwa taifa linapaswa kuikataa dhana ya kuimba wimbo wa amani isiyotokana na haki.

Kauli ya Askofu Pisa imekuja wakati ambapo mjadala wa mabadiliko ya mfumo wa uchaguzi na ushiriki wa vyama vya siasa umekuwa ukitawala anga ya kisiasa nchini, huku kukiwa na malalamiko kutoka kwa baadhi ya vyama vya upinzani kama Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kuhusu kukamatwa kwa viongozi wao wakubwa akiwamo Mwenyekiti wa CHADEMA taifa Tundu Lissu na ukosefu wa haki katika uendeshaji wa siasa.

Attachments

Tatizo siku hizi ni ngumu kujua hilo ni tamko la kanisa Kwa ujumla au wachache wa kanisa kwani viongozi wengi sana nchini wako Catholic na wanaendelea kubariki wa kila siku

Pia tuliona cardinali pengo alipo ping wa hadharani

Kwa kiasi fulani kabisa linatuchanganya
 
Baraza la Maaskofu Katoliki Tanzania (TEC) limetoa wito kwa serikali ya Tanzania kuwaachilia mara moja na bila masharti viongozi wa kisiasa waliokamatwa kwa kudai haki, likisisitiza kuwa hatua hiyo ni muhimu katika kulinda amani ya taifa, hasa kuelekea mwaka wa uchaguzi.

Rais wa TEC na Askofu wa Jimbo Katoliki Lindi, Mhashamu Wolfgang Pisa, amesema kuwa amani ya kweli haiwezi kupatikana kwa kutumia nguvu bali kwa maridhiano na haki, akisisitiza kuwa ni wajibu wa kila Mtanzania kulinda amani ya nchi kwa kuhakikisha mifumo ya uchaguzi inarekebishwa ili kutoa nafasi kwa upatikanaji wa viongozi wa haki na wa kweli.

“Katika hali ya kawaida, nani anaharibu amani? Anayetumia nguvu na kusisitiza uchaguzi uende anavyotaka yeye au yule anayesema ‘jamani turudi mezani ili tuangalie mifumo yetu ya uchaguzi kwani mifumo ya sasa haiwezi kutupatia viongozi wa haki na kweli’?” amehoji Askofu Pisa.

Akizungumza katika mkesha wa Pasaka uliofanyika Kanisa Kuu la Mtakatifu Andrea Kagwa, Jimbo Katoliki Lindi, Askofu huyo amesema kuwa kama kurudi mezani ndiko kunakoweza kulinda amani, basi kila anayehamasisha hilo anapaswa kuungwa mkono, si kukandamizwa au kukamatwa.

“Kwa maana hiyo wote waliokamatwa kwa kudai haki, wakiwemo viongozi wa vyama vya kisiasa, waachiwe haraka na bila masharti, na wengine wasikamatwe wala kusumbuliwa. Pia mihimili isiingiliwe bali itende kazi zake kwa haki,” amesisitiza.

Amesema kuwa amani ni tunu adhimu inayopatikana kwa gharama kubwa, hivyo haipaswi kuchezewa, huku akisisitiza kuwa taifa linapaswa kuikataa dhana ya kuimba wimbo wa amani isiyotokana na haki.

Kauli ya Askofu Pisa imekuja wakati ambapo mjadala wa mabadiliko ya mfumo wa uchaguzi na ushiriki wa vyama vya siasa umekuwa ukitawala anga ya kisiasa nchini, huku kukiwa na malalamiko kutoka kwa baadhi ya vyama vya upinzani kama Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kuhusu kukamatwa kwa viongozi wao wakubwa akiwamo Mwenyekiti wa CHADEMA taifa Tundu Lissu @TunduALissu , na ukosefu wa haki katika uendeshaji wa siasa.
Ndio maana sasa hivi waenda kanisani wanazidi kupungua

Ukiwa mitaani unasikia kelele za maneno ya siasa.

Unaenda kanisani unakutana tena na siasa .Kanisa limepoteza mwelekeo

Nashauri makanisa ya hao maaskofu yageuzwe kuwa vituo vya kupigia kura na hao maaskofu na kofia zao hizo wawe mawakala wa CHADEMA kwenye chumba cha kupigia kura

Tumechoka kusikia siasa.Tunatoka majumbani kusikiliza neno la Mungu tunakutana na tuliyoyaacha nyumbani mnatuchosha .

Kwa hali hii waacha watu wajazane kwa Mwamposa
 
Baraza la Maaskofu Katoliki Tanzania (TEC) limetoa wito kwa serikali ya Tanzania kuwaachilia mara moja na bila masharti viongozi wa kisiasa waliokamatwa kwa kudai haki, likisisitiza kuwa hatua hiyo ni muhimu katika kulinda amani ya taifa, hasa kuelekea mwaka wa uchaguzi.

Rais wa TEC na Askofu wa Jimbo Katoliki Lindi, Mhashamu Wolfgang Pisa, amesema kuwa amani ya kweli haiwezi kupatikana kwa kutumia nguvu bali kwa maridhiano na haki, akisisitiza kuwa ni wajibu wa kila Mtanzania kulinda amani ya nchi kwa kuhakikisha mifumo ya uchaguzi inarekebishwa ili kutoa nafasi kwa upatikanaji wa viongozi wa haki na wa kweli.

“Katika hali ya kawaida, nani anaharibu amani? Anayetumia nguvu na kusisitiza uchaguzi uende anavyotaka yeye au yule anayesema ‘jamani turudi mezani ili tuangalie mifumo yetu ya uchaguzi kwani mifumo ya sasa haiwezi kutupatia viongozi wa haki na kweli’?” amehoji Askofu Pisa.

Akizungumza katika mkesha wa Pasaka uliofanyika Kanisa Kuu la Mtakatifu Andrea Kagwa, Jimbo Katoliki Lindi, Askofu huyo amesema kuwa kama kurudi mezani ndiko kunakoweza kulinda amani, basi kila anayehamasisha hilo anapaswa kuungwa mkono, si kukandamizwa au kukamatwa.

“Kwa maana hiyo wote waliokamatwa kwa kudai haki, wakiwemo viongozi wa vyama vya kisiasa, waachiwe haraka na bila masharti, na wengine wasikamatwe wala kusumbuliwa. Pia mihimili isiingiliwe bali itende kazi zake kwa haki,” amesisitiza.

Amesema kuwa amani ni tunu adhimu inayopatikana kwa gharama kubwa, hivyo haipaswi kuchezewa, huku akisisitiza kuwa taifa linapaswa kuikataa dhana ya kuimba wimbo wa amani isiyotokana na haki.

Kauli ya Askofu Pisa imekuja wakati ambapo mjadala wa mabadiliko ya mfumo wa uchaguzi na ushiriki wa vyama vya siasa umekuwa ukitawala anga ya kisiasa nchini, huku kukiwa na malalamiko kutoka kwa baadhi ya vyama vya upinzani kama Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kuhusu kukamatwa kwa viongozi wao wakubwa akiwamo Mwenyekiti wa CHADEMA taifa Tundu Lissu na ukosefu wa haki katika uendeshaji wa siasa.
View attachment 3309972
Hilo ndo kanisa katoliki ninalolifahamu, haki itendeke ipasavyo.Kina lissu waachiwe mara moja...
 
Ndio maana sasa hivi waenda kanisani wanazidi kupungua

Ukiwa mitaani unasikia kelele za maneno ya siasa.

Unaenda kanisani unakutana tena na siasa .Kanisa limepoteza mwelekeo

Nashauri makanisa ya hao maaskofu yageuzwe kuwa vituo vya kupigia kura na hao maaskofu na kofia zao hizo wawe mawakala wa CHADEMA kwenye chumba cha kupigia kura

Tumechoka kusikia siasa.Tunatoka majumbani kusikiliza neno la Mungu yunakutana na tuliyoyaacha nyumbani mnatuchosha .

Kwa hali waacha watu wajazane kwa Mwamposa
Kanisa au dini yeyote isiyohubiri haki imepotoka, haki huinua taifa
 
Ndio maana sasa hivi waenda kanisani wanazidi kupungua

Ukiwa mitaani unasikia kelele za maneno ya siasa.

Unaenda kanisani unakutana tena na siasa .Kanisa limepoteza mwelekeo

Nashauri makanisa ya hao maaskofu yageuzwe kuwa vituo vya kupigia kura na hao maaskofu na kofia zao hizo wawe mawakala wa CHADEMA kwenye chumba cha kupigia kura

Tumechoka kusikia siasa.Tunatoka majumbani kusikiliza neno la Mungu yunakutana na tuliyoyaacha nyumbani mnatuchosha .

Kwa hali waacha watu wajazane kwa Mwamposa
Kanisa ni Ufalme na Mfalme ni Yesu Kristo mfufuka

Mona Takatifu la mitume 😁
 
Mahakama haifanyi kazi kwa matamko, baba askofu hajui hilo?
Hawaamini kwenye utawala wa sheria
Kanisa katoliki lilisababisha mauaji ya kimbari Rwanda kwa matamko yake ya kichochexi hadi papa akaomba msamaha kwa ushiriki wa kanisa katoliki kwenye mauaji ya kimbari

Maaskofu ni raia kikiinuka hata wao hawatakuwa salama
 
Back
Top Bottom